Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kipi unadhani kinaweza kuwa uthibitisho wa kuwepo Mungu? Nitajie ili nikuthibitishie.
Alisema anatuwazia mema na anauwezo wa kujua jambo la mbele kabla halijatokea na ni mungu muweza wa vyote sasa kwanini asizuie? Mungu ni wa haki kwanini kuwe na masikini na matajiri kwanini wote tusiwe sawa? kosa kama walifanya adam na eva kwanini nasis anatuhukumu? na yeye kwanini aumbe hilo tunda la mema na mabaya lilikua na kazi gani? wakati anasema hakuumba dhambi hilo tunda liliumbwa na nani?
 
Unanileta ninakotaka.

Ni kweli kwamba kushindwa kuthibitisha kitu hakufanyi kitu kisiwepo au kisiwe kweli.

Ila, ni kweli pia kwamba kitu ambacho hakipo, hakithibitishiki kuwa kipo, kwa sababu hakipo.

Mtoto wa miaka 15 anaweza kushindwa kuthibitisha kwamba baba yake mzazi, mwenye miaka 45, ni baba yake mzazi.

Kushindwa kwa huyu mtoto kuthibitisha kwamba baba yake mzazi ni baba yake mzazi, hakumfanyi baba yake mzazi asiwe baba yake mzazi.

Kwa hiyo, ni kweli, kushindwa kuthibitisha kitu tu, hakufanyi hicho ambacho hakijaweza kuthibitishwa kisiwe kweli.

Tatizo lako si tu umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo tu, umeshindwa kuondoa contradiction pia.

Unakuwa kama mtu mwenye miaka 45, anayesema kwamba mtoto wa miezi mitatu ndiye mama yake mzazi aliyemzaa.

Akaombwa uthibitisho, akashindwa.

Huyu si tu kashindwa kuthibitisha, kashindwa kuthibitisha na kashindwa kuondoa contradiction.

Sasa far and above kuthibitisha tu kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Fanya hivi.

1. Thibitisha yupo
2. Ondoa contradiction ya problem of evil. Kama Mungu huyo yupo, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kuwepo, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kuwepo?
Kiranga nirudie mara ngapi kukwambia kuwa siwezi kuthibitisha ili unielewe? Yani nakujibu ila unarudia tena na tena.

Siwezi kujadili suala la problem of evil ikiwa ushahitimisha kuwa hakuna Mungu,maana unataka kwanza nithibitishe uwepo wa Mungu ndipo tuweze kujadili hilo suala.
 
Alisema anatuwazia mema na anauwezo wa kujua jambo la mbele kabla halijatokea na ni mungu muweza wa vyote sasa kwanini asizuie? Mungu ni wa haki kwanini kuwe na masikini na matajiri kwanini wote tusiwe sawa? kosa kama walifanya adam na eva kwanini nasis anatuhukumu? na yeye kwanini aumbe hilo tunda la mema na mabaya lilikua na kazi gani? wakati anasema hakuumba dhambi hilo tunda liliumbwa na nani?
Unaniuliza maswali yenye kumuhusu Mungu wakati wewe unasema hakuna Mungu,tutaelewana kweli?
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu unaoruhusu uovu kuwezekana kuwepo.
Ushasema Mungu hayupo sasa hayo ya angekuwepo asingeumba aina hii ya ulimwengu unayatoa kwenye nini?

Kwa sababu hayo ya Mungu kuwa na upendo na ujuzi unasema si maneno ya Mungu kwa sababu hayupo.
 
Ushasema Mungu hayupo sasa hayo ya angekuwepo asingeumba aina hii ya ulimwengu unayatoa kwenye nini?

Kwa sababu hayo ya Mungu kuwa na upendo na ujuzi unasema si maneno ya Mungu kwa sababu hayupo.
Thibitisha Mungu yupo kama unasema yupo.

Acha longolongo.
 
Kiranga nirudie mara ngapi kukwambia kuwa siwezi kuthibitisha ili unielewe? Yani nakujibu ila unarudia tena na tena.

Siwezi kujadili suala la problem of evil ikiwa ushahitimisha kuwa hakuna Mungu,maana unataka kwanza nithibitishe uwepo wa Mungu ndipo tuweze kujadili hilo suala.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo wala kuondoa problem of evil.

Kwa sababu Mungu hayupo.
 
Unaniuliza maswali yenye kumuhusu Mungu wakati wewe unasema hakuna Mungu,tutaelewana kweli?
Hata ukisema pembetatu duara ipo, nitakuuliza uthibitishe hiyo pembetatu duara ipo.

Utashindwa.

Kwa sababu haipo.

Na Mungu hivyo hivyo.

Kama unasema Mungu yupo, thibitisha yupo.
 
Hata ukisema pembetatu duara ipo, nitakuuliza uthibitushe hiyo pembetatu duara ipo.

Utashindwa.

Kwa sababu haipo.

Na Mungu hivyo hivyo.

Kama unasema Mungu yupo, thibitisha yupo.
Hawezi kujibu huyo angekuwepo mbn angejibu
 
Thibitisha Mungu yupo kama unasema yupo.

Acha longolongo.
Mie nishasema siwezi kuthibitisha,ila wewe hadi sasa haujaweza kuonesha ni vp hakuna Mungu,matokeo yake unarukia kujadili upendo na ujuzi wa Mungu wakati ushasema kuwa huyo Mungu hayupo.
 
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo wala kuondoa problem of evil.

Kwa sababu Mungu hayupo.
Wewe hauwezi kueleza ni vp hakuna Mungu ila unaishia kusema tu hakuna Mungu.

Kama unaweza kueleza ni vp hakuna Mungu,fanya hivyo tuone.
 
Mie nishasema siwezi kuthibitisha,ila wewe hadi sasa haujaweza kuonesha ni vp hakuna Mungu,matokeo yake unarukia kujadili upendo na ujuzi wa Mungu wakati ushasema kuwa huyo Mungu hayupo.
Sijaweza kuonesha au wewe ndiye huwezi kuona hata nikikuwekea gazeti chini ya pua?
 
Hata ukisema pembetatu duara ipo, nitakuuliza uthibitishe hiyo pembetatu duara ipo.

Utashindwa.

Kwa sababu haipo.

Na Mungu hivyo hivyo.

Kama unasema Mungu yupo, thibitisha yupo.
Wewe unayesema hayupo umeweza kuonesha kuwa hayupo?
 
Wewe hauwezi kueleza ni vp hakuna Mungu ila unaishia kusema tu hakuna Mungu.

Kama unaweza kueleza ni vp hakuna Mungu,fanya hivyo tuone.
Utaelewaje tofauti ya kuna na hakuna wakati unakumbatia contradiction?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom