Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,466
- 151,513
Kwanza kabisa mpaka sasa tulipofikia unajua contradiction ni nini?Contradiction ipi?hebu tuijadili.
Kwanza kabisa mpaka sasa tulipofikia unajua contradiction ni nini?Contradiction ipi?hebu tuijadili.
Ebwana kuna uzi fulani ulikuwepo muda si mrefu sana,sasa nimeingia hivi punde siuoni. Kichwa cha uzi huo kinasomeka "Kiranga sio kosa lake kuwa non beliver........"Kwanza kabisa mpaka sasa tulipofikia unajua contradiction ni nini?
Kwanza kabisa mpaka sasa tulipofikia unajua contradiction ni nini?
Unaelewa kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kuumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya, ni contradiction?the act of saying something that is opposite or very different in meaning to something else
: a difference or disagreement between two things which means that both cannot be true.
Contradiction iko wapi ?Unaelewa kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kuumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya, ni contradiction?
Sasa hapo ndiyo unaonesha Mungu hakuna kwa sababu kuna contradiction au unaonesha contradiction kwenye maelezo yenye kumuhusu Mungu?Unaelewa kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kuumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya, ni contradiction?
Contradiction inaonesha Mungu hayupo.Sasa hapo ndiyo unaonesha Mungu hakuna kwa sababu kuna contradiction au unaonesha contradiction kwenye maelezo yenye kumuhusu Mungu?
Kwa sababu hapo kwako wewe(ambaye unazema hakuna Mungu) ni sawa na kutaka kujadili contradiction zilizopo kwenye maelezo ya kutoka kwa Nyerere kwenda kwa rais Magufuli wakati huyo Nyerere mwenyewe hayupo na hivyo hayo maelezo sio yake.
Nyuzi nyingine zinaanzishwa kwa shobo na nyege tu mods wanaona waziue kifo cha utotoni kama zimekosa chanjo ya surua.Ebwana kuna uzi fulani ulikuwepo muda si mrefu sana,sasa nimeingia hivi punde siuoni. Kichwa cha uzi huo kinasomeka "Kiranga sio kosa lake kuwa non beliver........"
Hivi imekuwaje ule uzi siuoni au umetolewa ?
Nimekuelewa kaka mkubwa !Nyuzi nyingine zinaanzishwa kwa shobo na nyege tu mods wanaona waziue kifo cha utotoni kama zimekosa chanjo ya surua.
Watu wengine wanaona kuweka jina la Kiranga kwenye heading mtaji wa kupata watu kwenye thread.
Ukisoma thread haina jipya. Ukitaka kujadili unaona watu wanaendeleza shobo za ushabiki zaidi ya mjadala.
Siwezi kushangaa mods wakizipotezea.
Tutajadili vp maelezo ya Mungu kuwa na contradiction wakati wewe ulishasema hakuna Mungu na kwa hiyo maelezo yote hayo ya kuhusu upendo ujuzi dhambi n.k,yote hayo sio ya Mungu kwa sababu hayupo.Contradiction inaonesha Mungu hayupo.
Kwa sababu.
1. Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote haumbi ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya.
2. Ulimwengu huu una mabaya.
3. Hivyo, Mungu hayupo.
Tunaweza kujadili habari za kitu ambacho hakipo? Au hatuwezi?Tutajadili vp maelezo ya Mungu kuwa na contradiction wakati wewe ulishasema hakuna Mungu na kwa hiyo maelezo yote hayo ya kuhusu upendo ujuzi dhambi n.k,yote hayo sio ya Mungu kwa sababu hayupo.
Sasa ajabu tena unaniletea maelezo hayo hayo ya ambaye ushasema hayupo ndio tujadili contradictions zake!!
Nauliza tena Mungu hayupo au maelezo ya Mungu yana contradictions? Maana kama Mungu hayupo itakuwa itakuwa kazi bure kujadili maelezo yenye contradictions yenye kumuhusu asiyekuwepo.
Kabla ya kujadili habari za hicho kitu ambacho hakipo nataka kwanza kujua ni vp hakipo.Tunaweza kujadili habari za kitu ambacho hakipo? Au hatuwezi?
Kwa sababu kina ana inherrent contradiction.Kabla ya kujadili habari za hicho kitu ambacho hakipo nataka kwanza kujua ni vp hakipo.
Ni hivi kwamba habari za kwamba Mungu ana upendo wote,ujuzi wote,uwezo wote na ndiyo kaumba huu ulimwengu. Haya ni maelezo tunayoambiwa ni ya Mungu,na wewe ushasema Mungu hayupo na kwa hiyo hayo maelezo hayawezi kuwa ya Mungu.Kwa sababu kina ana inherrent contradiction.
Kama "pembetatu duara" katika Euclidean planes.
Tunaweza kujadili habari za "pembetatu duara" katika Euclidean planes?
Sawa.Mungu hayupo. Hayo maelezo ni hadithi zilizotungwa na watu tu kama habari za Mungu, wakati huyo Mungu hayupo.Ni hivi kwamba habari za kwamba Mungu ana upendo wote,ujuzi wote,uwezo wote na ndiyo kaumba huu ulimwengu. Haya ni maelezo tunayoambiwa ni ya Mungu,na wewe ushasema Mungu hayupo na kwa hiyo hayo maelezo hayawezi kuwa ya Mungu.
Mpaka hapo tupo sawa kwanza?
Kwanini unakimbilia kusema kama nabisha? Maana mie kubisha au kutokubisha sio muhimu bali muhimu ni ukweli.Sawa.Mungu hayupo. Hayo maelezo ni hadithi zilizotungwa na watu tu kama habari za Mungu, wakati huyo Mungu hayupo.
Pia, Mungu hayupo, ndiyo maana huwezi kuthibitisha kwamba yupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Kwanini unakimbilia kusema kama nabisha? Maana mie kubisha au kutokubisha sio muhimu bali muhimu ni ukweli..
Sasa je unaweza kueleza kwanini unasema hakuna Mungu?nataka kujua sababu za wewe kuona hakuna Mungu.
Hiyo post uliyoitaja ina maelezo ambayo unasema sio ya Mungu, kwa sababu Mungu hayupo. Kwa hivyo kujadili hayo maelezo ni sawa na kujadili contradictions kwenye maelezo ya Nyerere kuhusu rais Magufuli,wakati Nyerere mwenyewe hayupo.Kama huelewi kwamba ukweli unapatikana na kuhakikiwa kwa mabishano, kazi yangu kubwa sana.
.
Rudi kusoma post namba 1749.
Inaonekana umeinukuu bila kuielewa na unarudia kuuliza swali ambalo nishalijibu mara lukuki hapa.
Kwani mimi nasema Mungu yupo?Hiyo post uliyoitaja ina maelezo ambayo unasema sio ya Mungu, kwa sababu Mungu hayupo. Kwa hivyo kujadili hayo maelezo ni sawa na kujadili contradictions kwenye maelezo ya Nyerere kuhusu rais Magufuli,wakati Nyerere mwenyewe hayupo.