Makosa 10 aliyotenda Mungu

Du kweli kama ni shetani anajua kutufanya watumwa wa kutomwamini MUNGU. Mimi NAAMINI KABISA MUNGU yupo ila dhambi tu ndio inanishinda ningekuwa mtakatifu alao kiasi kweli huu uzi ningeombea ufutwe tu maana unazidi kutupeleka kwa ibilisi mazima
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na si hadithi tu?

Imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote akaruhusu uwepo ulimwengu ambao dhambi inaweza kumshinda mtu?
 
Tusingekuwa na hatia mbele za Mungu kama tusingehubiriwa lakini kuhubiriwa tumehubiriwa ila mioyo yetu sisi binadamu ni migumu japo tumepewa akili kubwa kuliko viumbe wengine
 
Tukihubiriwa kabisa usile matunda haya mwisho tukala si dharau hizo wacha tufe tu tutakutana huko katika ulimwengu ujao kwa imani
 
Hapo ndipo utakapoona hivyo vitabu si vitabu vitakatifu vya Mungu.

Ni vitabu vya watu, vilivyoandikwa kufuata muktadha wa tamaduni zao.

Nilikuwa nasoma kitabu cha Karl Evanzz, kinaitwa "The Messenger: The Rise Aand Fall of Elijah Muhammad".

Elijah Muhammad ni founder wa "The Nation of Islam", kundi la Waislamu wa Marekani ambao walikuwa na muamko mkubwa wa kisiasa na kupinga maovu mengi ya serikali ya Marekani, kundi hili ndilo lilimtoa Malcolm X na kum seduce Muhammad Ali mpaka akabadilisha dini.

Kuna sehemu Elijah Muhammad alikuwa anagombana na watu wa Orthodox Islam, wa Sunni, kutokana na mambo yake yaliyo controversial, kwa kutumia jina la Uislamu.

Elijah Muhammad akawaambia ma Sheikh wale wa Sunni kwamba, kama mnataka kuniletea habari za kutaka kunitawala, nitawaambia mamilioni ya Waislamu wanaonifuata mimi huku Marekani, waache kuswali huku waki face Mecca, wote wanze kuswali waki face Chicago, makao makuu ya Nation of Islam Marekani. Kwa sababu hata katika Uislamu kabla ya kwatu kuswali wakielekea Mecca, walikuwa wanaswali kuelekea Jerusalem, tutabadilisha tu.

Wwale ma Sheikh wakampoza, wakendelea naye uzuri, mpaka leo Natiuon of Islam misikiti yao wanaswali kuelekea Al-Qqabr Mecca.

Hili jambo linaonesha kwamba hizi habari ni tamaduni tu watu wanajiwekea.

Tena ni utumwa wa kimawazo.

Ukishaambiwa Mungu kashusha Quran kwa Waarabu, na ukisali lazima uelekee Mecca, automatically unajitoa utu wako, na kujiona wewe hufai, kwenu hakufai, lugha yako haifai.

Kiarabu ndicho kinafaa, Mecca ndiko kunafaa.

Kama wewe ungekuwa unafaa, kwa nini Al-Qqabr isingekuwa kwenu? Kama lugha yenu inafaa, kwa nini Mungu hakushusha Quran au Biblia kwa lugha yenu?

Ni utumwa wa kiutama duni tu.
Uzuri ni kuwa hulazimishwi kuamini Mungu Yupo ipo siku utamuona kwa macho yako wewe mwenyewe hata wale wa karibu yako hawatamuona
 
Tusingekuwa na hatia mbele za Mungu kama tusingehubiriwa lakini kuhubiriwa tumehubiriwa ila mioyo yetu sisi binadamu ni migumu japo tumepewa akili kubwa kuliko viumbe wengine
Kwanza kabisa, unaweza kuthibitisha Mungu yupo na habari za kuwapo kwake ni za kweli, si uongo?
 
Uzuri ni kuwa hulazimishwi kuamini Mungu Yupo ipo siku utamuona kwa macho yako wewe mwenyewe hata wale wa karibu yako hawatamuona
Unaweza kuthibitisha hayo unayoandika?

Hiyo siku nitakayomuona ni siku gani na unanihakikishiaje nitamuona kweli, na kwamba hizo habari si hadithi tu?
 
Kwanza kabisa, unaweza kuthibitisha Mungu yupo na habari za kuwapo kwake ni za kweli, si uongo?
Mungu haonekani kama unavyowaza utamuona tu mwenyewe na hata ukimuhadithia mtu pia hatakuelewa
Njia pekee ya kumuona Mungu ni maombi maalumu
 
Unaweza kuthibitisha hayo unayoandika?

Hiyo siku nitakayomuona ni siku gani na unanihakikishiaje nitamuona kweli, na kwamba hizo habari si hadithi tu?
Hiyo siku itakuja tena ukiwa hai kabisa utamshuhudia live sio ndoto bali live wewe mwenyewe maana yeye hujionyesha kwa wale wasioamini
 
Mungu haonekani kama unavyowaza utamuona tu mwenyewe na hata ukimuhadithia mtu pia hatakuelewa
Njia pekee ya kumuona Mungu ni maombi maalumu
Kwani nani kakwambia nataka kumuona Mungu?

Na kwa nini huyo Mungu ajifiche jifiche hivyo? Anadaiwa kodi na TRA?
 
Wakati gani?

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo, kwa sababu hayupo.

Unajificha nyuma ya porojoza "wakati ukifika".
Kwa sababu binadamu hajawahi kumpenda Mungu bali Mungu kumpenda binadamu
Siku akikupenda atajitokeza kwako tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom