Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kosa la 12?
Na USIKU aliuumba WA NINI kosa la 13?
I can rule out this discussion as immaterial because our brains can't weigh it.
God is supreme we can't judge
- why he created a night
-why Bones instead of iron bars in our bodies
-why maize should mature after 6 months instead of 6 hours
-etc
-
 
mtauliwa kwa maswali yasiyo na majibu
 
mtauliwa kwa maswali yasiyo na majibu
Ndugu Wangi ni happy Kama eti wanasema mungu amekosea.
Tena mara 10 .
Mimi najaribu KWA mifano kuwaelimisha kufa hizo ni kazi Na mipangilio yake muumba
 
Kosa la 12?
Na USIKU aliuumba WA NINI kosa la 13?
I can rule out this discussion as immaterial because our brains can't weigh it.
God is supreme we can't judge
- why he created a night
-why Bones instead of iron bars in our bodies
-why maize should mature after 6 months instead of 6 hours
-etc
-
Mkuu usiku upo ili kuwapa viumbe muda wa kupumzika na kusave energy.

Iron bar instead of bones would have been difficult in supporting locomotion as it wouldn't be flexible....Besides it, Iron could get rust so easily.....Ain't it more problematic?

Maize takes longer time than how you wish to grow so as to accumulate nutrients from the soil sufficiently.
 
Ndugu mtoa mada,hivi hayo uliyoyaorodhesha Mungu kakosea au wewe hujaelewa? Pili kama kakosea kama unavyodai,unadhani yupo/alikuwepo mwingine wa kuweka sawa?
 
Hp use your power to understand me,kimsingi mie nampinga alieleta mada ya makosa kumi ya mungu.

Namtolea mifano zaidi ili aweze sema kama nayo ni makosa alifanya mungu

Tuko pamoja?
 
Mkuu usiku upo ili kuwapa viumbe muda wa kupumzika na kusave energy.

Iron bar instead of bones would have been difficult in supporting locomotion as it wouldn't be flexible....Besides it, Iron could get rust so easily.....Ain't it more problematic?

Maize takes longer time than how you wish to grow so as to accumulate nutrients from the soil sufficiently.
Kwani hujui uchungu mungu aliuumba wa nini?

usiku kwa ajili ya viumbe kupumzika?
wakati fisi wanapumzika mchana!
 
Hp use your power to understand me,kimsingi mie nampinga alieleta mada ya makosa kumi ya mungu.

Namtolea mifano zaidi ili aweze sema kama nayo ni makosa alifanya mungu

Tuko pamoja?
Tuko pamoja mkuu.
 
Hivi unaamini kuwa mungu yupo?? Na mungu yupi...??
 
Umesahau kosa la 11 kukuumba ww na kukujaalia afya njema na kukujaalia kula yako na na kulala kwako na kuamka kwako na kukujaalia kusoma na kuandika kwako ujinga kama huu
Una uhakika gani kuwa Mungu ndio kafanya yote hayo?
 
Alie kufanyia yote hayo ndio atajitetea mwenyewe mi mwenyewe nimeumbwa tu subir atakujibu muda sio mrefu kwa sababu walikuwepo mafedhuli kabla yako
 
Kama hizi ndio akili zako, basi taifa lina changamoto kubwa.
 
Hivi unaamini kuwa mungu yupo?? Na mungu yupi...??
Mungu yupo.
yupi?
1) aliyeumba njaa kisha akaumba chakula
2) akaumba kiu kisha akaumba maji
3) aliumba kula na baadaye chooni 4) Aliumba kunywa baadaye...
orodha haina mwisho
 
Back
Top Bottom