Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kwani mimi nasema Mungu yupo?
Wewe unasema Mungu hayupo na ndiyo maana nashangaa unataka tujadili maelezo yenye kuhusu Mungu wakati ushasema Mungu hayupo.

Sio kwamba hatuwezi kujadili tunaweza ila kabla ya kujadili mie nataka ueleze kwanza ni vp Mungu hayupo kabla ya kujadili hayo maelezo yenye contradictions.
 
Kwa nini unashangaa ninapotaka tujadili maelezo yenye kuhusu Mungu ambaye hayupo?
 
Kwa nini unashangaa ninapotaka tujadili maelezo yenye kuhusu Mungu ambaye hayupo?
Kwa sababu badala ya kuwaeleza watu ni vp hakuna Mungu? Unajadili maelezo ya kuhusu Mungu. Matokeo yake ndiyo unakuja kusema kwamba kifo kisingekuwepo kama Mungu angekuwepo,halafu ukisahishwa kwa kuelezwa ni vp Mungu amekizungumzia kifo,unarudi kusema hayo maneno sio ya Mungu kwa sababu Mungu hayupo.
 
Unaweza kueleza watu kwamba pembetatu duara haipo bila kujadili maelezo ya kuhusu pembetatu duara?

Kuna chochote ambacho hakipo ambacho unaweza kukielezea kwamba hakipo bila kujadili maelezo yake?

Kukielezea kwamba hakipo tu si kujadili maelezo yake?
 
Nimekuwa nikitoa mfano mara nyingi tu hapa.

Ni kwamba tunaweza kujadili maelezo ya Nyerere kumwambia rais Magufuli,lakini wakati huo tunajua kuwa Nyerere hayupo.
Hivyo hayo maelezo yakiwa na contradictions au yasiwe na contradictions ila ni fact kwamba Nyerere hayupo.

Sasa unataka tujadili maelezo ya kitu ambacho wewe umeshahitimisha kuwa hakipo,kwa sababu tutatumia maelezo hayo hayo kujadiliana na matokeo yake ndio huwa unapinga hayo maelezo na kudai uthibitisho wa uwepo wake kwanza maana wewe umeshahitimisha kuwa hayupo na hayo maelezo hauwezi kukubali hata moja kuwa yametoka kwa Mungu.

Halafu kuwepo au kutokuwepo kwa contradictions kwenye hayo maelezo bado hakutatui suala letu la kuwepo au kutokuwepo kwa uwepo wa Mungu.
 
Nimekuwa nikitoa mfano mara nyingi tu hapa.

Ni kwamba tunaweza kujadili maelezo ya Nyerere kumwambia rais Magufuli,lakini wakati huo tunajua kuwa Nyerere hayupo.
Hivyo hayo maelezo yakiwa na contradictions au yasiwe na contradictions ila ni fact kwamba Nyerere hayupo.

Sasa unataka tujadili maelezo ya kitu ambacho wewe umeshahitimisha kuwa hakipo,kwa sababu tutatumia maelezo hayo hayo kujadiliana na matokeo yake ndio huwa unapinga hayo maelezo na kudai uthibitisho wa uwepo wake kwanza maana wewe umeshahitimisha kuwa hayupo na hayo maelezo hauwezi kukubali hata moja kuwa yametoka kwa Mungu.

Huu mfano wako wa Nyerere haufai, kwa sababu Nyerere aliwahi kuwapo, na sasa hayupo.

Mungu hajawahi kuwapo.Na sasa hayupo.

Tafuta mfano unaofanana na unachokifananisha.

Kanuni ya msingi kabisa ya mifano ni uwiano. Usitoe mfano wa kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwapo, kwa kutumia kitu ambacho kiliwahi kuwapo na sasa hakipo.

Utawachanganya watu.

Ndiyo maana mimi natumia mfano wa "pembetatu duara" ambayo haipo na haijawahi kuwapo.

Unaweza kutumia mfano wa ambacho hakipo na hakijawahi kuwapo?
 
Suala si mfano wa Nyerere tu bali nimeshaeleza ni vp hatuwezi kujadili maelezo ya kitu ambacho wewe umeshahitimisha kuwa hakipo,kwa sababu mie naamini hayo maelezo ni ya Mungu na wewe unapinga sio ya Mungu kwa sababu Mungu hayupo na kudai uthibitisho kuwepo kwa Mungu.

Sasa hapo tutafika wapi kwa mjadala wa namna hiyo?
 
Kwa nini unasema hatuwezi kukijadili kitu ambacho tayari tunakijadili, na kwa hivyo, tayari tunaweza kukijadili?

Tuachane na maswali kama unaelewa ninachoandika mimi hapa.

Unaelewa hata unachoandika wewe mwenyewe?
 
Nakusudia maelezo ya Mungu kama kuwa ana upendo,ujuzi,uwezo na ndiyo aliyeumba huu ulimwengu.
 
Nakusudia maelezo ya Mungu kama kuwa ana upendo,ujuzi,uwezo na ndiyo aliyeumba huu ulimwengu.
Sasa unasemaje hatuwezi kuyajadili hayo, wakati hata kwa kunijibu hivyo tu, tayari tunayajadili?

Hivi unaelewa hata unachotaka kuandika wewe mwenyewe ni kipi?
 
Kidole tumbo (appendix) kazi yake ni Ku cent fugue vitu vigumu eg.mawe anayomeza binadamu kwa bahati mbaya.
 
Sasa unasemaje hatuwezi kuyajadili hayo, wakati hata kwa kunijibu hivyo tu, tayari tunayajadili?

Hivi unaelewa hata unachotaka kuandika wewe mwenyewe ni kipi?
Nimesema hatuwezi kuyajadili kutokana na yale yanayotokea wakati tukijadili,mfano wewe huwa unasema kama Mungu angekuwepo kusingekuwa na kifo hivyo kuwepo kifo ni inaonesha hakuna Mungu,mie nikikujibu hilo suala la kuwepo kifo mwisho unaniambia nithibitishe kwanza Mungu yupo.

Tayari hapo unakuwa umeshaweka kizuizi cha kuendelea kwa huo mjadala.
 
nadhani ni mtazamo wako tu.

ila sio sahihi kwasababu Mungu hakukosea,hajakosea na hatakosea
 
ilishaandikwa akili zake si za mwanadamu... kwahyo hayo maswal kupata majibu ni ngumu kwa akili za binadamu. Pia jaribu kusoma kisa cha st. Augustine maana na yeye alijaribu kumchunguza Mungu kama wewe unavyojaribu
 
Huu mfano wako wa Nyerere haufai, kwa sababu Nyerere aliwahi kuwapo, na sasa hayupo.

Mungu hajawahi kuwapo.Na sasa hayupo.

Tafuta mfano unaofanana na unachokifananisha.

Kanuni ya msingi kabisa ya mifano ni uwiano. Usitoe mfano wa kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwapo, kwa kutumia kitu ambacho kiliwahi kuwapo na sasa hakipo.

Utawachanganya watu.

Ndiyo maana mimi natumia mfano wa "pembetatu duara" ambayo haipo na haijawahi kuwapo.

Unaweza kutumia mfano wa ambacho hakipo na hakijawahi kuwapo?
Bro nakuuliza hili swali. Muda ulianza kuwepo lini ?

Sasa bro pembe tatu duara ina uwiano vipi na Mola muumba mpaka uitolee mfano kisa eti haikuwepo ?

Bro elimu ya utoaji mifano haishii katika uwiano tu bsli inaenda mbali mpaka katika kutoa utafauti baina ya viwili vyenye kufanana.

Sasa mfano wako wa pembe tatu duara kwa kuigemezea kutokuweko kwake ni ufinyu wa kifikiri na kutumia akili.

Tukianza kuichambua hiyo pembe tatu duara hatutoki nje hali ya MUDA.

Sasa natilia mkazo katika swali langu la MUDA nililo kuuliza hapo juu.
 
Huu mfano wako wa Nyerere haufai, kwa sababu Nyerere aliwahi kuwapo, na sasa hayupo.

Mungu hajawahi kuwapo.Na sasa hayupo.

Tafuta mfano unaofanana na unachokifananisha.

Kanuni ya msingi kabisa ya mifano ni uwiano. Usitoe mfano wa kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwapo, kwa kutumia kitu ambacho kiliwahi kuwapo na sasa hakipo.

Utawachanganya watu.

Ndiyo maana mimi natumia mfano wa "pembetatu duara" ambayo haipo na haijawahi kuwapo.

Unaweza kutumia mfano wa ambacho hakipo na hakijawahi kuwapo?
Hivi bro kwanza unakiri ya kuwa hujawahi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola muumba zaidi ya kubananga maneno ? Nakulalamika kijinga ?
 
Sasa unasemaje hatuwezi kuyajadili hayo, wakati hata kwa kunijibu hivyo tu, tayari tunayajadili?

Hivi unaelewa hata unachotaka kuandika wewe mwenyewe ni kipi?
Bro ushawahi kufikiri kinyume na haya unayofikiri hata kwa dakika moja ?
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Wewe ulitaka Mola aumbaje ?

Japokuwa hujaonyesha makosa ya Mola na hutaweza. Muache kulalamika muwe mnafikiria pande mbili sio moja tu.

Jaribu kufikiri kinyume na haya unayoyafikiria. Kisha uje kunipa jibu umeona nini ?
 
Sijamdhihaki nimesema kweli. Kwani kuna uongo hapo??
Duuh unafanya comedy na mambo ya MUNGU! Kama mmoja wetu alivosema ungeanza kuweka naakosa yako hapa.
Ni kweli Mungu kajificha. Siku Mungu akijificha utakufa instantly. Pumzi unayovuta unajua chanzo chake.
Tafuta kanisa linalosoma biblia wakupe elimu juu ya Mungu . Tatizo tunawekeza kwenye Elimu dunia na hatuwekezi kwenye Elimu ya dini ndio maana mtu anaweza shiba akaja na hoja kama hizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom