Hata shetani alianza Kama ww udadisi usio na maana,
Kwajinsi alivyotoa hizo sababu 10, utagundua kuwa mtoa mada kaisoma BIBLIA na kuirudia mara nyingi sana.Pole sana hujui uliwazalo ungekua unasoma biblia usingeweza kuanzisha thread kam hii. Majibu ya maswali yako yote yapo kwenye kitabu kitakatifu cha Mungu (BIBLIA)
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================

Nimejikuta nacheka sana
.....Interesting. You still have time to repent thoughNakaziaMungu akurehemu hujui unachokitenda Pole
Bandiko lako lina hoja kali sana dhidi ya imani ya Mungu na matendo yake kama yanavyoelezwa kwenye maandiko ya dini. Ngoja nikujibu1.KUMUUMBA SHETANI:

Shida ilianzia pale wazungu walipompa Mungu uhusika (character) kama wanavyofanya waigizaji.1.KUMUUMBA SHETANI:

Nini kilimfanya shetani kumuasi mungu??Bandiko lako lina hoja kali sana dhidi ya imani ya Mungu na matendo yake kama yanavyoelezwa kwenye maandiko ya dini. Ngoja nikujibu
Twende kazi :
1. KUMUUMBA SHETANI
Shetani hakuumbwa kama mwovu, bali kama kiumbe chenye heshima na nafasi ya juu (malaika). Alipoamua kwa hiari kumwasi Mungu, akawa adui wa haki. Mungu hakuwahi kumbana mtu kumtii; anawapa wote hiari. Mungu hatendi dhambi wala hachochei dhambi – ni kiumbe mwenyewe anayechagua. Hukumu ni ya haki, kwa sababu wema na uovu si sawa. Mungu atamuhukumu Shetani wakati wake ukifika (Ufunuo 20:10).
2. KUISHI MAFICHONI
Mungu hajifichi bali anaonekana kwa kazi zake, maumbile, dhamiri zetu, na kupitia kwa Kristo aliyechukua mwili (Yohana 1:14). Tatizo si Mungu kutoonekana, bali mwanadamu kutokutaka kumwona (Mathayo 13:13). Manabii wa uongo walitabiriwa, na maandiko yanatuonya kuwa makini nao – kosa si la Mungu bali la wale wanaokataa ukweli.
3. MAFURIKO YA NUHU
Mafuriko yalikuwa hukumu ya haki kwa kizazi kilichopotoka sana (Mwanzo 6:5–7). Ilikuwa ni onyo kwa vizazi vijavyo. Hata leo, maovu yako si kwa sababu Mungu alikosea, bali ni kwa sababu watu wanaendelea kuasi. Yesu alikuja si kwa sababu Mungu alikosea, bali kuleta wokovu wa mwisho na wa kiroho – la ndani, si la nje pekee.
4. SAFARI YA WANA WA ISRAELI
Nchi ya ahadi haikuwa tupu, bali ilikaliwa na mataifa yenye maovu ya kupindukia – uchawi, kafara za binadamu n.k. (Kumbukumbu 9:4–5). Hii haikuwa uporaji bali ni hukumu kwa wale mataifa na neema kwa Israeli. Gaddafi hakuwa Mungu, na hata yeye alishindwa. Mungu ana mamlaka ya kutoa ardhi kwa anayemtaka (Zaburi 24:1).
5. AHADI KWA ABRAHAMU
Ahadi ya uzao wa Abrahamu imekuwa kweli – Wayahudi, Waislamu na Wakristo wote wanamchukulia kama baba wa imani. Lakini pia ahadi hiyo ilikuwa ya kiroho (Warumi 4:16-18), si hesabu ya kichwa tu. “Wana wa Ibrahimu” ni wale wa imani pia, si damu tu. Wengi zaidi wanakuja kuokoka kila siku.
6. KUWEPO KWA ALLERGY
Allergy ni matokeo ya miili yetu kupotoka baada ya anguko la mwanadamu (Mwanzo 3). Mungu hakuumba dunia kwa mateso, bali kwa uzuri – mateso yalikuja baada ya dhambi. Bado Mungu hutumia hata udhaifu wetu kutufundisha, kutuweka karibu naye, na kuonesha neema yake.
7. MAJANGA ASILIA
Majanga haya ni sehemu ya dunia iliyoanguka kutokana na dhambi. Yanaleta hofu kwa binadamu lakini pia yanatufundisha huruma, mshikamano, na kutegemea msaada wa Mungu. Haya ni matokeo ya dunia isiyo kamili tena – lakini ahadi ni mbingu mpya na dunia mpya bila mateso (Ufunuo 21:4).
8. KUUMBA VIUMBE HATARISHI
Bakteria na virusi wengi ni wa manufaa – wachache tu ndio huleta magonjwa, hasa baada ya uharibifu wa mazingira na mwili. Mungu aliwaumba kwa lengo la kusawazisha maisha (mf. kwenye mmeng’enyo, mazingira n.k). Mateso yao ni matokeo ya mabadiliko, si mpango wa awali.
9. JEHANAMU NA MOTO WAKE
Jehanamu si kwa ajili ya binadamu bali kwa Shetani na malaika zake (Mathayo 25:41). Lakini mtu akimkataa Mungu kwa hiari na kukumbatia uovu, anachagua kujitenga naye. Haki ya Mungu si kinyongo, bali ni ushahidi wa kwamba anajali mema, na hapendi uovu ushinde bila adhabu. Msamaha hauondoi haki.
10. KASORO ZA MWILI WA BINADAMU
Mabadiliko ya jeni na kasoro za mwili ni matokeo ya dunia iliyoharibiwa na dhambi – si uumbaji wa awali wa Mungu. Kiungo kama appendix au chuchu za mwanaume vina maelezo ya kisayansi, lakini pia vinaonyesha kuwa mwili wa binadamu si bidhaa ya mwisho – bali sehemu ya safari ya kimungu kuelekea ukamilifu. Mwili wetu sasa si wa milele, bali wa muda, tukiingoja miili mipya (1 Wakorintho 15:42-44).
Kutokuamini au kuhoji si kosa – lakini hoja zisizo na msingi dhidi ya Mungu ni sawa na mtoto kumshutumu mzazi kwa kuwekewa mipaka. Mungu hakujiumba wala kuhitaji mwanadamu, ila aliumba kwa upendo. Yeye si dikteta wala mfichoni – yuko wazi kwa wanaomtafuta kwa moyo mnyofu (Yeremia 29:13). Mungu si wa kushindana naye – bali wa kuelewa, kumuamini na kumpenda.
“Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu” asema Bwana.
(Isaya 55:8)
Mpaka hapo najua umeelewa
Shetan hakuwah kuwa malaika leta andiko hapaBandiko lako lina hoja kali sana dhidi ya imani ya Mungu na matendo yake kama yanavyoelezwa kwenye maandiko ya dini. Ngoja nikujibu

Kuwaacha wasiojulikana waendelee kutuua huku yeye akitazama na asifanye jambo hili kwangu ndio Upungufu Mkubwa nao uona1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
Ni nini huwafanya wanaume kuchepuka wakiwa kwenye ndoa?Nini kilimfanya shetani kumuasi mungu??