Utofauti kati ya demu wako na malaya ni upi

XII Tz

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
4,293
6,956
Habari wakuu

Utofauti ni upi kati ya malaya na huyo unayemuita demu wako.

Malaya analala na wanaume wengi tofauti tofauti kwaajili ya kupata pesa, demu wako ana msululu wa wanaume kwenye simu yake ambao ili wapate mbususu yake lazima watoe chochote.

Mpaka hapo kwa mtazamo wangu naona wote ni malaya utofauti ni kwamba mmoja kaweka official na mwingine hajaweka official.

Wapo malaya wazuri na wenye mvuto sana kuliko huyo unayemuita demu wako, ambao pesa yako ndo inaongea unalipa unakula, kwa huyo demu wako unaweza ukahudumia kwa muda mrefu na mbususu usipewe kwa wakati au usipate kabisa.

Ni vigumu kupata magonjwa ya zinaa kwa kulala na malaya kwakuwa ni lazima utumie kinga kuliko demu wako ambaye unamuamini ambapo yeye pia ana msululu wa watu wengine.

Hakuna heartbreak kwa malaya wala msongo wa mawazo ila huyo demu wako atakupa stress na mbaya zaidi ukiwa unampenda sana ndo kabisa atatumia udhaifu huo kukutesa mnoo.

Mahusiano ni gharama sana hususani kwa kijana anayejitafuta kimaisha kwani vizinga vya hapa na pale vita kurudisha nyuma kimaendeleo tofautisha na malaya ambaye unalipa mara moja afterwards kila mtu anajikataa kivyake muhimu usitengeneze addiction ukawa unanunua kila siku.

Kuna watakaodai kuwa malaya wana mikosi hii sio kweli sababu ukilala na malaya utatumia condom hivyo hakuna mgusano wa moja kwa moja wa via vya uzazi, kinacholeta spiritual bonding ni mbegu za mwanaume zitakapo ingia kwenye uke wa mwanamke kitu ambacho hakiwezekani ukitumia condom, hivyo usiwe na wasiwasi atakayekupa mikosi ni huyo unayemuita demu wako hali ya kuwa ana msululu wa wanaume wengine.

Mwisho wa siku vijana ukitaka kuoa jaribu kushirikisha watu wazima kiumri iwe baba, mama na hata viongozi wa kidini kwa imani yako wakutafutie mwanamke anayefaa kuwa mke na mama wa watoto wako, mtaani hali ni mbaya sana wanawake wa kuoa hakuna kumejaa malaya wasio rasmi. Povu Ruksa.

Simba nguvu moja
 
demu wako ana msululu wa wanaume kwenye simu yake ambao ili wapate mbususu yake lazima watoe chochote.
Nilishawahi kuwaambia hawa vijana wajinga wajinga na wapumbavu wanaotamba sijui ooh yule demu wangu nahudumia

Demu wako ana mabwana kibao wote mnahudumia malaya mmoja. Shika simu yake siku moja ndo utajiona ulivyo mjinga kuhudumia malaya
 
Back
Top Bottom