"Malaya hao"..!

Mimi nadhani kuna logic hapa. Kama ni mtu anayejiheshimu na anayeielewa vema nafasi yake na heshma yake kwa familia na jamii sidhani kama ataruhusu kuwa na mahusiano na watu wenye tabia ambazo wakipita mtaani wanajumuishwa kimakundi. Lazima atajaribu kuwaavoid na asisubiri kushurutishwa na mwenzie.

Hata hivyo nisichokubaliana nacho ni namna ya kumweleza kugive up hao marafiki, ni kama unamtishia! Huyo ni mwenzio mweleze kwa ustaarabu huku ukitoa sababu zinazokufanya ujisikie vibaya mkeo akiongozana na hao rafiki zake
 
Hata mimi huo ndiyo mtazamo wangu.
 
Shida iliyopo ni the "Peer pressure" Factor...
 
“Sitaki kabisa kukuona na wale wanawake. Utakuwaje na urafiki na Malaya wale. Sasa hivi watakuuza kirahisi kabisa. Ukitaka kuifanya ndoa yetu ianze vurugu, endelea kuwa na urafiki nao. Wanawake kibao hapa mjini wamekuwa Malaya na kuvunja ndoa zao kwa sababu ya kuwa na marafiki wasio na mpango.”

Je wewe unakubaliana na dhana hii, kuwa mwanamke aliyeolewa kuwa na urafiki na wanawake wasio waaminifu au wanaoitwa Malaya, basi naye atashawishiwa hadi awe Malaya?

umesahau wahenga walisema ndege wafananao uruka pamoja
 
mimi nachoka kabisa na huu mfumo dume,wanaume wakishaoa baada ya honeymoon mbona wanarudi kwenye vijiwe vile vile na marafiki wale wale na inaonekana ni sawa tu? Jamani why are we insulting womens intelligence?yaani mwanaume ajichagulie marafiki ila mwanamke akifanya hivyo nongwa? kibaya zaidi linapokuja suala la hii mentality hata kinamama mnaunga tela,mbaya sana.Tubadilike pliz,tuache hii zarau kwa kinamama,ni watu wazima hawa wenye uhuru wa kuchagua marafiki na kujua maadui zao.
 
Nilikuwa nakutafuta kwa njia ya Telepathy, hatimaye nimekupata..................Awali kabisa wakati nabishana na Nyumba Kubwa niliuliza hilo swali, "Kwa nini wanaume hujichagulia marafiki bila kuingiliwa na wake zao, lakini wanawake inakuwa nongwa" Mpaka sasa sijajibiwa swali hilo................ hapa kinachoonekana ni kwamba wanawake ni dhaifu, na ni rahisi kuingizwa mtegoni, lakini wanaume wao ni ngangari............... Aaaaaaa wapi!!! Tunadanganyana

Labda kingine pia ni stereo type, au kutishwa na jamii, kwamba ukitembea na mwizi basi na wewe ni mwizi! jamii ina nguvu sana na wakati mwingine huathiri, self esteem za watu, na waaathirika wakuu wa mitazamo ya jamii ni Wanawake.

Sikatai kwamba nguvu hasi wakati mwingine huambukiza, lakini kama mtu ni mwerevu basi ni rahisi kwake kukwepa hiyo ndoano!
 
Huwezi kukaa na wala nguruwe kama na wewe hauonji nguruwe hata kwa harufu yake...hii ni kweli kabisa..!!
Nick hapa nachoka kabisa,hivi huko vijiweni tunakokaa wanaume mmoja akiwa mhuni basi meza nzima ni wahuni? sio kwamba mtu unasikiliza ya wenzio na kuchanganya na za kwako?
 
Huo usemi una ukweli kabisa... show me your friends I will tell you who you are.

Kwa kifupi mke wa mtu hapaswi kuwa mtu wa mashoga wawe watulivu au mapepe. Muda wa kuangalia famila atapata wapi na wakupiga soga atapata wapi???? Ndoa nyingi zinazodumu ni za wanawake wasio na muda mchafu na ushoga wa aina yeyote; maana kuna ushauri mwingi wa kubomoa unatoka kwa mashoga; mfano tatizo dogo la ndani unaweza share nao wakakupa ushauri wa ku seek for a divorce!
Nikuulize Bi Mkubwa,hivi kuolewa ni utumwa? hiviukiolewa uhuru wako wa kufikiri unamkabidhi mmeo na ndugu zake?Mashoga,kha! mbona wanaume tuna marafiki kibao na hatusimangwi kwa hilo?
 
Kwanza sipati picha mtu anakuwa na mke ambaye marafiki wanaomtembelea tena home wanaongea yale mazungumzo "jana nilikuwa na waziri fulani tumekunywa na ameniaidi kuninunulia vitz na kunijegea" mkeo anachekelea na kugonga. Sijuhi na wewe unamsaidia kutoa pongezi au??? Afu una watoto vibinti teenagers vinafuatilia mazungumzo kwa chati. What a mother and a wife??? Afu utaendelea kujisifu eti yeye si malaya ni rafiki zake tu? You must be kidding!
jamani Nyumbakubwa,kila jambo lina faragha yake,kwani marafiki wa mmeo watakuja nyumbani waanze kugongeana mbele ya watoto wakisimulia jinsi jana breakpoint walivyoshika makalio ya wahudumu?
 
Si kweli, kama akili yako ni ya 'shake well before use' ndio unaweza badilishwa na hao marafiki malaya vinginevyo waweza fanya hao malaya kuwa na mwenendo mzuri wa maisha yao.
una akili wewe,ndo mana nalifanyia service vogue langu nifunge safari ya kuja mpwapwa.
 
Afu mi nshashuhudia mtu ananyang'anywa mume na shoga wa design hiyo. Hivyo ni hatari kwa mke na ndoa yake pia. Yani uwe na rafiki mapepe na una mume analipa unadhani umapepe una mipaka; labda kama huyo mumeo ni kakake.

Huyo mwanaume uliye m-quote anacomplain huwezi jua labda keshategwa na kaingia mtegoni; anajua akimwambia wife nshazini na rafikiyo itakuwa soo; ndo maana anamwambia indirectly hataki urafiki na malaya.
Kwa lugha nyingine marafiki 'mapepe' wa mme nao wanaweza wakavinjari na wife? basi tutoe tahadhari pia kwa hilo.
 
hivi urafiki ni nini? au kua marafiki kupo vipi? hapa ninachokiona tunachanganya marafiki na watu ambao tunakutana nao katika maisha yetu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom