Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,747
- 14,649
Huko kutakuwa na uhaba wa viwanja tu,mara huduma mbovu,mara undava wa kingese,hapohapo eti watu wamejaa hadi hakuna pa kukanyaga,mimi hapa nilipo najua niende wapi nikapate huduma safi ya vinywaji nk,najua mahali penye chakula safi na huduma za heshima,nikitaka mengineyo najua pa kwenda, tena sometimes unaumiza kichwa wapi uende,maana unakuta kuna sehemu kama kumi zenye hadhi unayoitamani,ill stay here!!