Malecela: Magufuli hatarini

Malecela: Magufuli hatarini

Magufuli analindwa na Mungu....atakayejaribu kumdhuru Magufuli atakuta kichwachake kimening'inizwa kwenye mlango wa kuingilia nyumbanikwake
 
Mzee malechela anatafuta kick tu ili mkewe aliyekosa ubunge akumbukwe kwenye U DC
 
Nani amuongezee ulinzi ilihali yeye ndie serikali.si ajiongezee ulinzi.japo mi naamini watanzania tupo pamoja nae.

Very valid question. Aongezewe au ajiongezee ulinzi? He is on top of everthing except his party- CCM
 
Na ole wao wathubutu kumdhuru raisi wetu Magufuli japo kwa lolote tu,
Nadhani ndio watajua kwamba Watanzania walikua wanampenda na kumhitaji au lah.

Hahaha acha mabiti.utafanya nini sasa wewe kama wewe
 
Kikwete(Rais Mstaafu) ana ulinzi mzito kuliko Magufuli.Why?

Anajipa tu ujiko.Hakumbuki yeye si rais tena. Na wala hatakaa awe tena milele. Hata akina Geo Davy na Gwajima wana walinzi.
 
Njia nzuri ya Magufuli kuimarisha ULINZI wake hasa ktk nchi zetu za kiafrika, ATOE WALE WANA USALAMA NA WALINZI WOTE WA Jakaya Kikwete karibu yake...!!!

In other words, WALE SHUSHUSHU wa JK hata wasikaribie kujua Magufuli anafanya nn, HILI NI MUHIMU KULIKO YOTE.... This is the biggest issue... ULINZI wa Rais maana yake wale wanaomlinda Rais HAWATAKIWI KABISA KABISA kutoa siri za RAIS... so Magufuli inatakiwa from bodyguard to State House Staffs, to close people around him, WAWE WATU WAKE DAMUDAMU... tupa kuleeeeeee watu wa JK....
 
Wazungu walituharibu sana,viongozi wakuu wa nchi za magharibi wanaulinzi mkubwa kutokana na sera zao za kupora rasilimali za mataifa mengine,hii ndo inawafanya watengeneze maadui kila kukicha..! Magufuli hata akibaki bila ulinzi hakuna atakayemdhuru,waafrika tunaiga vitu vingi bila hata sababu.
 
Magufuli analindwa na Mungu....atakayejaribu kumdhuru Magufuli atakuta kichwachake kimening'inizwa kwenye mlango wa kuingilia nyumbanikwake

Aiseee huyu Mungu ni yupi na mimi nimwombe ,yaani unakatwa kichwa halafu unakikuta mlangoni mwako ??
 
Wasijaribu yaliyo tokea kwa SOKOINE NA NYERERE YANATOSHA.kaliona la madini hasa TANZANITE NA MCHANGA KUSAFIRISHWA NJE YA NCHI.AMEBAKIZA DAWA ZA KULEVYA NCHI IRUDI WAKATI WA NYERERE.
 
Ni kweli watanzania tulio wengi tuko nyuma Rais.Hata hivyo wale wachache ambao hawako nyuma yake ndio wenye jeuri ya fedha na wabaya kupindukia.

Ni kweli kabisa kuna haja ya Rais kuwa na ulinzi wa kuaminika.Na katika hili serikali isifanye ajizi.Screening ya hali ya juu ni lazima ifanyike kwa yeyote atakayekuwa mlinzi wa Rais,vinginevyo mafisadi,wezi na wauza unga wanaweza wakapenyeza mamluki wao.
Nani amuongezee ulinzi ilihali yeye ndie serikali.si ajiongezee ulinzi.japo mi naamini watanzania tupo pamoja nae.
 
huyu mzee mkuda tu,hana lolote ,kama kunatishio lolote asingeropoka ,eti serikali imuongezee ulinzi ,serikali ipi zaidi ya MTUMBUA MAJIPU
 
nini 14:58 Today
Nani amuongezee ulinzi ilihali yeye ndie
serikali.si ajiongezee ulinzi.japo mi naamini
watanzania tupo pamoja nae.

mlinzi wa kweli ni Mungu , tumwombee
 
Back
Top Bottom