Tumezuiwa na baunsa kuingia Bambalaga Dodoma hadi tutoe 50,000

monte caro

Member
May 9, 2014
10
9
Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma,

Mabaunsa wanachagua mtu kulingana na muonekano wake, mwembamba au mfupi au mnene au umekonda ama una sura ya kitoto huwezi ingia..

Nimekuja Dodoma leo na team ya kazini kwangu watu 11 wanne wameruhusiwa na 7 tumekataliwa shida ni nini?

Baunsa wanataka elfu 50 kwa pamoja tuweze kuingia ndani, ni halali? Naomba mmiliki kuweza kutagiwa nimekua pissed off kama meneja wa wafanyakizi wangu kuweza kuzuiliwa nje

Ahsante

JF
 
Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma,
Mabaunsa wanachagua mtu kulingana na muonekano wake, mwembamba au mfupi au mnene au umekonda ama una sura ya kitoto huwezi ingia...

Kwanza kwanini mnaenda Bambalaga mmekonda?

Kwanini mnakuwa na sura za kitoto alafu mnaenda bar?

Kalaleni acheni kuingilia mambo ya wakubwa hata elfu 50 hamna alaf unakuja hapa kulialia
 
Elewa ni HAKI ya mwenye ukumbi kuruhusu au kutoruhusu kuingia, generation ya dot.com ni kizazi cha kulalamika tu,kitu kidogo au kikubwa wanakimbilia kwenye key boards, huu ni uoga wa ku take actions, ukunguru umetawala na elimu mbovu tuliyokua nayo imekua ni balaa,umekataliwa kuingia ukumbini then hatua gani ulichukua kama unaona una haki ya kuingia?au ndio kuchukua simu straight ndani ya JF (kujificha na hizi ITS fake)
 
Kwani lazima kwenda bamba laga?mnakubali kudhalilishana kirahisi hvyo?!
Mngeenda club 7 pamepoa pakistaarabu Kuna bendi na mziki pia

Nimeenda bamba laga Ila sijaona maajabi yoyote miye na siku wakinifukuza ndo siendi tena
Bambalaga ni pa-kikuda tu pale,ukiwa nje ya Dom unaweza kudhani ni sehemu ya maana lkn ukienda pale ndio utajua ni pa hovyo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom