Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Muhamad amekopy stori za biblia na kuandika quraan unabisha hilo?
Sipo hapa kubishana,yaani nina sema hivi jambo hilo HALIPO.

Wewe kama unasema ukweli leta hizo habari na uniambie kwanini unasema ame copy. Huku ukiwa unajiandaa kujibu maswali yangu nitakayo kuuliza kuhusu hizo habari.

Nasubiri.......
 
Kiburi cha iblisi na uasi wake upo wapi?

Ibilisi (Lucifer)
ni neno la kiarabu (semitic languages) na lina maana yake (ya kisifa) na mara zote hupewa mtu kulingana na hiyo sifa, mfano shetani maana yake ya kijumla ni kitu au mtu muovu na Ibilisi imebeba maana pana sana ya uovu.

Fungua na usome, Arabic English lexicon by W, Lane.
 
Hujaelewa swali naomba kujua kiburi na uasi wa iblis upo wapi nijibu hili swali
 
Sipo hapa kubishana,yaani nina sema hivi jambo hilo HALIPO.

Wewe kama unasema ukweli leta hizo habari na uniambie kwanini unasema ame copy. Huku ukiwa unajiandaa kujibu maswali yangu nitakayo kuuliza kuhusu hizo habari.

Nasubiri.......

kabla ya kuja quran kulikuwa na taurati na injil waarabu wa makka walikuwa wanavisoma vitabu hivi

muhamad amekopy stori hizi na kutunga quran

"amekuteremshieni kitabu kwa haki kinachosadikisha yaliyokuwa kabla yake na aliteremsha taurati na injili" 3:3 quran

Muhammad kama mwarabu naye alisoma hivyo vitabu na kutunga quran ambayo amechukua stori za humo
 
“The way it was explained to me is that Muhammad was a very
ordinary man.He could not read,didn’t know [how] to write.In
fact,he was an illiterate. And we’re talking about twelve [actually
about fourteen] hundred years ago.You have someone illiterate
making profound pronouncements and statements and that are
amazingly accurate about scientific nature. And I personally can’t
see how this could be a mere chance.There are too many
accuracies and, like Dr. Moore, I have no difficulty in my mind
that this is a divine inspiration or revelation which led him to these
statements.”

Hayo ndio maelezo ya mwanasayansi kuhusu Muhammad,ila kwa kuwa msingi wa msimamo wenu ni kuignore mambo na kupinga tu.
Kuna Ukiambiwa mwanasayansi kasema wewe haupo, utakubali?

Ukiambiwa mwanasayansi kasema Mungu hayupo, utakubali?
 
Point yangu sio kusema tu kwa mwanasayansi bali pont yangu hapo ni maelezo ya wanasayansi yenye kuhusu taaluma zao juu ya qur'an(kitabu ambacho wewe unaona amejitungia tu muhammad na hakina maana),sasa kama mwanasayansi akisema hakuna Mungu sio tatizo tutasikiliza hoja zake kwanini anasema hivyo.
 
kabla ya kuja quran kulikuwa na taurati na injil waarabu wa makka walikuwa wanavisoma vitabu hivi

muhamad amekopy stori hizi na kutunga quran

"amekuteremshieni kitabu kwa haki kinachosadikisha yaliyokuwa kabla yake na aliteremsha taurati na injili" 3:3 quran

Muhammad kama mwarabu naye alisoma hivyo vitabu na kutunga quran ambayo amechukua stori za humo
Kaka bado hujaonyesha wapi na vipi alitunga au ali copy maandiko.

Pili umenukuu aya,nakuuliza swali unajua nini maana ya kusadikisha ? Je kusadikisha ni kutunga na kama ni kutunga,maana ya kusadikisha ni kutunga umeipata wapi ?

Kaka nikisema huwezi kujibu swali nina maanisha,yaani hata hao wakubwa zako mkusanyike na tuwape miaka elfu hamuwezi kuthibitisha madai yenu.

Nasubiri jibu.
 
Point yangu sio kusema tu kwa mwanasayansi bali pont yangu hapo ni maelezo ya wanasayansi yenye kuhusu taaluma zao juu ya qur'an(kitabu ambacho wewe unaona amejitungia tu muhammad na hakina maana),sasa kama mwanasayansi akisema hakuna Mungu sio tatizo tutasikiliza hoja zake kwanini anasema hivyo.
Quran imejaa contradictions, unaelewa hilo?
 
Mwenyewe unajicontradict

Unasema Mungu hayupo halafu unataka kujenga hoja zako kwa kutumia misingi ya vitabu vya huyo asiyekuwa _we vipi.!?

Katafute proof kwengine labda kwenye nature_ ndio tukusikilize
Hapana.

Nasema Mungu hayupo.

Nasema hivyo vitabu vinavyosemwa kwamba ni vya Mungu vina contradictions.

Contradictions zinazoonesha si vitabu vya Mungu.

Vingekuwa vya Mungu asingeachia viwe na contradictions.

Mtu anayeamini Quran ni kitabu cha Mungu, inatakiwa umuoneshe makosa yaliyo kwenye Quran. Si makosa yaliyo katika katiba ya Tanzania.

Unataka nitumie kitabu gani kumbishia Muislamu kwamba Allah ni Mungu wa uongo?

Kupinga hoja kwa kutumia hoja hiyo hiyo kunaitwa "immanent criticism". Google that.

Kwamba. Hata kama nataka kuikubali Quran leo niwe Muislam, naona ina matatizo haya, ina contradiction.

Mungu wa Quran anawazibia watu nafasi ya kumjua yeye Mungu. Halafu anawahukumu kwa kutomjua Mungu.

That is a contradiction.

Quran si kitabu cha Mungu. K8na contradiction.

Umeelewa somo hili?
 
Quran/Bible si kitabu cha Mungu, kipi ni kitabu cha Mungu?
 
Nalo hili ni somo...!?

Tatizo ni hujui kama una tatizo

Nigugo vitu vya wapuuzi wakati kuna wahenga wa kimatumbi wanaeleweka kuliko wao

Kwetu kuna msemo unasema

'huwezi kumjua mchawi bila wewe pia kuwa mchawi'

Wakiwa na maana kwa mfano

Ikiwa mtu hujui Chai ni nini na ukabahatika kwenda china na wakakukaribisha kinywaji chao

Wakakuambia hii ni chai huna sababu ya kukataa hata kama ladha yake inawiana na Gongo au togwa itabaki chai tu kwao

Na ndio kipimo cha mtu asiyefahamu jambo a.k.a Mjinga kuhusu jambo

Huwezi ukapayuka na kuleta pingimazi kwa wenyeji wako kuwa ni wajinga kwa kukupa Gongo badala ya chai...!?

Ima labda uwe tayari umeshawahi kunywa chai kabla inayokupa sifa na sababu ya kupingia gongo yao kuwa sio chai

Wewe unasema Quran sio kitabu cha Mungu

Wakati wewe ni mgeni katika imani yao huna lolote unalojua juu ya kitabu chao

Lakini bado unaleta ubishi juu yake....!?

Ni lazima utakuwa na viwango vyako vinavyokupelekea kupinga utaratibu wao( na ndio tunavitaka)

Ama la basi huna sababu ya kupinga na ukiendelea utakuwa Mpumbavu
 
Hakuna kitabu cha Mungu.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Mungu angekuwepo na angetaka tumjue, angetupa habari zake zote kwenye DNA na kwenye ubongo tumjue bila kitabu.

Kwa namna hiyo, Wadigo wasingelalamika kwamba hawajui Kiarabu na hivyo hawawwzi kusoma Quran.

Wewe huoni Mungu aliyeshusha yabari zake kwa Waarabu kawapunja Wadigo?

Huoni kwamba ni upumbavu kwa Wadigo kuacha kuelekea kwao, inakuwa wakisali wanaelekea Mecca?

Huoni kwamba huu ni ukoloni wa kidini na kushikiwa akili?
 
Nalo hili ni somo...!?

Tatizo ni hujui kama una tatizo

Nigugo vitu vya wapuuzi wakati kuna wahenga wa kimatumbi wanaeleweka kuliko wao

Kwetu kuna msemo unasema

'huwezi kumjua mchawi bila wewe pia kuwa mchawi'

Wakiwa na maana kwa mfano

Ikiwa mtu hujui Chai ni nini na ukabahatika kwenda china na wakakukaribisha kinywaji chao

Wakakuambia hii ni chai huna sababu ya kukataa hata kama ladha yake inawiana na Gongo au togwa itabaki chai tu kwao

Na ndio kipimo cha mtu asiyefahamu jambo a.k.a Mjinga kuhusu jambo

Huwezi ukapayuka na kuleta pingimazi kwa wenyeji wako kuwa ni wajinga kwa kukupa Gongo badala ya chai...!?

Ima labda uwe tayari umeshawahi kunywa chai kabla inayokupa sifa na sababu ya kupingia gongo yao kuwa sio chai

Wewe unasema Quran sio kitabu cha Mungu

Wakati wewe ni mgeni katika imani yao huna lolote unalojua juu ya kitabu chao

Lakini bado unaleta ubishi juu yake....!?

Ni lazima utakuwa na viwango vyako vinavyokupelekea kupinga utaratibu wao( na ndio tunavitaka)

Ama la basi huna sababu ya kupinga na ukiendelea utakuwa Mpumbavu
Unaji contradict.

Una wahenga wa Kimatumbi unaowasifia, halafu unanishambulia mimi nikisema Quran iliyoandikwa Kiarabu inayowataka watu, pamoja na wahenga wako wa Kimatumbi wasujudie Mecca kwa kusema Kiarabu, kuwa si ya Mungu.

Huyo Mungu mbona kawasahau wahenga wako wa Kimatumbi hajawapa Qabba Muhoro na kushusha Quran ya Kimatumbi?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Hujaelewa swali naomba kujua kiburi na uasi wa iblis upo wapi nijibu hili swali

Na wewe hujanielewa, mimi naongelea juu ya maana ya maneno (majina) "Ibilisi" na "Shetani" na wala siongelei juu matendo ya huyo Ibilisi na Shetani, upo!!?.

Mfano, kama mtu ajipe jina "Mwehu" ama awe mwehu kiukweli au asiwe mwehu ninachoangalia hapo ni maana ya hilo jina kwamba iweje ajipe hilo jina ilhali majina mengine mazuri yapo??.

Fungua Arabic dictionaries na uangalie maana ya hayo maneno, bila shaka utajilaumu kwa nini ulijipa hayo majina.

Na mbaya zaidi hata baba yako umempa jina baya kwa sababu unapojiita bin Shetani kwa kiarabu maana yake ni mtoto wa "Shetani" je baba yako akiona umejiita namna hiyo atakuchukuliaje wewe??.

Usiwe na jazba fikiria hilo jambo kama Gentleman. Kama ulitaka kuficha identity yako yapo majina mazuri mengi tu mfano ona jina la huyo rafiki yako --- the great,😁😁😁
 
Unaji contradict.

Una wahenga wa Kimatumbi unaowasifia, halafu unanishambulia mimi nikisema Quran iliyoandikwa Kiarabu inayowataka watu, pamoja na wahenga wako wa Kimatumbi wasujudie Mecca kwa kusema Kiarabu, kuwa si ya Mungu.

Huyo Mungu mbona kawasahau wahenga wako wa Kimatumbi hajawapa Qabba Muhoro na kushusha Quran ya Kimatumbi?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Sasa basi ungesema _'nina wivu na waarabu kwanini Wao na si wamatumbi'

Hapo ungeeleweka

Na wapo wengi tu humu wenye imani na kitabu chao wangekusaidia
 
Na wewe hujanielewa, mimi naongelea juu ya maana ya maneno (majina) "Ibilisi" na "Shetani" na wala siongelei juu matendo ya huyo Ibilisi na Shetani, upo!!?.

Mfano, kama mtu ajipe jina "Mwehu" ama awe mwehu kiukweli au asiwe mwehu ninachoangalia hapo ni maana ya hilo jina kwamba iweje ajipe hilo jina ilhali majina mengine mazuri yapo??.

Fungua Arabic dictionaries na uangalie maana ya hayo maneno, bila shaka utajilaumu kwa nini ulijipa hayo majina.

Na mbaya zaidi hata baba yako umempa jina baya kwa sababu unapojiita bin Shetani kwa kiarabu maana yake ni mtoto wa "Shetani" je baba yako akiona umejiita namna hiyo atakuchukuliaje wewe??.

Usiwe na jazba fikiria hilo jambo kama Gentleman. Kama ulitaka kuficha identity yako yapo majina mazuri mengi tu mfano ona jina la huyo rafiki yako --- the great,😁😁😁
Ibilisi, Shetani, Malaika, Mungu, Malaika yote ni majina ya hadithi tu.

Si majina ya vilivyopo kiuhalisia.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha hata kimoja kati ya hayo majina kipo kwa uhalisia.
 
Nalo hili ni somo...!?

Tatizo ni hujui kama una tatizo

Nigugo vitu vya wapuuzi wakati kuna wahenga wa kimatumbi wanaeleweka kuliko wao

Kwetu kuna msemo unasema

'huwezi kumjua mchawi bila wewe pia kuwa mchawi'

Wakiwa na maana kwa mfano

Ikiwa mtu hujui Chai ni nini na ukabahatika kwenda china na wakakukaribisha kinywaji chao

Wakakuambia hii ni chai huna sababu ya kukataa hata kama ladha yake inawiana na Gongo au togwa itabaki chai tu kwao

Na ndio kipimo cha mtu asiyefahamu jambo a.k.a Mjinga kuhusu jambo

Huwezi ukapayuka na kuleta pingimazi kwa wenyeji wako kuwa ni wajinga kwa kukupa Gongo badala ya chai...!?

Ima labda uwe tayari umeshawahi kunywa chai kabla inayokupa sifa na sababu ya kupingia gongo yao kuwa sio chai

Wewe unasema Quran sio kitabu cha Mungu

Wakati wewe ni mgeni katika imani yao huna lolote unalojua juu ya kitabu chao

Lakini bado unaleta ubishi juu yake....!?

Ni lazima utakuwa na viwango vyako vinavyokupelekea kupinga utaratibu wao( na ndio tunavitaka)

Ama la basi huna sababu ya kupinga na ukiendelea utakuwa Mpumbavu

Ndio maana Kiranga nikimuuliza maswali yangu hajibu. Sasa kujadiliana na mtu mjinga asie jua chochote katika Qur'an ni kupoteza muda.

Angekuwa mtu wa kusoma mtu wa elimu,juzi kati hapa nilimuuliza swali hili :

Unajua kwanini Allah alie juu anawaziba watu masikio,macho na mioyo ? Ukweli hajui,badala ya kujibu swali nililo muuliza yeye alivyokuwa mtovu wa adabu za kielimu akawa anataka mimi nimjibu hilo swali,nikamwambia wazi silijibu swalo hilo kwa kujidai yeye mjuaji.

Nina uhakika Kiranga hajui hata kuisoma Qur'an bali nukuu zake zote anazitoa google,sasa watu wa elimu hawafanyi mambo kwa mtindo huo,watu wa elimu wanasoma hasa.

Mimi kazi yangu kwa Kiranga nimeimaliza,na hata hoja isipokuwa upuuzi mtupu.

Nataka akija tena aje na maswali yangu yote niliyomuuliza. Kisha tujadili mada mpya. Ila kwa maada hii kazi nimemaliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom