Kama waona Mungu kakosea kukufanya kunya,wewe usie kosea badilisha,usinye.Ndio hapo tutajuwa kakosea.Mungu yupo,huko kukufanya unye,ushahidi wa kuqa yupo,ni miongoni mwa ushahidi kuwa Mungu yupo.Kosa LA 11 kumuumba binadam mwenye KUNYA ; ilitakiwa tukila mara moja tu baaasi
Hukunielewa papa k1
Alieandika makosa 10 ya mungu nalikuwa nataka ajifunze kufikiri.
Ki Mimi mungu hakosolewi.
Kama ni makosa hata wanawake kuzaa badala ya kutaga Kama kuku angessema ni loss la 12
Kama waona Mungu kakosea kukufanya kunya,wewe usie kosea badilisha,usinye.Ndio hapo tutajuwa kakosea.Mungu yupo,huko kukufanya unye,ushahidi wa kuqa yupo,ni miongoni mwa ushahidi kuwa Mungu yupo.
Vipi story ya Shetani, ina uzuri gani?!Mungu hakosei, yapo tunayoyaona mabaya yakutuumiza ila mwishoni kumbe Alikuwa na nia njema,mfano story ya yusuph.....kasome mwanzo sura ya mwisho kabisa utaona.
Hata hivyo Mungu anabaki kuwa Mungu tu,we kosoa kosoa ila haibadilishi fact kwamba hakuna mwema,mkamilifu,mwenye utukufu na sifa zote kama Mungu aliyekuumba
Hivi Babako akikuweka kwenye chumba kinachovuja ili hali yeye ana bonge la self, hautahoji?Lengo kuu la Mungu kumuumba binadamu ni moja tu....nalo ni kumuabudu yeye....QURAN (Anajinadi, na wala sikumuumba Mwnadamu na Majini isipokuwa waniabudu mimi..) Hayo unayotazama kama makosa yake...ni sawa na kumlaumu Baba au Mama kwa kukuzaa na kushindwa kukutimizia mahitaji yako...JARIBU fuata lengo kuu...fikra kama hizo zitafutika kichwani mwako...Mtukuze kwa moja tu, Pumzi ulipii.. mengine utajiongeza.
Hoja zote kumi zina Logic,....siwezi kusema kwa nini watu hawatagi wakati wanazaa vizuri bila matatizo makubwa......Lakini lazima niulize kwa nini Mungu awatese watu wake awapendao?WA Tz tunamuelewa vipi?
Jamani tuseme hata wanawake kuzaa badala ya kutaga ni kosa ?
Au unafikiri hata kuumba jinsia mbili alikosea?
KWA hiyo angeumba paja la kulia cha kiume na paja la kushoto cha kike ndo ingekuwa sawa ili kupunguza usumbufu?
Pamoja sana Jamaangu.....Hili bara letu lipo nyuma kuliko mengine yote kwa sababu sisi hatupendi kuhoji na kuchunguza mambo yanayotuhusu na kutuzunguka......Si ajabu ndio maana hatujawahi kuto mvumbuzi/mgunduzi hata mmoja.Uzi ume-score like kama 42 hivi. Lakini muanzisha uzi anachagama peke yake. Watanzania sisi ni waoga au wanafiki?. Charmilton hongera sana jamaa yangu. Na uelewe wengi wanakuelewa tu.
Ngoja nikuulize swali, kama wewe ni mwanaume hebu fungua vishikizo vya shati, jiangalie vizuri kifuani...hizo chuchu zilizoko kifuani kwako Mungu aliziweka za kazi gani wakati wewe haunyonyeshi?WA Tz tunamuelewa vipi?
Jamani tuseme hata wanawake kuzaa badala ya kutaga ni kosa ?
Au unafikiri hata kuumba jinsia mbili alikosea?
KWA hiyo angeumba paja la kulia cha kiume na paja la kushoto cha kike ndo ingekuwa sawa ili kupunguza usumbufu?
Lengo kuu la Mungu kumuumba binadamu ni moja tu....nalo ni kumuabudu yeye....QURAN (Anajinadi, na wala sikumuumba Mwnadamu na Majini isipokuwa waniabudu mimi..) Hayo unayotazama kama makosa yake...ni sawa na kumlaumu Baba au Mama kwa kukuzaa na kushindwa kukutimizia mahitaji yako...JARIBU fuata lengo kuu...fikra kama hizo zitafutika kichwani mwako...Mtukuze kwa moja tu, Pumzi ulipii.. mengine utajiongeza.
Tabu sana mkuu. Mungu alikaa akaona atengeneze watumwa, then hao watumwa badala ya kuwapa kazi productive yeye anawaambia kazi yao ni kumsifia tuuu mwanzo mwisho, wasipomsifia anawauwa kwa njaa maradhi na majanga mengine!! Wakati huo anajua kila kitu....hahahaha alfu leila ulela.Hahahaaaa.... Aaahyi.... Hivi watu wakiacha kumwabudu Mungu, atapungukiwa na kitu Gani?...nimeuliza to.