Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Umesema kweli kabisaaa ,Mungu ashatutelekeza bana angekuwepo hata kule syria,Iraq kusingekua na mchafuko,
Kusingekua na njaa,umaskini,maradhi n.k
Halaf tunaaminishwa vitu ambavyo hatujawah kuviona na wanaotuaminisha hawajawah kuwaona hao Mungu,Yesu,Muhammad n.k
Kwanini wasije wakatupa ukwelii,wanajifichia nini kama kweli wapo?
Ukiuliza sana unaambiwa oooh ni fumbo la imani ,ni dhambi kuuliza vitu visivyojibika we kua na imani tu,imani my foot
 
Dhambi zetu ndiyo chanzo cha laana zote sasa Mwenyezi Mungu kosa lake lipi? Wamlaumu kwa makosa ya wenye viburi na tamaa zisizosikia sheria!

Sie tulifanya dhambi ganii??yaan dhambi za adamu na sie tupewe wakati hatukuwepo wala hatumjui huyi Adamu
 
Hiyo #5 ulidhani dunia ni ya leo au juzi ee..Duniani tuko wangapi wanakufa wanazaliwa wangapi bado tu akili yako imeishia hapo..
 
Sasa kama Mungu aliituumba pure,,,,dhambi ilituingia kwa mechanism gani???
Mungu yuko wazi wewe humuoni tu kwa kuwa macho yako yamepofushwa na dhambi. Pia ujue ya kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni hv tangu kuumbwa adam hadi leo hii ndio siku ya saba na mda wowote baada ya sabato Yesu yu arejea. Ukiwa na ukimwi unazaa mtoto mwenye ukimwi kwnn dhambi ya Adam isikuhusu? Na kama tangu zama za Adam hadi leo mwanadamu yupo katika mchakato wa siku saba za mauti kwanini asivute mazingira ya kumtilia umauti? Ile dhambi ndio iliyoumba maafa yote uyaonayo na vyote vinavyofisha na kuleta magonjwa. Baada ya siku ya saba dunia na dhambi zake itapigwa kiberiti na kuwa jivu la milele na mbingu mpya na nchi mpya zitakuwepo na zitakaliwa na kuendelezwa na kizazi kipya kilichoingia kwenye safina ya mwanakondoo kukiponya na kiberiti
 
Umesema kweli kabisaaa ,Mungu ashatutelekeza bana angekuwepo hata kule syria,Iraq kusingekua na mchafuko,
Kusingekua na njaa,umaskini,maradhi n.k
Halaf tunaaminishwa vitu ambavyo hatujawah kuviona na wanaotuaminisha hawajawah kuwaona hao Mungu,Yesu,Muhammad n.k
Kwanini wasije wakatupa ukwelii,wanajifichia nini kama kweli wapo?
Ukiuliza sana unaambiwa oooh ni fumbo la imani ,ni dhambi kuuliza vitu visivyojibika we kua na imani tu,imani my foot
Mkuu unategemea Mungu akutendee wewe kwani hata avator yako inakuonyesha mawazo yako unawaza nini muda mwingi.Na neno la Mungu linatimia kuwa mwanadamu muda mwingi hawazi yaliyo mema.
Mtu hunena yaujazao moyo wake unasababu zako hata kuweka avator inayopromote mambo fulani,leo unalalamika Mungu katutelekeza.You are no serious.
Kasome biblia vizuri hata kama wewe siyo mkristo,for your record the best inspirational book ni bible,kuna siri nyingi ndani yake.
Issue ya Iraq na Syria wewe unaijua?Biblia imesema nini kuhusu Mashariki ya kati(middle east),kasome utaona biblia imetaja sana miji ya huko kama Gaza,Damascas, na Yerusalem.For your information kuhusu middle east
Syria lilikuwa ni taifa tulivu na imara sana mashariki ya kati kabla hawajaingia kwenye machafuko na nikuweke sawa nikisema Mungu namanisha (Yehova na si miungu wengine).Israel hata kama ni ngumu kumeza ni taifa teule la Mungu,mwanzoni ili umjue Mungu ilibidi ukutane na Ibrahimu akuelezee kuhusu Mungu wake baadaye,Isac na Yakobo.Mungu alilichangua taifa la Israel ili dunia imjue yeye kupitia taifa hili(wasiojua husema kama ni Mungu wa Isarel kwa nini tunahukumiwa na sisi kwa sababu alisema nitaenda kuyahukumu makabila 12 ya Isarel?).Pole,baada ya Israel kutokufanya kazi yao Yesu akaja ,akaanza na isarel wengine wakamkataa.Kwa kipindi hiki ili umjue Mungu aliye hai njia pekee ni kupitia Yesu(ambaye ni neno,au niseme ukisoma biblia utamfahamu Mungu aliye hai).
Nirudi kwenye machafuko yanayoendelea,moja ya swali aliloulizwa Yesu kuhusu mwisho wa dunia aliwajibu akawaambia iangalieni mashariki ya kati,pia kuna sehemu biblia inasema kutakuwa na vita maeneo mengi(wars and rumors of war).Hata hiyo ilyoitwa the arab spring waarabu wanajua kama imewapa faida au hasara.
Vita hata kwenye biblia vilikuwepo,Iraq na syria unajua wengia wao ni dini gani lakini mwanzoni they were christian.Nini kilitokea hata sasa wakristo ni minority tafuta hizo information.
Syria kulikuwa na silaha za kibiologia kwa wingi sana kama ni mfuatiliaji ziliondolewa,lakini hivi karibuni inasemekana Allepo kuna bom la gas ya chlorine limetumika.Sometimes nakuwa naamini Mungu analitetea taifa lake Israel,syria sasa hivi wamechoka Israel anapumua by the time wanagundua it is just a little too late.
Mwache Mungun aitwe Mungu,acha wapigane wao wanasababu zao za kimwili mimi na wenginen as christians tumeambiwa vita vyetu si juu ya damu na nyama.Sisi tunapigana vita katika ulimwengu wa kiroho.Ukiona wakristo wanapigana vita vya nyama trust me kama Bwana hajawaambia wapigane vita hivyo,hatakuwa nao kwani yeye analiangalia neno lake apate kulitimiza.
Israel watapata shida na hata migogoro wanayopitia sasa,kila siku mara hamas mara Hezbollah yote hayo ni maandalizi ya kuja kwa mpinga Kristio.Atawakuta Israel walishachoka na vita wanatamani amani,hivyo akiwaambia atawapatia amani na majirani zao watakubali,walimkataa kristo wa kweli sasa wataingia mtegoni.
Kama israel si taifa la Mungu,Iran wangekuwa wameliondoa kwenye ramani ya dunia kama ambavyo wamekuwa wanaliita ni uvimbe unaweza tumbuliwa muda wowote.
Biblia inasema kila mamalaka inatoka kwa Mungu,je Nkurunzinza kuwa rais Burundi ukiambiwa inatoka kwa Mungu utaamini kirahisi?Simshutumu Nkurunzinza ninachotaka kusema kuna wakati Mungu huruhusu vitu kumpata mwanadamu ili ajifunze au unakuta unapimwa imani yako.Unadhani nchi zenye vita hawamwombi Mungu?Au Tanzania kwa kuwa tuna amani sisi ni watakatifu sana?Take a minute fikiria mabaya mangapi yanendelea katika taifa hili mauaji ya albino,hukumu zisizo za haki,wajane kudhulumiwa mali,watu kuuliwa pasipo hatia,je tanzania hatuzini hakuna madada poa?Je kama unadhani amani ya nchi inaletwa na polisi,na jeshi na usalama wa taifa peke yake,je Misri,Burundi,Iraq,syria,Libya hawana hivyo vyombo,zaire je hawana vyombo vya usalama
Mungu ni mwingi wa rehema,hasira yake imewekwa kwenye ziwa la moto ambayo ni mauti ya pili.Mungu akusaidie ufahamu wako uponywe upate kumjua yeye pamoja na njia zake.
Hakuna kitu Mungu anaheshimu kama neno linlotoka kinywani mwake,ukikosea hata kidogo ni tatizo.Kipindi tulichopo ni kipindi cha neema,tunamkosea Mungu mara nyingi lakini neema yake inatusaidia.Tubu leo na uiamini injiri,wokovu wako ni sasa,there is no tomorrow.
Watu wanaposhindwa kukujibu jinsi ulivyotarajia haimanishi uko sahihi,wengi hapa mnaouliza maswali amnasoma biblia kwa sehemu ndogo sana kwani kuna maandiko mengine mnakuwa hamyajui.Ushauri wangu najua mmesoma walau hata form four,kwa hiyo mmetumia zaidi ya miaka kumi mkisoma mambo ya dunia,sasa tumieni mwaka walau mmoja mjifunze kuhusu Mungu wa Isarel.
Kuna mambo unaweza omba ushauri wazazi wako na wengine ila suala la kuiponya roho yako ni lako binafsi,wewe uliyeko kwenye imani fulani kwa sababu ulizaliwa katika imani hiyo,wala hujui na hujawahi kuwauliza wazazi wako kwa nini wanaamini wanachokiamini,una nafasi ya kufuatilia mwenyewe ili kweli ikuweke huru.
 
Kasome biblia vizuri hata kama wewe siyo mkridto,for your record the best inspirational book ni bible,kuna siri nyingi ndani yake.
Issue ya Iraq na Siria wewe unaijua?Biblia imesema nini kuhusu Mashariki ya kati(middle east),kasome utaona biblia imetaja sana miji ya huko kama Gaza,Damascas, na Yerusalem.For your information kuhusu middle east
Syria lilikuwa ni taifa tulivu na imara sana mashariki ya kati kabla hawajaingia kwenye machafuko na nikuweke sawa nikisema Mungu namanisha (Yehova na si miungu wengine).Israel hata kama ni ngumu kumeza ni taifa teule la Mungu,mwanzoni ili umjue Mungu ilibidi ukutane na Ibrahimu akuelezee kuhusu Mungu wake baadaye,Isac na Yakobo.Mungu alilichangua taifa la Israel ili dunia imjue yeye kupitia taifa hili(wasiojua husema kama ni Mungu wa Isarel kwa nini tunahukumiwa na sisi kwa sababu alisema nitaenda kuyahukumu makabila 12 ya Isarel?).Pole,baada ya Israel kutokufanya kazi yao Yesu akaja ,akaanza na isarel wengine wakamkataa.Kwa kipindi hiki ili umjue Mungu aliye hai njia pekee ni kupitia Yesu(ambaye ni neno,au niseme ukisoma biblia utamfahamu Mungu aliye hai).
Nirudi kwenye machafuko yanayoendelea,moja ya swali aliloulizwa Yesu kuhusu mwisho wa dunia aliwajibu akawaambia iangalieni mashariki ya kati,pia kuna sehmu biblia inasema kutakuwa na vita maeneo mengi(wars and rumours of war).Hata hiyo ilyoitwa the arab spring waarabu wanajua kama imewapa faida au hasara.
Vita hata kwenye biblia vilikuwepo,Iraq na syria unajua wengia wao ni dini gani lakini mwanzoni they were christian.Nini kilitokea hata sasa wakristo ni minority tafuta hizo information.
Syria kulikuwa na silaha za kibiologia kwa wingi sana kama ni mfuatiliaji ziliondolewa,lakini hivi karibuni inasemekana Allepo kuna bom la gas ya chroline limetumika.Sometimes nakuwa naamini Mungu analitetea taifa lake Israel,syria sasa hivi wamechoka Isarel anapumua by the time wanagundua it is just a little too late.
Mwache Mungun aitwe Mungu,acha wapigane wao wanasababu zao za kimwili mimi na wenginen as christians tumeambiwa vita vyetu si juu ya damu na nyama.Sisi tunapigana vita katika ulimwengu wa kiroho.Ukiona wakristo wanapigana vita vya nyama trust me kama Bwana hajawaambia wapigane vita hivyo,hatakuwa nao kwani yeye analiangalia neno lake apate kulitimiza.
Israel watapata shida na hata migogoro wanayopitia sasa,kila siku mara hamas mara Hezbollah yote hayo ni maandalizi ya kuja kwa mpinga Kristio.Atawakuta Israel walishachoka na vita wanatamani amani,hivyo akiwaambia atawapatia amani na majirani zao watakubali,walimkataa kristo wa kweli sasa wataingia mtegoni.
Kama israel si taifa la Mungu,Iran wangekuwa wameliondoa kwenye ramani ya dunia kama ambavyo wamekuwa wanaliita ni uvimbe unaweza tumbuliwa muda wowote.
Biblia inasema kila mamalaka inatoka kwa Mungu,je Nkurunzinza kuwa rais Burundi ukiambiwa inatoka kwa Mungu utaamini kirahisi?Simshutumu Nkurunzinza ninachotaka kusema kuna wakati Mungu huruhusu vitu kumpata mwanadamu ili ajifunze au unakuta unapimwa imani yako.Unadhani nchi zenye vita hawamwombi Mungu?Au Tanzania kwa kuwa tuna amani sisi ni watakatifu sana?Take a minute fikiria mabaya mangapi yanendelea katika taifa hili mauaji ya albino,hukumu zisizo za haki,wajane kudhulumiwa mali,watu kuuliwa pasipo hatia,je tanzania hatuzini hakuna madada poa?Je kama unadhani amani ya nchi inaletwa na polisi,na jeshi na usalama wa taifa peke yake,je Misri,Burundi,Iraq,syria,Libya hawana hivyo vyombo,zaire je hawana vyombo vya usalama
Mungu ni mwingi wa rehema,hasira yake imewekwa kwenye ziwa la moto ambayo ni mauti ya pili.Mungu akusaidie ufahamu wako uponywe upate kumjua yeye pamoja na njia zake.
Hakuna kitu Mungu anaheshimu kama neno linlotoka kinywani mwake,ukikosea hata kidogo ni tatizo.Kipindi tulichopo ni kipindi cha neema,tunamkosea Mungu mara nyingi lakini neema yake inatusaidia.Tubu leo na uiamini injiri,wokovu wako ni sasa,there is no tomorrow.
Watu wanaposhindwa kukujibu jinsi ulivyotarajia haimanishi uko sahihi,wengi hapa mnaouliza maswali amnasoma biblia kwa sehemu ndogo sana kwani kuna maandiko mengine mnakuwa hamyajui.Ushauri wangu najua mmesoma walau hata form four,kwa hiyo mmetumia zaidi ya miaka kumi mkisoma mambo ya dunia,sasa tumieni mwaka walau mmoja mjifunze kuhusu Mungu wa Isarel.
Kuna mambo unaweza omba ushauri wazazi wako na wengine ila suala la kuiponya roho yako ni lako binafsi,wewe uliyeko kwenye imani fulani kwa sababu ulizaliwa katika imani hiyo,wala hujui na hujawahi kuwauliza wazazi wako kwa nini wanaamini wanachokiamini,una nafasi ya kufuatilia mwenyewe ili kweli ikuweke huru.

Atakae pingana na we we! Haki ya Mungu huyo mchawi
 
Mkuu unategemea Mungu akutendee wewe kwani hata avator yako inakuonyesha mawazo yako unawaza nini muda mwingi.Na neno la Mungu linatimia kuwa mwanadamu muda mwingi hawazi yaliyo mema.
Mtu hunena yaujazao moyo wake unasababu zako hata kuweka avator inayopromote mambo fulani,leo unalalamika Mungu katutelekeza.You are no serious.
Kasome biblia vizuri hata kama wewe siyo mkristo,for your record the best inspirational book ni bible,kuna siri nyingi ndani yake.
Issue ya Iraq na Syria wewe unaijua?Biblia imesema nini kuhusu Mashariki ya kati(middle east),kasome utaona biblia imetaja sana miji ya huko kama Gaza,Damascas, na Yerusalem.For your information kuhusu middle east
Syria lilikuwa ni taifa tulivu na imara sana mashariki ya kati kabla hawajaingia kwenye machafuko na nikuweke sawa nikisema Mungu namanisha (Yehova na si miungu wengine).Israel hata kama ni ngumu kumeza ni taifa teule la Mungu,mwanzoni ili umjue Mungu ilibidi ukutane na Ibrahimu akuelezee kuhusu Mungu wake baadaye,Isac na Yakobo.Mungu alilichangua taifa la Israel ili dunia imjue yeye kupitia taifa hili(wasiojua husema kama ni Mungu wa Isarel kwa nini tunahukumiwa na sisi kwa sababu alisema nitaenda kuyahukumu makabila 12 ya Isarel?).Pole,baada ya Israel kutokufanya kazi yao Yesu akaja ,akaanza na isarel wengine wakamkataa.Kwa kipindi hiki ili umjue Mungu aliye hai njia pekee ni kupitia Yesu(ambaye ni neno,au niseme ukisoma biblia utamfahamu Mungu aliye hai).
Nirudi kwenye machafuko yanayoendelea,moja ya swali aliloulizwa Yesu kuhusu mwisho wa dunia aliwajibu akawaambia iangalieni mashariki ya kati,pia kuna sehemu biblia inasema kutakuwa na vita maeneo mengi(wars and rumors of war).Hata hiyo ilyoitwa the arab spring waarabu wanajua kama imewapa faida au hasara.
Vita hata kwenye biblia vilikuwepo,Iraq na syria unajua wengia wao ni dini gani lakini mwanzoni they were christian.Nini kilitokea hata sasa wakristo ni minority tafuta hizo information.
Syria kulikuwa na silaha za kibiologia kwa wingi sana kama ni mfuatiliaji ziliondolewa,lakini hivi karibuni inasemekana Allepo kuna bom la gas ya chlorine limetumika.Sometimes nakuwa naamini Mungu analitetea taifa lake Israel,syria sasa hivi wamechoka Israel anapumua by the time wanagundua it is just a little too late.
Mwache Mungun aitwe Mungu,acha wapigane wao wanasababu zao za kimwili mimi na wenginen as christians tumeambiwa vita vyetu si juu ya damu na nyama.Sisi tunapigana vita katika ulimwengu wa kiroho.Ukiona wakristo wanapigana vita vya nyama trust me kama Bwana hajawaambia wapigane vita hivyo,hatakuwa nao kwani yeye analiangalia neno lake apate kulitimiza.
Israel watapata shida na hata migogoro wanayopitia sasa,kila siku mara hamas mara Hezbollah yote hayo ni maandalizi ya kuja kwa mpinga Kristio.Atawakuta Israel walishachoka na vita wanatamani amani,hivyo akiwaambia atawapatia amani na majirani zao watakubali,walimkataa kristo wa kweli sasa wataingia mtegoni.
Kama israel si taifa la Mungu,Iran wangekuwa wameliondoa kwenye ramani ya dunia kama ambavyo wamekuwa wanaliita ni uvimbe unaweza tumbuliwa muda wowote.
Biblia inasema kila mamalaka inatoka kwa Mungu,je Nkurunzinza kuwa rais Burundi ukiambiwa inatoka kwa Mungu utaamini kirahisi?Simshutumu Nkurunzinza ninachotaka kusema kuna wakati Mungu huruhusu vitu kumpata mwanadamu ili ajifunze au unakuta unapimwa imani yako.Unadhani nchi zenye vita hawamwombi Mungu?Au Tanzania kwa kuwa tuna amani sisi ni watakatifu sana?Take a minute fikiria mabaya mangapi yanendelea katika taifa hili mauaji ya albino,hukumu zisizo za haki,wajane kudhulumiwa mali,watu kuuliwa pasipo hatia,je tanzania hatuzini hakuna madada poa?Je kama unadhani amani ya nchi inaletwa na polisi,na jeshi na usalama wa taifa peke yake,je Misri,Burundi,Iraq,syria,Libya hawana hivyo vyombo,zaire je hawana vyombo vya usalama
Mungu ni mwingi wa rehema,hasira yake imewekwa kwenye ziwa la moto ambayo ni mauti ya pili.Mungu akusaidie ufahamu wako uponywe upate kumjua yeye pamoja na njia zake.
Hakuna kitu Mungu anaheshimu kama neno linlotoka kinywani mwake,ukikosea hata kidogo ni tatizo.Kipindi tulichopo ni kipindi cha neema,tunamkosea Mungu mara nyingi lakini neema yake inatusaidia.Tubu leo na uiamini injiri,wokovu wako ni sasa,there is no tomorrow.
Watu wanaposhindwa kukujibu jinsi ulivyotarajia haimanishi uko sahihi,wengi hapa mnaouliza maswali amnasoma biblia kwa sehemu ndogo sana kwani kuna maandiko mengine mnakuwa hamyajui.Ushauri wangu najua mmesoma walau hata form four,kwa hiyo mmetumia zaidi ya miaka kumi mkisoma mambo ya dunia,sasa tumieni mwaka walau mmoja mjifunze kuhusu Mungu wa Isarel.
Kuna mambo unaweza omba ushauri wazazi wako na wengine ila suala la kuiponya roho yako ni lako binafsi,wewe uliyeko kwenye imani fulani kwa sababu ulizaliwa katika imani hiyo,wala hujui na hujawahi kuwauliza wazazi wako kwa nini wanaamini wanachokiamini,una nafasi ya kufuatilia mwenyewe ili kweli ikuweke huru.
Hebu samaraiz bana ,siwezi soma hilo bandiko lako
 
kipindi ambacho wewe unaandika kumbuka kuwa kuna watu wanazikwa,kuna watu wanakata kauli yan mtoa roho ananyofoa roho kwa maumivu yasiyo na mfano,kuna watu wapo mochwali,kuna watu wanapoteza viungo,kuna wamama wajawazito wanajifungua muda huu.Mungu anasema ktk quran yeye anahkumu apendavyo.Hivyo vyote tutaviacha duniani tutakwenda kwaMungu tukiwa wenyewe.huwezi kumkosoa Mungu wewe ni kiumbe chake tena dhaifu
 
Tatizo kunacheche ya utapeli kwa kuvaa miavyuli ya dini ndo maana utaona wengi watalamika bila kujenga hoja
Mkuu nakubaliana na wewe kwa habari watu wanaovaa miamvuli ya imani na wakati hawafuati mafundisho.Nichukue muda huu tu kumtaka kila mmoja anayesoma hii posta ajitathimini je wewe jinsi watu wanavyokujua ulivyo,mambo yako yale ya sirini unayoyafanya yakiwekwa hazarani watakuonaje?Labda nikupe kimfano kidogo the way unavyobehave kwenye mitandao ya jamii with anonymous ID au kwenye simu yako unajua mwenyewe message ulizonazo na mabo uliyonayo yakiwekwa hazarani.Heshima uliyo nayo itaendela au itashuka?
Unaweza kuwafisha wanadamu lakini huwezi kujifichwa kwa Mungu(Yehova).
 
Naongezea tu! Kunaulazima wa kujua mambo sio kuletewa na kumeza kwa kilajambo. NDO MAANA HATUNA WATU WABUNIFU KIZAZI HIKI.ikitokea unataka undani wajambo flan unaonekana mbaya kwasababu sikuhizi vyungu vya watu vimetegeshwa seheme zenye utata.
 
Hiyo #5 ulidhani dunia ni ya leo au juzi ee..Duniani tuko wangapi wanakufa wanazaliwa wangapi bado tu akili yako imeishia hapo..
Kulingana na bible dunia ina miaka isiyozidi 10000, yaana miaka 4000BC, na miaka 2000AD...ebu chakachau akili hapo.
 
Mungu yuko wazi wewe humuoni tu kwa kuwa macho yako yamepofushwa na dhambi. Pia ujue ya kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni hv tangu kuumbwa adam hadi leo hii ndio siku ya saba na mda wowote baada ya sabato Yesu yu arejea. Ukiwa na ukimwi unazaa mtoto mwenye ukimwi kwnn dhambi ya Adam isikuhusu? Na kama tangu zama za Adam hadi leo mwanadamu yupo katika mchakato wa siku saba za mauti kwanini asivute mazingira ya kumtilia umauti? Ile dhambi ndio iliyoumba maafa yote uyaonayo na vyote vinavyofisha na kuleta magonjwa. Baada ya siku ya saba dunia na dhambi zake itapigwa kiberiti na kuwa jivu la milele na mbingu mpya na nchi mpya zitakuwepo na zitakaliwa na kuendelezwa na kizazi kipya kilichoingia kwenye safina ya mwanakondoo kukiponya na kiberiti
Hapa nadhani hujafikiri ili kupata majibu bali umejibu kulingana na traditional teachings, Alafu mbona wanatumia moto kutisha watu??? Haya maelezo uliyotoa unadhani umejibu kipi kati ya vitu nilivyouliza??? Iweje tusimwone Mungu kisa zambi za kuridhi??? sikuizi mtu mwenye ngwengwe anawezakupata mtoto salama fahamu hilo.
 
Back
Top Bottom