nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Afu mi nshashuhudia mtu ananyang'anywa mume na shoga wa design hiyo. Hivyo ni hatari kwa mke na ndoa yake pia. Yani uwe na rafiki mapepe na una mume analipa unadhani umapepe una mipaka; labda kama huyo mumeo ni kakake.
Huyo mwanaume uliye m-quote anacomplain huwezi jua labda keshategwa na kaingia mtegoni; anajua akimwambia wife nshazini na rafikiyo itakuwa soo; ndo maana anamwambia indirectly hataki urafiki na malaya.

wenyewe wameshasema, we endelea kushangaa! uchokozi tuuuuuuuuuuuu kila siku.