Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Kiukweli Dodoma kwetu hapa customer care ni mbovu mnoo sio huko bar, lounge, Hotel, cafe kote huduma ni mbovu..

Kama hapo bambalanga mameneja ndani wanakuforce ununue vinywaji vingi wakati nachagua ninywe kiasi gani..

Kuna siku nilikuwa sehemu moja hapa nikaagiza msosi dakika 40 ndio wakaleta na wakati wanadai wana fast food..!

Waiters wenyewe wamekariri matajiri fulani ndio wanahudumia vizuri. Ukiwa wewe hakujui anakupita kama hakuoni..

Mimi huwa nawanyandua tu ndio utapata service vizuri,
Mkuu naunganisha na uzi wa Shishi Foods hapo Dodoma. It seems customer care hapo Dom ni janga kweli kweli
 
Du hv ni lazima kuingia hapo coz naona zipo sehemu nyingi tu za kuburudika. Hizo pigo nilizionja Florida ya msamvu nimeshuka na maji yangu mkononi ile naingia tu getini mlinzi akaniambia sitakiwi kuingia na maji, nkamuuliza kwann akasema bosi ndio kaamua hvyo. Nikamuuliza kwahyo maji yangu nitupe au ninywe kwa kujilazimisha? akanisihi sana naomba hata uyaache tu ataniangalizia nisimuaribie kazi. Kwakweli sikumuelewa nikaingia ile kufika kaunta nmekaa tu weita ananiambia siwezi kukuhudumia mpk urudishe hayo maji nje ya geti. Nikajiuliza swali Moja tu hv mm ndio wa kubembeleza ninywe hapo au wao ndio wa kunibembeleza Mimi. Niliapa kutofika hapo nikajichanganya Star park Nikala gambe zangu za kutosha.
 
Pale pa kingese sana. Niliwahi fika pale onetime eti baunsa ananipanga mlangoni kwamba eti kama nataka manzi yeye anamjua ambae ni classic na ametulia, akinipa connection sitajuta.

Jamaa nilimwona fala ila nikamzingua. Nilimwambia mm sipendi madem napenda kufi.l.a mabaunsa. Chaajabu jamaa eti hata hakunidunda.

Nikachoma ndani kulikuwa kumejaa hata sehemu ya kukanyaga hakuna. Watu wananunua vinywaj kwa sifa yani mtu mmoja anunua hata bia 20 pekeake na kuzijaza kenye meza huku vile vichangudoa vyao vilivyochoka vikicheza amapiano. Sikununua bia hata moko nikasepa zangu.

Sema jamaa anapiga sana pesa asee
 
Mkuu naunganisha na uzi wa Shishi Foods hapo Dodoma. It seems customer care hapo Domi ni janga kweli kweli
Ndio ukweli wenyewe mkuu, hiyo shishi food si ni mpya kabisa?
Lakini wahudumu ndio wanawaangusha mabosi zao, wao wanaona kukuhudumia kama vile ni huruma wakati ndio bosi..

Sisi wengine uzuri tunawajua A Z na baadhi yao walikuwa mademu zetu vidato kwahiyo nenda sehemu unayothaminiwa Bob.
 
Du hv ni lazima kuingia hapo coz naona zipo sehemu nyingi tu za kuburudika. Hizo pigo nilizionja Florida ya msamvu nimeshuka na maji yangu mkononi ile naingia tu getini mlinzi akaniambia sitakiwi kuingia na maji, nkamuuliza kwann akasema bosi ndio kaamua hvyo. Nikamuuliza kwahyo maji yangu nitupe au ninywe kwa kujilazimisha? akanisihi sana naomba hata uyaache tu ataniangalizia nisimuaribie kazi. Kwakweli sikumuelewa nikaingia ile kufika kaunta nmekaa tu weita ananiambia siwezi kukuhudumia mpk urudishe hayo maji nje ya geti. Nikajiuliza swali Moja tu hv mm ndio wa kubembeleza ninywe hapo au wao ndio wa kunibembeleza Mimi. Niliapa kutofika hapo nikajichanganya Star park Nikala gambe zangu za kutosha.
Mkuu star park huduma nzuri ?

TOTOS zipo ?

Maana nitakuwa na road trip moro
 
Wakuu Weki Iendelee.

Kumekuwa na Malalamiko Mengi sana Dhidi ya Wamiliki Wa Bar Ya Bambalaga iliyoko Dodoma Kwamba Wanawabagua bahadhi Ya Wateja.

Either Kwa Kuangalia miili Au Personality ya Mtu Husika Wanakuzuia Kuingia ndani Na Mabaunsa Wa Hyo Bar.

Kuna Siku Nilishuhudia Jamaa amekuja na Demu Wake ni mfupi na ana Mwili mdgo Mshikaji akaruhusiwa Kuingia Ndani Ila Demu Wake wakamkataza na Wakamwambia ww MwanFunzi Nenda Kalale. Huu ni udhalilishaji Sana.

Nadhani Wamiliki Wa Bar Husika Waliangalie hili Maana uhai Wa Bar ni wateja Haujalishi ni Aina Gani Ya Mteja.

Karibuni Viwanja vya Ikulu, Hafla Ya Chief Hangaya Akiwapongeza Wachezaji Wa Team Ya Taifa Ya Watu Wenye UlemavuView attachment 2035842
Au ni wewe mwenyewe uliyerudishiwa langoni?
 
Back
Top Bottom