Kaka utakuwa na matatizo ya uelewa sio bure.Ndio maana nikakumbia hakuna anayejua muda na siku ktk dunia ya leo
Kinchobaki ni kukaa na kukubaliana ktk jamii husika mpange na kutumia kalenda yenu husika mfano waislam walikaa na kukubaliana kalenda yao ianze baada ya hijiria
Kama muda na tarehe na masiku yangekuwa sawa duniani kungekuwa na kalenda moja tu duniani
Kitendo cha kuwepo kalenda nyingi duniani kunathibitisha hakuna anayejua muda kila mtu anapanga muda kutokana na kalenda yake kulingana na mazingira yake