Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 684
Kikwete(Rais Mstaafu) ana ulinzi mzito kuliko Magufuli.Why?
Kwasababu yeye hakuwa anawatendea haki Watanzania walio wengi. Amesha fanya dhuruma nyingi kiasi kwamba hawezi tambua yupi ni rafiki au adui yake. Roho yake haina amani. Na hata Kifo chake kitakuwa ni cha masumbuko sana. Magufuli yeye anafanya kazi kwa kufuata sheria na kumtanguliza mungu, Pale kwenye ukweli pata endelea pa kweli. Hata unapo shtakiwa wakati unajua wazi kweli ulitenda kosa zile nguvu za kutaka kulipiza kisasi zinatoweka na kupotea.