Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Nafikiri lengo lake ni kupata wateja hadhi ya wabunge wakurungenzi walioko dodoma.

Sema ni tabia mbovu bora ata waweke entrance ata ya laki 1 au 50 elfu.

Nakumbuka siku moja niko na jamaa yangu mfupi huyo tume toka kuuza dhahabu sehemu. Tuna jiwe la kutosha kufika pale si mlinzi anamzuia jamaa. Jamaa alitema shit afu akachomoa vibunda 3 huku anatema shiti tuu
 
Dah ila jamaa wa Njerees hela aliyopigwa pale angekua na akili angweza fanya uwekezaji mkubwa mno zaidi ya ule
Ameshika kibunda kirefu akiwa bado chalii mdogo akakosa akili na watu wa kumshauri vyema.
 
Back
Top Bottom