Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Muwe mnaenda chako ni chako chimbo kongwe sana na pametulia japo mara chache vurugu hazikosekani, unapiga vyombo na mziki laini pembeni kuku choma ukichoka unajichagulia mtoto unaehitaji unaondoka nae bila tatizo, hakuna kubaguliwa wala Nini.
Malaya wengi pale..
 
Km najiona mm na mke wangu mwenye umbo dogo km mwanafunzi wakati ni mwl wa secondary hahahaaaa
 
Pale ma orijinali hata hatusumbuliwu ndio kwanza wakikuona wanaanza kukenua
 
Mnaoenda hapo then mnasumbuliwa na kutimuliwa hamjielewe hata nusu!mnajidhalilisha pesa yako then unakubalo vipi sasa akunyodoe!msiende muone kama watauza...!!!maeneo ya starehe yako mengi sana ,why mnakubali kudhalilishwa
 
Nashangaa hapa na mie,
Huenda kna kitu special hapo, ndo maana wanalia hovyo. Khaaaah
 
Back
Top Bottom