Makosa 10 aliyotenda Mungu

Ndio maana nikakumbia hakuna anayejua muda na siku ktk dunia ya leo

Kinchobaki ni kukaa na kukubaliana ktk jamii husika mpange na kutumia kalenda yenu husika mfano waislam walikaa na kukubaliana kalenda yao ianze baada ya hijiria

Kama muda na tarehe na masiku yangekuwa sawa duniani kungekuwa na kalenda moja tu duniani

Kitendo cha kuwepo kalenda nyingi duniani kunathibitisha hakuna anayejua muda kila mtu anapanga muda kutokana na kalenda yake kulingana na mazingira yake
Kaka utakuwa na matatizo ya uelewa sio bure.
 
Quran imetungwa na watu tu, tena ngumbaru kamaulivyosema wasiojua kusoma.

Ndiyo maana imejaa contradiction.

Hapa unaambiwa Allah ana rehema zote na ni Mungu wa haki.

Pale unaambiwa kuna watu Allah anawafunga mioyo, macho na masikio, wasimjue. Kisha anawahukumu kwa adhabu kubwa sana, kwa sababu hawakumjua.

Sasa mtu hujiulizi, huyu Allah mwenye rehema kubwa sana, mwenye upendo mkubwa sana, mwenye haki kuu, kwa nini anawafunga macho, masikio na mioyo viumbe wake?

Allah akiwafunga macho, masikio na mioyo viumbe hao, maana yake hata wajitahidi vipi kumjua Allah, hawatamjua.

Sasa anawafunga macho, masikio na mioyo, wasimjue. Halafu, wasipomjua, anawaadhibu kwa kutomjua.

Huyo Allah ni Mungu au kichaa?

Yupo kweli? Au hadithi za kutungwa na watu tu?

Nacheka sana. Ulianza na mwenye upendo wote,uwezo wote leo unakuja na upendo mkubwa sana,mwenye rehema kubwa sana. Hivi kwa akili yako mkubwa sana na uwezo wote uko sawa ?

Ukasema mara mtume Muhammad ametunga mara watu wametunga. Yaani una yumba.

Mwisho wa siku utanyoosha tu maelezo,umeingia kwenye maji yenye kina kirefu naona utapa tapa.
 
Aliwaonea wivu wao wana kitabu, Wwaarabu hawakuwa na kitabu.

Mpaka alikuwa anawaita "watu wa kitabu".

Ikabidi na yeye atunge kitabu ili Wwarabu nao wawe na kitabu.

Hapo ndipo uongo wote wa Quran ulipoanzia.

Ukiisoma unaona kabisa imeandikwa na ngumbaru asiyejua kuandika mambo kwa logical consistency, si kitabu cha Mungu.

Alichofanya muhamad ni kuchukua hadithi za wayahudi kupitia vitabu vyao na kuandika kitabu chake

Na warabu wenzake wakamsapoti kupitia kitabu hiko ili kushindana na wayahudi
 
Nitafanya maombi ya toba kwa ajili yako.

Vinginevyo ni hatar, unajua nimekubali kwamba matatzo tunayopata hapa dunian sababu Kubwa ni watu kama nyie, hii ni kufuru
 
Aliwaonea wivu wao wana kitabu, Wwaarabu hawakuwa na kitabu.

Mpaka alikuwa anawaita "watu wa kitabu".

Ikabidi na yeye atunge kitabu ili Wwarabu nao wawe na kitabu.

Hapo ndipo uongo wote wa Quran ulipoanzia.

Ukiisoma unaona kabisa imeandikwa na ngumbaru asiyejua kuandika mambo kwa logical consistency, si kitabu cha Mungu.

“The way it was explained to me is that Muhammad was a very
ordinary man.He could not read,didn’t know [how] to write.In
fact,he was an illiterate. And we’re talking about twelve [actually
about fourteen] hundred years ago.You have someone illiterate
making profound pronouncements and statements and that are
amazingly accurate about scientific nature. And I personally can’t
see how this could be a mere chance.There are too many
accuracies and, like Dr. Moore, I have no difficulty in my mind
that this is a divine inspiration or revelation which led him to these
statements.”

Hayo ndio maelezo ya mwanasayansi kuhusu Muhammad,ila kwa kuwa msingi wa msimamo wenu ni kuignore mambo na kupinga tu.
 
Yeye amejiita tu jina haina maana kama hao viumbe wapo

Hapa, suala si uwepo au kutokuwepo kwa hao viumbe, suala ni nini maana ya maneno Ibilisi na Sheitani!!.

Wewe unafahamu maana ya hayo maneno, badala ya kumuongoza Atheist mwenzako unamuacha tu huku pembeni ukimcheka, kitu ambacho hajui 😁😁😁😁, wewe Astronomer huna nia nzuri!!.😁😁.
 
Kaka embu na wewe jiite majina ambayo hayana wahusika.

Ukiweza kufanya hivyo,naomba ujibu pia maswali haya.

1. Je unamjua Ibilisi ni nani na ana sifa gani ?

2. Je shetani ni na ana sifa gani.

Kadhalika mswali haya :

3. Wewe umeumbwa ?

4. Je maneno yako yameumbwa ?

Nipo.......
 
Alichofanya muhamad ni kuchukua hadithi za wayahudi kupitia vitabu vyao na kuandika kitabu chake

Na warabu wenzake wakamsapoti kupitia kitabu hiko ili kushindana na wayahudi
Hili hata wakubwa zako katika upotofu huu mlio nao hawakuwahi kulithibitisha,bali hata mpewe miaka elfu hamwezi kuthibisha hayo myasemayo.

Sasa basi kwanini mnazua ?
 
Hapa, suala si uwepo au kutokuwepo kwa hao viumbe, suala ni nini maana ya maneno Ibilisi na Sheitani!!.

Wewe unafahamu maana ya hayo maneno, badala ya kumuongoza Atheist mwenzako unamuacha tu huku pembeni ukimcheka, kitu ambacho hajui , wewe Astronomer huna nia nzuri!!..
Kaka nakukumbusha tu,sifa za hawa watu ni kushindwa kujibu maswali. Mimi huwa nawauliza maswali ili watu waone ujinga wao.

Kwahiyo usitegemee kujibiwa maswali yako kwani kwao wao kusema uongo na kungumza pasi na elimu ni msinga wa fikra zao.

Tuko pamoja kaka....
 
Alichofanya muhamad ni kuchukua hadithi za wayahudi kupitia vitabu vyao na kuandika kitabu chake

Na warabu wenzake wakamsapoti kupitia kitabu hiko ili kushindana na wayahudi
Usiilazimishe akili yako ikubali hivyo kisa tu hauamini Mungu,ndio maana nikawaambia msome wanasayansi wanasemaje kuhusu hicho kitabu.

Hamwezi mkatetea msimamo wenu kwa kupinga na kuignore mambo tu.
 
Hapa, suala si uwepo au kutokuwepo kwa hao viumbe, suala ni nini maana ya maneno Ibilisi na Sheitani!!.

Wewe unafahamu maana ya hayo maneno, badala ya kumuongoza Atheist mwenzako unamuacha tu huku pembeni ukimcheka, kitu ambacho hajui 😁😁😁😁, wewe Astronomer huna nia nzuri!!.😁😁.

Mokaze kwani yeye kujiita hivyo kuna tatizo gani?

Kama akiwa anayo matendo mazuri kushinda wewe mwenye majina unayoona mazuri nani atakuwa ana tabia njema nani atakuwa mkarimu?

Kwa hiyo cha muhimu ni jina au tabia njema?

Na mtu akiwa ana matendo mabaya halafu jina lake zuri je mtu huyu jina lake litamsaidia?
 
Nashukuru umekiri kuwa hayo majina (ibilisi na shetani) ni majina mabaya, swali ni je majina mazuri yaliisha hadi mtu ajipe jina Ibilisi na isitoshe na akampa baba yake jina la Shetani !!😁😁.

Mbona wewe umejipa jina la kujitukuza !!, Astronomer the great.

Halafu hapa hatuzungumzii juu ya matendo mema na mabaya bali tunazungunzia juu ya uwepo wa Mungu, sasa unadhani mtu anayejiita Ibilisi bin Shetani anaweza kukubali kuwa Mungu yupo??, sababu shetani na Ibilisi mbele ya Mungu ni maluuni.

Ibilisi ni mtu mwenye kiburi na majivuno na shetani ni mtu muasi.

Sasa badala ya kumrekebisha mwenzako wewe unafurahi yeye kuwa na hayo majina mabaya au ndiyo sifa zenu nyie Atheists.
 
Usiilazimishe akili yako ikubali hivyo kisa tu hauamini Mungu,ndio maana nikawaambia msome wanasayansi wanasemaje kuhusu hicho kitabu.

Hamwezi mkatetea msimamo wenu kwa kupinga na kuignore mambo tu.

Kwa hiyo unabisha muhammad hakukopy quran kutoka kwa katika vutabu vya wayahudi?
 
Hili hata wakubwa zako katika upotofu huu mlio nao hawakuwahi kulithibitisha,bali hata mpewe miaka elfu hamwezi kuthibisha hayo myasemayo.

Sasa basi kwanini mnazua ?

Muhamad amekopy stori za biblia na kuandika quraan unabisha hilo?
 
Mokaze kwani yeye kujiita hivyo kuna tatizo gani?

Kama akiwa anayo matendo mazuri kushinda wewe mwenye majina unayoona mazuri nani atakuwa ana tabia njema nani atakuwa mkarimu?

Kwa hiyo cha muhimu ni jina au tabia njema?

Na mtu akiwa ana matendo mabaya halafu jina lake zuri je mtu huyu jina lake litamsaidia?

Mkuu umesema kweli jina halimfanyi mtu kuwa mtakatifu kikubwa matendo mazuri
 
Nashukuru umekiri kuwa hayo majina (ibilisi na shetani) ni majina mabaya, swali ni je majina mazuri yaliisha hadi mtu ajipe jina Ibilisi na isitoshe na akampa baba yake jina la Shetani !!😁😁.

Mbona wewe umejipa jina la kujitukuza !!, Astronomer the great.

Halafu hapa hatuzungumzii juu ya matendo mema na mabaya bali tunazungunzia juu ya uwepo wa Mungu, sasa unadhani mtu anayejiita Ibilisi bin Shetani anaweza kukubali kuwa Mungu yupo??, sababu shetani na Ibilisi mbele ya Mungu ni maluuni.

Ibilisi ni mtu mwenye kiburi na majivuno na shetani ni mtu muasi.

Sasa badala ya kumrekebisha mwenzako wewe unafurahi yeye kuwa na hayo majina mabaya au ndiyo sifa zenu nyie Atheists.

Kiburi cha iblisi na uasi wake upo wapi?
 
Similar Discussions

84 Reactions
Reply
Back
Top Bottom