Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kuna kitu kinatuua kinaitwa indoctrination yaani tumekua indoctrinated kiasi cha kwamba hatuwezi fikiria chochote ila kukubali tu
Ili kuwezakukichambua na kukikataa kitu ulichofundishwa kilasiku tangu utoto, inabidi uwe na ukomavu wa akili sana.

Vinginevyo, ni rahisi sana kuwa na cognitive dissonance hata ukielewa logic yote.
 
M
Eti Mungu anaumba, anakuwa hapendezwi na alivyoumba, anakasirika, anaghairi, anatakakuua kuanziawatu waliomkose, mpakawanyama wasio na ujuziwa mema na mabaya.

Huyu Mungu au Idi Amin?
Mfano mungu ni mwema mwenye upendo wote uwezo wote na wote ni wake ila tumeona Mungu akiipendelea Israel kuliko mataifa mengine kwny Bible
Rapid Tranquilizer Yesu alitoa mfano wa watu aliowapa talanta, kila mmoja akatakiwa kurudisha kwa alivyopewa.

The moralof the story is, with great power, comes great responsibility.

Nashangaa huyu Mungu wanampa great power bila responsibility.
bila responsibility dunia ingefikaje hapa ilipo huu ni ujinga ambao tunauendekeza
 
Y
Ili kuwezakukichambua na kukikataa kitu ulichofundishwa kilasiku tangu utoto, inabidi uwe na ukomavu wa akili sana.

Vinginevyo, ni rahisi sana kuwa na cognitive dissonance hata ukielewa logic yote.
yaani unachoambiwa ndo hicho basi huwezi fikiria zaidi na hili ndio tatizo letu wa bongo wengi
 
Kwa hiyo hoja yako ndio maana nikauliza swali ilikuaje imani ya Mungu ikaenea duniani kote ikiwa watu waliyokuwa wakiongelea habari za Mungu walikuwa wanatoka eneo moja tu? Hebu tujadili hili.

Kuenea sio sababu hata biashara ya utumwa ilienea karibu duniani kote triangular trade

Swali langu kwanini manabii watoke eneo la mashariki ya kati pekee?
 
Kuenea sio sababu hata biashara ya utumwa ilienea karibu duniani kote triangular trade

Swali langu kwanini manabii watoke eneo la mashariki ya kati pekee?
Nakuuliza swali la msingi sana halafu umelichukulia poa,wewe unadai kuwa manabii walitoka eneo moja tu lakini tukiangalia kiuhalisia ulimwenguni kote kuna habari za Mungu,ni nani aliyesambaza hilo wazo la kuwepo Mungu ulimwenguni ikiwa manabii walikuwa wanatoka sehemu moja tu ya dunia?

Kwa sababu ni wewe ndiye unayedai manabii walikuwa wanatoka sehemu moja tu.
 
Maneno yako ya kusema mungu yupo?
Wewe umesema unataka Mungu ajithibitishe mwenyewe na sio watu ndio wanasema Mungu yupo,sasa nashangaa unapozungumzia kuamini maneno yangu kuhusu kusrma Mungu yupo!

Ndio maana nilisema hoja yako inafanya hata haya majadiliano yawe hayana maana tena,kwa sababu wewe unataka Mungu ajulikane na kila mtu bila kuhitaji binaadamu kusema kuna Mungu.
 
M

Mfano mungu ni mwema mwenye upendo wote uwezo wote na wote ni wake ila tumeona Mungu akiipendelea Israel kuliko mataifa mengine kwny Bible

bila responsibility dunia ingefikaje hapa ilipo huu ni ujinga ambao tunauendekeza
Kwani mkuu kuwa na upendo maana yake nini au upendo ni nini?
 
Wewe umesema unataka Mungu ajithibitishe mwenyewe na sio watu ndio wanasema Mungu yupo,sasa nashangaa unapozungumzia kuamini maneno yangu kuhusu kusrma Mungu yupo!

Ndio maana nilisema hoja yako inafanya hata haya majadiliano yawe hayana maana tena,kwa sababu wewe unataka Mungu ajulikane na kila mtu bila kuhitaji binaadamu kusema kuna Mungu.

Labda nikuulize swali moja ww umejuaje kama kuna mungu?
 
Nakuuliza swali la msingi sana halafu umelichukulia poa,wewe unadai kuwa manabii walitoka eneo moja tu lakini tukiangalia kiuhalisia ulimwenguni kote kuna habari za Mungu,ni nani aliyesambaza hilo wazo la kuwepo Mungu ulimwenguni ikiwa manabii walikuwa wanatoka sehemu moja tu ya dunia?

Kwa sababu ni wewe ndiye unayedai manabii walikuwa wanatoka sehemu moja tu.

Mungu ni cheo na wapo wengi mm nazungumzia yule mungu ambaye anajidai kaumba ulimwengu

Singumzii mungu kama yesu,Zeus,Ra ammon,Marduku
 
Mungu ni cheo na wapo wengi mm nazungumzia yule mungu ambaye anajidai kaumba ulimwengu

Singumzii mungu kama yesu,Zeus,Ra ammon,Marduku
Hata Rihanna anajiita mungu lakini pia hata wewe unaweza kujiita mungu kama Rihanna,ila ni wazi hili wazo la kinachoitwa Mungu kuna lilipoanzia na hadi ikafikia masanamu,wanyama na watu nao kujipa hicho cheo.

Kwa maana kama hii suala la Mungu lisingesambaa huko kwengine basi hata wazo la Mungu pengine lisingekuwepo.
 
Swali hilo kweli la kuuliza? Unashindwa vp kumjua Mungu katika haya mazingira yetu hadi uniulize mie nimemjuemaje?

Kuanzia kwa wazazi hadi na jamii.

Mungu hayupo lakini ww unalazimisha yupo

Habari za jamii na wazazi mm sihitaji kuzijua naomba unijibu aliyekuambia kuna mungu ni nani?
 
Hata Rihanna anajiita mungu lakini pia hata wewe unaweza kujiita mungu kama Rihanna,ila ni wazi hili wazo la kinachoitwa Mungu kuna lilipoanzia na hadi ikafikia masanamu,wanyama na watu nao kujipa hicho cheo.

Kwa maana kama hii suala la Mungu lisingesambaa huko kwengine basi hata wazo la Mungu pengine lisingekuwepo.

Mungu hayupo na kitendo cha kusambaa habari za mungu kunathibitisha uwezo wa kufikiri wa kibanadamu umefika kikomo kwa yale asiyoyajua
 
Mungu hayupo lakini ww unalazimisha yupo

Habari za jamii na wazazi mm sihitaji kuzijua naomba unijibu aliyekuambia kuna mungu ni nani?
Nimekujibu jinsi nilivyojua habari za Mungu,sasa kama unataka nikujibu tofauti labda uniambie.

Kwani wewe aliyekwambia hakuna Mungu ni nani?
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Unaakili saana!! Teena saana!!

Nimesoma maoni Ya wengi sema hawajakujibu hayo maswali 10. Basi Wajibu hata hilo LA 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom