TANZIA Makwaia wa Kuhenga afariki dunia

TANZIA Makwaia wa Kuhenga afariki dunia

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
313
Reaction score
2,649
Kwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten.

IMG_0086.jpeg

IMG_0087.jpeg

Mzee Makwaia alifanikiwa kuibua mijadala mbali mbali iliyokuwa na tija nchini kwenye nyanja za Kiuchumi, Kisiasa na Kidiplomasia.

Tutaendelea kumuenzi kwa mazuri yake, Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema la milele.
 
Kwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten.

View attachment 3511493
View attachment 3511494

Poleni Sana wafiwa
 
Rest in piece
 
"Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten

Hayo alisema yeye au umemuwekea ? Sababu the latter sio necessarily the same as the former.....
 
Kwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten.

View attachment 3511493
View attachment 3511494

Mzee Makwaia alifanikiwa kuibua mijadala mbali mbali iliyokuwa na tija nchini kwenye nyanja za Kiuchumi, Kisiasa na Kidiplomasia.

Tutaendelea kumuenzi kwa mazuri yake, Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema la milele.
Rip classmate
 
Back
Top Bottom