Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Mtoa mada uwezo wako wa kufikiri ni kidogo sana
Kama wa JUMA PUMB MAHARAGE
JE, Mungu si alimuumba adam
tena alivyo mwema akampa na msaidizi,
Lakini haikutosha akakaidi na kutotii amri,
Je, ungali bado hujaelewa mwanzo wa hayo yote ni nn?

Mungu si dikteta hata kidogo aliwaumba malaika na binadamu
akawapa uwezo huru wa kuamua.
Mungu hakumuumba shetani.! Bali alimuumba malaika aitwaye Lucifer
Huyu malaika lucifer ndo aliasi akawa shetani.

Na hayo makabiri wana wa Israel waliwavamia kwa sababu hebu kasome mwanzo ,na Kutoka utaelewa vizuri.

Mungu hajafanya kosa hata moja bali mwanadamu ndie aliefanya kosa na
Hulipa kutokana na makosa aliyofanya

Na mimi ninavyo amini hata hayo majanga ya asili huenda kuna
watu waliotangulia kabla yetu walifanya makosa makubwa kwa Mungu
Maana utalipizwa hadi kizazi cha nne

Sorry sina muda ningekujibu vizuri sana sema nimekujibu
Summary tu
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kuliko kawaida...... Ndio maana unaandika mambo yasiyo na mantiki.
 
Naona unapinga zaidi ya kutaka kuelewa....

Hilo la ushahidi juu ya Shetani kupewa nafasi siwezi kukupa kwa sasa au baadaye maana siko kwenye mazingira mazuri ya kufanya hivyo,nitakupa nikipata muda wa kukufanyia hivyo lakini,kwa sasa acha nideal na mengine ambayo naweza kukujibu kutoka kwenye post yako hii......

Nilikuambia kuwa Mungu hakuwahi kumuumba Shetani,bado nasisitiza hivyo.Mimi kusema alipewa muda wa kutubu sina maana kuwa nakubaliana na nilichopinga hapo juu.....

Nikisema kuwa mama yake Juma hakuwahi kuzaa jambazi lakini alishawahi kumpa nafasi ya kujirekebisha jambazi aliyekuwa kwenye familia yake nakuwa nimekubali kuwa alizaa jambazi?

Kusema tu masali mengine nimeingia chaka bila kusema nimeingia chaka namna ipi ndiyo kuingia chaka kwenyewe huko....

Hiyo R.I.P yako acha niachane nayo maana ni nonesense....
Kwahiyo Mungu hakujua Kama Lucifer atakuja kuwa Shetani? Kama alijua, Kwanini kumuumba?
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kuliko kawaida...... Ndio maana unaandika mambo yasiyo na mantiki.
Mkuu kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake
Napenda siku hiyo niwe karibu yako nisikie
Ukisomewa hukumu wallah ntakuzomea mbele ya Mungu


atakama ntakuwa nimekosea
 
Mkuu kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake
Napenda siku hiyo niwe karibu yako nisikie
Ukisomewa hukumu wallah ntakuzomea mbele ya Mungu


atakama ntakuwa nimekosea
Nani amewahi kusomewa mashtaka kwa Mungu? Hizo ni story tu.
 
Nawaza tu siku mleta mada akifa atazikwa kwa dini ipi je atazikwa na shehe au mchungaji aka atazikwa na halmashauri .

Jamani kuna vitu vya kuhoji Ila sio juu ya uweza Wa MUNGU binadamu ni kiumbe dhaifu sana na uweza wake una kikomo .

Acheni MUNGU aitwe MUNGU

Ova and Out
 
Nawaza tu siku mleta mada akifa atazikwa kwa dini ipi je atazikwa na shehe au mchungaji aka atazikwa na halmashauri .

Jamani kuna vitu vya kuhoji Ila sio juu ya uweza Wa MUNGU binadamu ni kiumbe dhaifu sana na uweza wake una kikomo .

Acheni MUNGU aitwe MUNGU

Ova and Out
Kwahiyo unaamini kwenye ili upate watu wa kukuzika?.
 
Yaani majibu yenu wafia dini yanachekesha Sana..... Upendo gani wa Mungu wenye madhara kiasi hicho?
Nilijua tu utakimbilia huku bila hata kufikiri kwasababu ya mazoea......

Unadhani kuwa kila mtu anajibu kitu asichokijua....

Hebu niambie ni tafsiri ipi ya upendo unayoisimamia hadi kufikiri kuwa Mungu hawezi kuongozwa na Upendo kufanya hivi?
 
Kiukweli mimi linaloniumiza ni lile la kufahamu kabisa kuwa Adamu na Eve watakula tunda na kuwaacha wale mwisho wa siku laana tunapewa wanaadam WOTE....Ila Muumba ni MKUU aheshimiwe...sisi ni mavumbi tu....Daaaah
 
Back
Top Bottom