Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Bahati mbaya walioua pestana ndo walewale yuko nao Bambalaga ...
Keshatajirika huyu naona hapo leo anatoka dubai kula bata
IMG_20211223_143329.jpg
 
Keshatajirika huyu naona hapo leo anatoka dubai kula bataView attachment 2054539
Biashara zile mzee hua wanachezesha tu Asset Vs Liability...ila kiukweli net asset hua ni ndogo au -ve kabisa. Ila kwakua biashara inaendelea hakosi yela ya kula ila leo akidaiwa paaap usishangae akajiua au akapata uchizi. Bar ni utajiri kichaa asikwambie mtu
 
Sure..
 
Nafikiri lengo lake ni kupata wateja hadhi ya wabunge wakurungenzi walioko dodoma.

Sema ni tabia mbovu bora ata waweke entrance ata ya laki 1 au 50 elfu.

Nakumbuka siku moja niko na jamaa yangu mfupi huyo tume toka kuuza dhahabu sehemu. Tuna jiwe la kutosha kufika pale si mlinzi anamzuia jamaa. Jamaa alitema shit afu akachomoa vibunda 3 huku anatema shiti tuu
Hahahahahs
 
Muwe mnaenda chako ni chako chimbo kongwe sana na pametulia japo mara chache vurugu hazikosekani, unapiga vyombo na mziki laini pembeni kuku choma ukichoka unajichagulia mtoto unaehitaji unaondoka nae bila tatizo, hakuna kubaguliwa wala Nini.
Pale nliendaga nliienjoy sana,daah tuombe uzima ntarudi one day,Ila wabongo wanajua kutumia
 
Nachoona hapo Dodoma kuna demand kubwa sana ya starehe kuliko industry yenyewe inavyoweza kusupply,ndo maana mtu akiwa na kakiwanja kama huyo anawaletea taratibu za ajabu ajabu na bado mnaendelea kwenda,Dar ukifanya hvyo bar yako inakufa mchana kweupe,walevi wa Dar wako tyr kujazana hata liquor store .Huyo jamaa ana business model ya kifara kama anataka certain type ya wateja iwe membership club au awachuje wateja kwa kuweka kiingilio kikubwa na kucharge vinywaji bei kubwa.
Mtei sio mtu wa mchezo mchezo
 
Biashara zile mzee hua wanachezesha tu Asset Vs Liability...ila kiukweli net asset hua ni ndogo au -ve kabisa. Ila kwakua biashara inaendelea hakosi yela ya kula ila leo akidaiwa paaap usishangae akajiua au akapata uchizi. Bar ni utajiri kichaa asikwambie mtu
Unayoyasema ni ya kweli ila Mtei kwenye hii biashara amei-win sana Dodoma na anafanya vitu vingine vikubwa.

Wakija washindani ambao sio washikaji zake labda watamuweza ila kwa sasa bado sana, hana wahudumu wakali kama clubs zingine wana uniformity mbayaa ila kizizi chake sijui cha wapi.
Hata Dj's wake hajatoa Dar wametoka kanda ya kati hapahapa
 
Aisee hawa jamaa ni wapuuzi, nakumbuka tulienda pale na mshikaji wangu akiwa kavaa kofia wakamzuia et ni muhuni, niliwaangalia sikuwamaliza.
 
Back
Top Bottom