Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Wakuu Weki Iendelee.

Kumekuwa na Malalamiko Mengi sana Dhidi ya Wamiliki Wa Bar Ya Bambalaga iliyoko Dodoma Kwamba Wanawabagua bahadhi Ya Wateja.

Either Kwa Kuangalia miili Au Personality ya Mtu Husika Wanakuzuia Kuingia ndani Na Mabaunsa Wa Hyo Bar.

Kuna Siku Nilishuhudia Jamaa amekuja na Demu Wake ni mfupi na ana Mwili mdgo Mshikaji akaruhusiwa Kuingia Ndani Ila Demu Wake wakamkataza na Wakamwambia ww MwanFunzi Nenda Kalale. Huu ni udhalilishaji Sana.

Nadhani Wamiliki Wa Bar Husika Waliangalie hili Maana uhai Wa Bar ni wateja Haujalishi ni Aina Gani Ya Mteja.

Karibuni Viwanja vya Ikulu, Hafla Ya Chief Hangaya Akiwapongeza Wachezaji Wa Team Ya Taifa Ya Watu Wenye UlemavuView attachment 2035842
Kama anataka waingie watu anaowataka yeye basi iwe Club na Sio Bar au Pub ili watu wapewe Membership Cards kabisa. Shida kubwa tuliyonayo watanzania wengi ni Ushamba. Kingine hata nyie mnaokunywa, kwani lazima sana kwenda kunywa hapo au ni kiherehere tu cha kutaka ku "fit-in" na kupenda kuonakana tu kwamba na wewe upo mahala hapo?
 
Picnic wacha kabisa nikiwa ziarani hapo ndipo huwa nashindia huku nafurahia uumbaji wa Mungu wale wahudumu na zile nguo zao wacha kabisa nakumbuka siku moja nilikuwa mbwii nikachukua goma moja hapo asikuambie mtu kama siku ile sikupata UKIMWI basi ndio sipati tena nilisugua ile kitu kuja kushtuka Ring ndio imebaki katika mashine

Kwa dodoma kawaida sana hiyo bambalaga wanaenda wanafunzi na baadhi ya vijana wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja watu na akili zetu utatukuta Rainbow ama Royal…
So dodoma imejaa mashoga
 
Nachoona hapo Dodoma kuna demand kubwa sana ya starehe kuliko industry yenyewe inavyoweza kusupply,ndo maana mtu akiwa na kakiwanja kama huyo anawaletea taratibu za ajabu ajabu na bado mnaendelea kwenda,Dar ukifanya hvyo bar yako inakufa mchana kweupe,walevi wa Dar wako tyr kujazana hata liquor store .Huyo jamaa ana business model ya kifara kama anataka certain type ya wateja iwe membership club au awachuje wateja kwa kuweka kiingilio kikubwa na kucharge vinywaji bei kubwa.
 
Siku ya kwanza niliishia getini eti kisa naonekana mdogo. Nikawauliza yaani nina 28+ ni mdogo so mnataka wazee tu kwenye hili bar yenu?
But siku zilizofuata niliingia.
Wanaringa sana, nafikiri kwa kuwa Dodoma viwanja vyenye vibe ni kama hakuna wako wao tu.
 
Muwe mnaenda chako ni chako chimbo kongwe sana na pametulia japo mara chache vurugu hazikosekani, unapiga vyombo na mziki laini pembeni kuku choma ukichoka unajichagulia mtoto unaehitaji unaondoka nae bila tatizo, hakuna kubaguliwa wala Nini.
 
Back
Top Bottom