Malecela: Magufuli hatarini

Malecela: Magufuli hatarini

Mirija ya makabaila wa kibongo inapokatwa,makabaila hawabaki kimya. ndo maana wenye nia njema wanaona haja ya kumuongezea Rais ulinzi
 
analindwa na Mungu
Huyu mzee amekuwa waziri wa mambo ya nje kwa kipindi kirefu ila anapoteza kumbu kumbu haraka sana.Kwanza unaposema nchi unaanza na raisi alieko madarakani hivyo kama ni kujiongezea ulinzi uwezo huo anao ni kiasi tu cha kumwagiza mkuu wa majeshi.Pili ulinzi wa raisi hauwezi kuushinda ulinzi wa Pope ila pamoja na ulinzi mkali alio nao aliwahi kutokea kijana akamchoma kisu papa nae kamtangazia msamaha.Pili ulinzi alio nao malkia wa Uingereza ni wa hali ya juu ila alishatokea kijana kapitia bomba la kutolea moshi na kuteremkia chumbani kwa malkia usiku.Kijana alimhakikishia malkia kuwa hakuja kwa lengo baya ila alitaka kumdhihirishia ulinzi alio nao sio chochote.Tatu mzee Malecela anamsikia raisi Magufuli kila mara akiwaomba Wananchi kumwombea ulinzi wa Mungu kwa kazi anazozitekeleza.Sasa ni kipi kinachomkurupusha leo kumwombea raisi ulinzi zaidi.Yeye hana dini anayoiamini na kumwombea raisi wetu ulinzi wa Mungu kuliko wa magobore?
 
Source; Gazeti la Jambo leo ,mmiliki Juma Pinto ntarudi bdae.
 
Wewe ja
John Malecela Naye Ni Jipu Kubwa Sana. Alitaka Kuuza Nchi Kwa Wazungu. Bahati Nzuri Wakamdaka. BTW Magufuli Anayo Team Madhubuti Ya Usalama. Na Baadhi Ya Maofisa Wa Usalama Wamekuwa Recruited From Israel. Ngome Yao Ipo Mbweni. Hivyo Hawamwezi,


Wewe jamaa sijui hujitambuiii au unajidanganya
 
Back
Top Bottom