Abdul mndili
Senior Member
- Oct 15, 2016
- 192
- 137
Mungu akusamehe mtoa posti...
Kweli maisha yamekuwa magumu mpaka watu hawajielewi.

Wewe ni nani hasa mpaka uchunguze makosa ya Mungu,,,je na ninani aliye kwambia Mungu anamakosa,,Mungu atusamehe sana....1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
Au RETURN IF POSSIBLEHapo nina maana ya kutofungamana na upande wowote....pengine R.I.P ina maana ya REMEMBERED IN PUBLIC, WHO KNOWS???
Usipo mwamini Mungu huwezi kupata majibu ya maswali yako.
ikiwa ni hivyo, huyo mungu hakosei, na ndie ninae muamini mimi.....Mungu yupo.
yupi?
1) aliyeumba njaa kisha akaumba chakula
2) akaumba kiu kisha akaumba maji
3) aliumba kula na baadaye chooni 4) Aliumba kunywa baadaye...
orodha haina mwisho
Mungu hajawahi kumuumba Shetani,nenda kasome biblia yako vizuri....1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
Kuna watu wameona umeuliza maswali ya msingi sana lakini ni kinyume kabisa,mfano hai ni hili swali lako la mafichoni,umeambiwa wapi Mungu yupo mafichoni? Nani kakuambia Mungu "anaishi"?2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
Duh! hii mada imeandikwa kutoka kwa mtu asiyejua kabisa mambo mengi,suala la Yesu nitaliacha,suala la waovu nitaliacha pia lakini,nitakuonesha kuwa umeandika haya bila kujielewa kabisa.....3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
Hujui kabisa kuhusu hili na ndiyo maana unakuja hapa unadhani unahoji kumbe unaonesha ni namna gani ulivyo mjinga [ujinga hapa ninamaanisha kutokujua]....4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
Bado unaendelea kuhoji mambo kwasababu ya ignorance ya kutisha....5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
Mwanzo binadamu na wanyama wote hawa walikuwa wanaishi kwa amani kabisa,ni nini kilisababisha yote haya unayoyaona leo?6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
Ingeumbwa duinia ambayo baadhi ya mambo hayawezekaniki ingekuwa imeumbwa na Mungu kweli?7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
Sijaona swali jipya hapa swali hili linafanana na maswali yako hapo juu.....8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
Again,ignorance at its best......9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
Haya na mengine sisi wenyewe tuliyataka,Mungu hakuumba mwanadamu mwenye tatizo lolote mwilini mwake,kama unataka kupona badilika leo.....10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
R.I.P tena? hahahahaaaaa........TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
mijibu yako mingi na bado haielewekiMungu hajawahi kumuumba Shetani,nenda kasome biblia yako vizuri....
Kuna watu wameona umeuliza maswali ya msingi sana lakini ni kinyume kabisa,mfano hai ni hili swali lako la mafichoni,umeambiwa wapi Mungu yupo mafichoni? Nani kakuambia Mungu "anaishi"?
Kila siku nikitaka nazungumza naye,nakushangaa wewe unayesema yupo mafichoni,anapatikana tena bure kabisa kuliko hata wewe ukitaka kuongea na mimi ni lazima utumie hela....
Duh! hii mada imeandikwa kutoka kwa mtu asiyejua kabisa mambo mengi,suala la Yesu nitaliacha,suala la waovu nitaliacha pia lakini,nitakuonesha kuwa umeandika haya bila kujielewa kabisa.....
Huko juu umehoji sababu ya Mungu kutomuangamiza Shetani,hapa unahoji nbi kwanini Mungu aliangamiza waovu,hakuna consistency kwenye maswali yako,unajichanganya na hujielewi....
Hujui kabisa kuhusu hili na ndiyo maana unakuja hapa unadhani unahoji kumbe unaonesha ni namna gani ulivyo mjinga [ujinga hapa ninamaanisha kutokujua]....
Hujui kabisa kuwa eneo hilo Ibrahimu aliligharamia kwa kulinunua,wewe unakuja hapa kulipuka na lawama tu,pole sana....
Bado unaendelea kuhoji mambo kwasababu ya ignorance ya kutisha....
Nikuulize swali la kukustua,Unajua watoto au uzai wa Ibrahimu ni akina nani leo?
Mwanzo binadamu na wanyama wote hawa walikuwa wanaishi kwa amani kabisa,ni nini kilisababisha yote haya unayoyaona leo?
Ingeumbwa duinia ambayo baadhi ya mambo hayawezekaniki ingekuwa imeumbwa na Mungu kweli?
Sijaona swali jipya hapa swali hili linafanana na maswali yako hapo juu.....
Again,ignorance at its best......
Shetani alipewa muda wa kurekebisha makosa yake akakataa,jehanam haikuwa kwaajili ya waovu bali shetani na malaika zake,wewe na wengine mnajiingiza huko kwasababu za kijinga na kutotumia uwezo wenu kutafakari vizuri...
Kukuonesha Mungu ni wa huruma kiasi gani aliamua yeye kubeba adhabu ya makosa yako ili ukikubali kwa hiyari yako jambo hilo basi unakuwa huru,huadhibiwi,lakini unadharau tu....
Haya na mengine sisi wenyewe tuliyataka,Mungu hakuumba mwanadamu mwenye tatizo lolote mwilini mwake,kama unataka kupona badilika leo.....
R.I.P tena? hahahahaaaaa........
Kusema haieleweki bila kusema hieleweki namna gani ndiyo kutoeleweka kwenyewe huko......mijibu yako mingi na bado haieleweki
Umeelewa ulichoandika kweli? Yaani unasema Mungu hajawahi kumuumba Shetani halafu mwishoni unasema Mungu alimpa Shetani muda wa kutubu halafu akakataa? Ebu tupe vifungu vya Bible vinavyo onesha uliyoyasema...... Maswali mengine umeingia chaka, hilo lipo wazi...... R. I. P nilimaanisha Remembered In Public..... So usiwe mjinga Kama wale walio kariri jpm ni kifupi cha Mkulu.Mungu hajawahi kumuumba Shetani,nenda kasome biblia yako vizuri....
Kuna watu wameona umeuliza maswali ya msingi sana lakini ni kinyume kabisa,mfano hai ni hili swali lako la mafichoni,umeambiwa wapi Mungu yupo mafichoni? Nani kakuambia Mungu "anaishi"?
Kila siku nikitaka nazungumza naye,nakushangaa wewe unayesema yupo mafichoni,anapatikana tena bure kabisa kuliko hata wewe ukitaka kuongea na mimi ni lazima utumie hela....
Duh! hii mada imeandikwa kutoka kwa mtu asiyejua kabisa mambo mengi,suala la Yesu nitaliacha,suala la waovu nitaliacha pia lakini,nitakuonesha kuwa umeandika haya bila kujielewa kabisa.....
Huko juu umehoji sababu ya Mungu kutomuangamiza Shetani,hapa unahoji nbi kwanini Mungu aliangamiza waovu,hakuna consistency kwenye maswali yako,unajichanganya na hujielewi....
Hujui kabisa kuhusu hili na ndiyo maana unakuja hapa unadhani unahoji kumbe unaonesha ni namna gani ulivyo mjinga [ujinga hapa ninamaanisha kutokujua]....
Hujui kabisa kuwa eneo hilo Ibrahimu aliligharamia kwa kulinunua,wewe unakuja hapa kulipuka na lawama tu,pole sana....
Bado unaendelea kuhoji mambo kwasababu ya ignorance ya kutisha....
Nikuulize swali la kukustua,Unajua watoto au uzai wa Ibrahimu ni akina nani leo?
Mwanzo binadamu na wanyama wote hawa walikuwa wanaishi kwa amani kabisa,ni nini kilisababisha yote haya unayoyaona leo?
Ingeumbwa duinia ambayo baadhi ya mambo hayawezekaniki ingekuwa imeumbwa na Mungu kweli?
Sijaona swali jipya hapa swali hili linafanana na maswali yako hapo juu.....
Again,ignorance at its best......
Shetani alipewa muda wa kurekebisha makosa yake akakataa,jehanam haikuwa kwaajili ya waovu bali shetani na malaika zake,wewe na wengine mnajiingiza huko kwasababu za kijinga na kutotumia uwezo wenu kutafakari vizuri...
Kukuonesha Mungu ni wa huruma kiasi gani aliamua yeye kubeba adhabu ya makosa yako ili ukikubali kwa hiyari yako jambo hilo basi unakuwa huru,huadhibiwi,lakini unadharau tu....
Haya na mengine sisi wenyewe tuliyataka,Mungu hakuumba mwanadamu mwenye tatizo lolote mwilini mwake,kama unataka kupona badilika leo.....
R.I.P tena? hahahahaaaaa........
Inawezekana akawa ni kiongozi wa dini ambao wamezoea kukoroga akili za watu....... Huwezi kusema eti Mungu hakumuumba Shetani halafu mwishoni useme Mungu alimpa Shetani nafasi ya kutubu then akakataa..... Pia hayo maelezo ameyatoa wapi?mijibu yako mingi na bado haieleweki
Naona unapinga zaidi ya kutaka kuelewa....Umeelewa ulichoandika kweli? Yaani unasema Mungu hajawahi kumuumba Shetani halafu mwishoni unasema Mungu alimpa Shetani muda wa kutubu halafu akakataa? Ebu tupe vifungu vya Bible vinavyo onesha uliyoyasema...... Maswali mengine umeingia chaka, hilo lipo wazi...... R. I. P nilimaanisha Remembered In Public..... So usiwe mjinga Kama wale walio kariri jpm ni kifupi cha Mkulu.