Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,938
- 141,992
Fala sio tusi. Kama unabisha tafuta kamusi ya kiswahili toleo lolote lile uangalie maana yake.
Acha kubandika uchafu wako hapa. Hivi una mtindio wa ubongo ama...?
Ahahahaaa, sikufahamu. No problem. najua u mwerevu.
Msg delivered....
FD