Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kama kweli mungu angekuwepo basi tungemuona kwenye kivuko cha mv nyerere akiwaokoa watu. hata kwa tamka tu na angesema hawa watu wote wapone na kweli wangepona. Ili kudhihilisha umungu wake kama biblia isemavyo kwamba mungu aliuumba ulimwengu kwa kutamka maneno tu.

Lakini kwa sababu mungu hayupo basi watu ndio wameishia kufa kama kuku.

We vipi ???, Mungu kuchukua watu wake imekuwa shida??, mbona alipowawaleta duniani hatukukuona ukimpongeza??!!.

Kumbuka hata wewe atakuchukua tu, utake usitake 😁😁😁.

Kama unataka hama hapa duniani ukatafute "dunia" yako isiyokuwa na "trials and tribulations " au zuia usife.😁😁
 
kwa iyo ulitaka mungu afanye kama unavotaka wewe? wewe na mke wako au watoto wako mnakua na mawazo tofauti. inakuwaje wewe na mungu muwe na mawazo sawa?
 
We vipi ???, Mungu kuchukua watu wake imekuwa shida??, mbona alipowawaleta duniani hatukukuona ukimpongeza??!!.

Kumbuka hata wewe atakuchukua tu, utake usitake .

Kama unataka hama hapa duniani ukatafute "dunia" yako isiyokuwa na "trials and tribulations " au zuia usife.
Kwahiyo unachomaanisha ni kwamba duniani hata shetani hayupo. Ila mungu yeye ndio shetani mwenyewe amesimama katika nafasi mbili ktk wakati mmoja. Kwamaana mungu yeye ndio mtenda mema na mabaya
 
Kama kweli mungu angekuwepo basi tungemuona kwenye kivuko cha mv nyerere akiwaokoa watu. hata kwa tamka tu na angesema hawa watu wote wapone na kweli wangepona. Ili kudhihilisha umungu wake kama biblia isemavyo kwamba mungu aliuumba ulimwengu kwa kutamka maneno tu.

Lakini kwa sababu mungu hayupo basi watu ndio wameishia kufa kama kuku.
Umeshindwa kuona Uungu wake kwenye uumbaji ndiyo unataka uone kwenye kuwaokoa watu? Vitu vyengine vinafurahisha.
 
Kaka mkubwa unazidi kupuyanga. Nimeshakujibu kitambo na hapa nakujibu tena.

Leo ni tarehe 16/Muharramu/1440 Hijiriyya sawa na tarehe 25/9/2018 Miladiyya,na hivi sasa ni saa 15:59 alasiri.

Una swal lingine ?

Hayo ni makubaliano ya muhammad na watu waanzishe taeehe zao

Mfano leo ni al hamisi lakini wewe unao uhakika gani kama leo al hamisi

Embu nipe alama za siku ya al hamisi ili nijue kama leo al hamisi

Ukisema leo al himisi maana yake kuna sifa zimefanya mpaka iwe al hamisi nipe hizo sifa ili nijue al hamisi ina sifa hizi

Nikisema leo ijumaa utaweza nipinga?

Utatumia logic gani kunipinga mm kama leo nikiuambia ijumaa?
 
Nawezaje kuamini huo uumbaji wa kubahatisha? ambao watu wengine wanazaliwa vilema. wengine wanazaliwa na kufa hapo hapo na wengine wanakufa kabla ya kuzaliwa.
Ndiyo maana nikakushangaa unataka uone uungu kwenye ajali ya kivuko cha Mv nyerere,hivyo ni wazi hoja ya Mungu kuonesha uungu wake kwenye ajari ya hicho kivuko ulikuwa unajifurahisha tu.

Na ndiyo aina ya maswali na hoja zenu za humu.
 
Kama ile ilikua ni ajali basi ujue hata binadamu naye alitokea tu kama ajali hakuumbwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom