wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Aendee tuu aliku kada kindaki ndaki wa chama japo alikua hajionyeshi ni mpakanawe anahoji mtu wa upinzani ndo utajuaKwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten.
View attachment 3511493
View attachment 3511494
Mzee Makwaia alifanikiwa kuibua mijadala mbali mbali iliyokuwa na tija nchini kwenye nyanja za Kiuchumi, Kisiasa na Kidiplomasia.
Tutaendelea kumuenzi kwa mazuri yake, Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema la milele.