Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,967
- 146,255
Kwanini hapana ?Eleza kwanini nikitoa maelezo yenye kujicontradict kuhusu mimi haifanyi mie Tz mbongo kutokuwepo.
"Haifanyi mie Tz mbongo kutokuwepo" ni uandishi mbaya, unatumia double negatives na hueleweki unamaanisha nini.
Sijaandika kwamba wewe unayetoa maelezo yenye kuji contradict haupo, nimesema chenye maelezo yenye contradiction ndicho hakipo.
Kwa case ya Mungu, Mungu hatoi maelezo (kwa sababu hayupo, hivyo hawezi kutoa maelezo).
Watu waliopo ndio wanatoa maelezo yenye contradiction kuhusu Mungu (Mungu ni kitu chenye maelezo yenye contradiction).
Tumeona juu hapo kwamba, chenye maelezo yenye contradiction hakipo.
Tumeona Mungu ana maelezo yenye contradiction.
Hivyo, Mungu hayupo.