ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,252
- 14,793
- Thread starter
- #1,041
Sasa Mkuu kama kitu kinatutatiza, kuna ubaya kama tukihoji?Kiukweli mimi linaloniumiza ni lile la kufahamu kabisa kuwa Adamu na Eve watakula tunda na kuwaacha wale mwisho wa siku laana tunapewa wanaadam WOTE....Ila Muumba ni MKUU aheshimiwe...sisi ni mavumbi tu....Daaaah