Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 834
- 2,158
Apumzike kwa amani
Miongoni mwa waandishi walionivutia sana katika uandishi wa utoaji maoni Tanzania. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani na awapatie wafiwa wote - familia, ndugu, jamaa na marafiki faraja wakati huu wa msiba. RIPRIP kweli amefika
Basi kama alikuwa anauliza kama Shall we Make it..., Yaani Je Tufike / Tufanikiwe nadhani jibu lipo wazi hakuna ambaye hataki kufanikiwa.... Ila kama alikuwa anauliza Je Tutafika (Yaani kwa upuuzi unaofanyika sasa) basi jibu ni kwamba hatuwezi kufika na tunazidi kupotea tena sasa ni zaidi ya hata hapo nyuma...., Tunahitaji kurudi ili kutafuta njia.....Ndivyo alivyokuwa anatafsiri yeye
Makwaiya