Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Awali ya yote, kabla ya kuandika "Mungu anasema..." thibitisha Mungu yupo.

Kama hayupo, hawezi kusema.

Atasemaje akiwa hayupo?

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya na kifo.
Hayo ya Mungu kuwa na uwezo wote na ujuzi pia ameyasema Mungu huyo huyo kama alivyosema kuwa kila kiumbe kitakufa.
 
Hajayasema Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.

Kama unasema Mungu yupo, thibitisha yupo.
 
Hapana, nazungumzia habari za kutokuwepo kwa Mungu.

Mtu kaniuliza, dhambi inakuwepo vipi kama Mungu yupo na anayajua maisha ya huyo mtu mwanzo mpaka mwisho kabla huyo mtu hajazaliwa?

Mimi namjibu, namwambia mimi si mtu sahihi wa kuniuliza swali hilo, kwa sababu mimi sikubali Mungu yupo.
Kama unaweza kujua aina ya upendo wa Mungu na ujuzi wake, utasemaje hayo ya dhambi hayakuhusu?
 
Kama unaweza kujua kuwa kwa aina ya upendo wa Mungu na ujuzi wake, utasemaje hayo ya dhambi hayakuhusu?
That is a logical non sequitur.

Naweza kujua square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Mwingine akasema square root ya 2 ni 10.

Sasa mtu akija kuniuliza mimi nitoe proof ya kuonesha square root ya 2 ni 10, wakati mimi sijasema square root ya 2 ni 10, atakuwa kanipa swali ambalo si langu.

Mimi sijasema Mungu yupo, sijasema Mungu kasema hiki na kile dhambi.

Sasa ukiniuliza mimi inakuwaje Mungu ajue tutakayofanya halafu iwe dhambi, mimi ambaye sijasema Mungu yupo, utakuwa umekosea kuniuliza, uliza wanaosema Mungu yupo.

Mimi nasema Mungu hayupo.

Na wewe huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Kwa sababu hayupo.
 
Sasa kwanini umesema kifo kisinge kuwepo kama Mungu angekuwepo? Umetumia hoja gani kusema hivyo?
1. Kifo ni kibaya, kinatenganisha wapendanao, kinawakatili watu ambao hawajamaliza kazi zao. Ni matokeo ya kumomonyoka kwa mifumo.

2. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote asingependa kuona viumbe wake wanaopendana wanatenganishwa na kifo.Asingependa kuona mifumo inamomonyoka.

3. Mungu huyo angeumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na kifo sehemu yoyote ile.

4. Ulimwengu huu unawezekana kuwa na kifo

5. Kwa hiyo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
 
Mungu hayupo.

Angekuwepo angeumba ulimwengu ambao dhambi haiwezi kuwepo.

Mungu kuumba ulimwengu ambao dhambi inaweza kuwepo ni biggest ungodly architectural blunder.

How could God make such a blunder?

Kweli Mungu alikosea kukuumba wewe mtu, angalikuumba nyani kwa sababu nyani siyo mbishi.
 
Hivi unaikubali dhana ya Evolution.?
Dhana ya evolution ni pana. Unaposema naikubali dhana ya evolution unakusudia kipi katika dhana ya evolution?

Na mimi kuikubali au kutoikubalindhana ya evolution kunahusiana vipi na habari ya aliens?

Aliens ni nini? Unajuaje kwamba wapo?
 
Kweli Mungu alikosea kukuumba wewe mtu, angalikuumba nyani kwa sababu nyani siyo mbishi.
Awali ya yote, thibitisha Mungu yupo.

Kama huwezi, hizo habari nyingine zote hadithi.
 
That is a logical non sequitur.

Naweza kujua square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Mwingine akasema square root ya 2 ni 10.

Sasa mtu akija kuniuliza mimi nitoe proof ya kuonesha square root ya 2 ni 10, wakati mimi sijasema square root ya 2 ni 10, atakuwa kanipa swali ambalo si langu.

Mimi sijasema Mungu yupo, sijasema Mungu kasema hiki na kile dhambi.

Sasa ukiniuliza mimi inakuwaje Mungu ajue tutakayofanya halafu iwe dhambi, mimi ambaye sijasema Mungu yupo, utakuwa umekosea kuniuliza, uliza wanaosema Mungu yupo.

Mimi nasema Mungu hayupo.

Na wewe huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Kwa sababu hayupo.
Kama wewe unasema Mungu hayupo basi hata hayo ya Mungu kuwa na upendo na ujuzi yanawahusu wanaosema Mungu yupo kama yalivyo hayo ya dhambi,ila ajabu hayo ya upendo na ujuzi wote unayajadili ila hayo ya dhambi unasema yanawahusu wanaoamini Mungu!
 
Kama wewe unasema Mungu hayupo basi hata hayo ya Mungu kuwa na upendo na ujuzi yanawahusu wanaosema Mungu kama yalivyo hayo ya dhambi,ila ajabu hayo ya upendo na ujuzi wote unayajadili ila hayo ya dhambi unasema yanawahusu wanaoamini Mungu!
Unalazimisha.

Ndiyo maana hujajadili wala kukosoa ulichonukuu.
 
1. Kifo ni kibaya, kinatenganisha wapendanao, kinawakatili watu ambao hawajamaliza kazi zao. Ni matokeo ya kumomonyoka kwa mifumo.

2. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote asingependa kuona viumbe wake wanaopendana wanatenganishwa na kifo.Asingependa kuona mifumo inamomonyoka.

3. Mungu huyo angeumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na kifo sehemu yoyote ile.

4. Ulimwengu huu unawezekana kuwa na kifo

5. Kwa hiyo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Hayo maelezo umetoa wapi na wakati ushasema Mungu hayupo na kwa hivyo hayo maelezo sio ya Mungu? kama unataka kuyatumia hayo maelezo basi pia tutumie na maelezo ya kwamba kila kiumbe kitakufa.
 
Hayo maelezo ni ya kupinga kuwepo Mungu kwa dhana ya kuwepo Mungu. Si ya Mungu.

Naweza kupinga kuwepo kwa pembetatu duara, kwa maneno ya dhana ya kuwepo pembetatu duara, katika ulimwengu ambao hauna pembetatu duara.
 
1.KUMUUMBA SHETANI:

Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

Hapa muuliza swali anatumbia kuwa sie tunafanya maovu kwa sababu ya kuwepo shetani na hivyo asingekuwepo shetani na uovu usingekuwepo.

Lakini tukiangalia hata huyo shetani hakuumbwa akiwa shetani ila baada ya kufanya uovu ndipo akaitwa hivyo,kwa maana hiyo hata sie tunakosea na kufanya mapvu kama yeye shetani alivyokosea na kufanya uovu na si kwamba asipokuwepo shetani basi binaadamu tutakuwa hatukosei na kufanya maovu.

Hivyo shetani anawapotosha watu tu na hata binaadamu hufanya hicho kitu pia,ila sio kwamba shetani ndio hulazimisha watu kufanya maovu.
 
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu unaoruhusu uovu kuwezekana kuwepo.
 
Hayo maelezo ni ya kupinga kuwepo Mungu kwa dhana ya kuwepo Mungu. Si ya Mungu.

Naweza kupinga kuwepo kwa pembetatu duara, kwa maneno ya dhana ya kuwepo pembetatu duara, katika ulimwengu ambao hauna pembetatu duara.
Dhana ya kuwepo kwa Mungu haipo kwenye hayo maelezo,bali hayo ni maelezo yenye kumhusu Mungu.

Na ndiyo maana ukaulizwa habari za dhambi kwa sababu yote hayo ni maelezo yanayo muhusu Mungu.
 
Dhana ya evolution ni pana. Unaposema naikubali dhana ya evolution unakusudia kipi katika dhana ya evolution?

Na mimi kuikubali au kutoikubalindhana ya evolution kunahusiana vipi na habari ya aliens?

Aliens ni nini? Unajuaje kwamba wapo?
Majibu yako wakati mwingine yanatia uvivu wa muendelezo

Nanachojua evolution ni dhana moja nawezaje kuota kuwa Kiranga anakubali kile na hiki kwenye evolution

Eti Kwa kuwa tu ni dhana pana..!?

Na uthibitisho juu ya Alien ni mpana vilevile

Na kama unataka kuelewa kwa uchache katumbukie kule Kwenye uzi wa proof za alien kuexist

Huku tutachafua maudhui ya uzi kuna mdau anamajibu kama yote utamkuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom