LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
Tabia mida mingine hujengwa na mazingira na matendo yanaytokea kila siku. Ndo maana Manzese kupora watu wanasema ni kawadia.
Tabia mida mingine hujengwa na mazingira na matendo yanaytokea kila siku. Ndo maana Manzese kupora watu wanasema ni kawadia.
Mimi nadhani kuna logic hapa. Kama ni mtu anayejiheshimu na anayeielewa vema nafasi yake na heshma yake kwa familia na jamii sidhani kama ataruhusu kuwa na mahusiano na watu wenye tabia ambazo wakipita mtaani wanajumuishwa kimakundi. Lazima atajaribu kuwaavoid na asisubiri kushurutishwa na mwenzie.
Shida iliyopo ni the "Peer pressure" Factor...Mimi nadhani kuna logic hapa. Kama ni mtu anayejiheshimu na anayeielewa vema nafasi yake na heshma yake kwa familia na jamii sidhani kama ataruhusu kuwa na mahusiano na watu wenye tabia ambazo wakipita mtaani wanajumuishwa kimakundi. Lazima atajaribu kuwaavoid na asisubiri kushurutishwa na mwenzie.
Hata hivyo nisichokubaliana nacho ni namna ya kumweleza kugive up hao marafiki, ni kama unamtishia! Huyo ni mwenzio mweleze kwa ustaarabu huku ukitoa sababu zinazokufanya ujisikie vibaya mkeo akiongozana na hao rafiki zake
NN kaka yangu sometimes mapenzi tunayacomplicate wenyewe. But ndio mapenzi may be yameumbwa yawe complicated!!Hata mimi huo ndiyo mtazamo wangu.
nyumba kubwa upo juu
Sitaki kabisa kukuona na wale wanawake. Utakuwaje na urafiki na Malaya wale. Sasa hivi watakuuza kirahisi kabisa. Ukitaka kuifanya ndoa yetu ianze vurugu, endelea kuwa na urafiki nao. Wanawake kibao hapa mjini wamekuwa Malaya na kuvunja ndoa zao kwa sababu ya kuwa na marafiki wasio na mpango.
Je wewe unakubaliana na dhana hii, kuwa mwanamke aliyeolewa kuwa na urafiki na wanawake wasio waaminifu au wanaoitwa Malaya, basi naye atashawishiwa hadi awe Malaya?
mimi nachoka kabisa na huu mfumo dume,wanaume wakishaoa baada ya honeymoon mbona wanarudi kwenye vijiwe vile vile na marafiki wale wale na inaonekana ni sawa tu? Jamani why are we insulting womens intelligence?yaani mwanaume ajichagulie marafiki ila mwanamke akifanya hivyo nongwa? kibaya zaidi linapokuja suala la hii mentality hata kinamama mnaunga tela,mbaya sana.Tubadilike pliz,tuache hii zarau kwa kinamama,ni watu wazima hawa wenye uhuru wa kuchagua marafiki na kujua maadui zao.
Nick hapa nachoka kabisa,hivi huko vijiweni tunakokaa wanaume mmoja akiwa mhuni basi meza nzima ni wahuni? sio kwamba mtu unasikiliza ya wenzio na kuchanganya na za kwako?Huwezi kukaa na wala nguruwe kama na wewe hauonji nguruwe hata kwa harufu yake...hii ni kweli kabisa..!!
Nikuulize Bi Mkubwa,hivi kuolewa ni utumwa? hiviukiolewa uhuru wako wa kufikiri unamkabidhi mmeo na ndugu zake?Mashoga,kha! mbona wanaume tuna marafiki kibao na hatusimangwi kwa hilo?Huo usemi una ukweli kabisa... show me your friends I will tell you who you are.
Kwa kifupi mke wa mtu hapaswi kuwa mtu wa mashoga wawe watulivu au mapepe. Muda wa kuangalia famila atapata wapi na wakupiga soga atapata wapi???? Ndoa nyingi zinazodumu ni za wanawake wasio na muda mchafu na ushoga wa aina yeyote; maana kuna ushauri mwingi wa kubomoa unatoka kwa mashoga; mfano tatizo dogo la ndani unaweza share nao wakakupa ushauri wa ku seek for a divorce!
jamani Nyumbakubwa,kila jambo lina faragha yake,kwani marafiki wa mmeo watakuja nyumbani waanze kugongeana mbele ya watoto wakisimulia jinsi jana breakpoint walivyoshika makalio ya wahudumu?Kwanza sipati picha mtu anakuwa na mke ambaye marafiki wanaomtembelea tena home wanaongea yale mazungumzo "jana nilikuwa na waziri fulani tumekunywa na ameniaidi kuninunulia vitz na kunijegea" mkeo anachekelea na kugonga. Sijuhi na wewe unamsaidia kutoa pongezi au??? Afu una watoto vibinti teenagers vinafuatilia mazungumzo kwa chati. What a mother and a wife??? Afu utaendelea kujisifu eti yeye si malaya ni rafiki zake tu? You must be kidding!
una akili wewe,ndo mana nalifanyia service vogue langu nifunge safari ya kuja mpwapwa.Si kweli, kama akili yako ni ya 'shake well before use' ndio unaweza badilishwa na hao marafiki malaya vinginevyo waweza fanya hao malaya kuwa na mwenendo mzuri wa maisha yao.
Kwa lugha nyingine marafiki 'mapepe' wa mme nao wanaweza wakavinjari na wife? basi tutoe tahadhari pia kwa hilo.Afu mi nshashuhudia mtu ananyang'anywa mume na shoga wa design hiyo. Hivyo ni hatari kwa mke na ndoa yake pia. Yani uwe na rafiki mapepe na una mume analipa unadhani umapepe una mipaka; labda kama huyo mumeo ni kakake.
Huyo mwanaume uliye m-quote anacomplain huwezi jua labda keshategwa na kaingia mtegoni; anajua akimwambia wife nshazini na rafikiyo itakuwa soo; ndo maana anamwambia indirectly hataki urafiki na malaya.