nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Si utumwa Bishanga; lakini kwa mwanamke anayefanya majukumu yake ipaswavyo automatically atajikuta hana muda wa kukaa vijiweni? Huo muda wa kuangalia familia umeshaugawa na kazi za ofisi. Afu week end unataka ushinde sijuhi rose garden na girlfriends. Mke gani wewe???
Wahaya wanakwambia toina makune. Yaani unataka ku behave as men do. Hata kama ni mfumo dume sijuhi jike nina uhakika hata hao TGNP members (waliobahatika kuolewa) wanabehave tofauti na waume zao; kwa maana kuwa wanaspend most of their times na familia baada ya kazi.
Unacheza wewe. Yaani unataka usawa wa mke kurudi saa sita usiku, mume saa saba. Hakika acha kupotosha mabinti humu wataachika ndani ya wiki!

Nikuulize Bi Mkubwa,hivi kuolewa ni utumwa? hiviukiolewa uhuru wako wa kufikiri unamkabidhi mmeo na ndugu zake?Mashoga,kha! mbona wanaume tuna marafiki kibao na hatusimangwi kwa hilo?