Makosa 10 aliyotenda Mungu

Huwezi toa maelezo ya mashairi unatambua wazi quran ni mashairi

Muhamad amekopi hadithi za bible wakatengeneza mashairi wakishirikiana na Hasan bin thabiti

Hakuna kitabu hapo ujue hayo ni mashairi kama diwani ya mloka ndiio maana waislam wengi utawakuta wanasoma quran kwa mtindo wa kuimba bila ya kujua maana kwakuwa ni mashairi

Nacheka sana,ushairi ile ni elimu bro. Nimekuwekea vitabu kukuonyesha ya kuwa madai unayoyaleta wewe waliyaleta wakubwa na mabingwa wa mashairi tangu zama za mtume amani ya Allah iwe juu yake,lakini walishindwa.

Nakuuliza swali ni wapi swahaba Hassan bin Thabiti alimfundish mtume ? Hapa nataka ushahidi bro.

Ushairi ni elimu hata katika Kiswahili elimu hii ipo. Tafuta kitabu "Sheria za kutunga Mashairi na Diwani ya Amri" kitabu hiki kimeandika na Sheikh Kaluta Amri Abeid ili uone namna ya utunzi wa tungo una kanuni zake. Sasa elimu hii katika kiarabu ndio imekita mizizi hasa.

Soma vitabu nikivyokupa ili uelewe na uache kuandika mambo kwa mihemko na chuki za kijinga.
 
Huna cha kunifundisha naujua uislam kama unavyoujua wewe

Kama uislam ninaouzungumzia hapa kauleta muhamad basi naujua na kama huo uislam unaosema wewe umetoka sayari ya mars basi siujui

Pinga kwa hoja kama quran sio mashairi

Kaka usipende kitonga kama vijana wasemavyo mtaani. Wewe si umesema Qur'an mashairi ? Leta hoja zako kuonyesha Qur'an ni ashairi usipoteze muda.

Uislamu huujui bro bali wewe unajidai unaujua Uislamu.
 
Huwezi toa maelezo ya mashairi unatambua wazi quran ni mashairi

Muhamad amekopi hadithi za bible wakatengeneza mashairi wakishirikiana na Hasan bin thabiti

Hakuna kitabu hapo ujue hayo ni mashairi kama diwani ya mloka ndiio maana waislam wengi utawakuta wanasoma quran kwa mtindo wa kuimba bila ya kujua maana kwakuwa ni mashairi

Wana soma kwa mtindo wa kuimba ? Inaonekana hujui hata kuimba ni nini ? Hivi watu ndio huwa wanaimba vile ?

Halafu unakuja kujigamba ooh umesoma elimi Tajweed ?! Tajweed gani uliyoisoma wewe mpaka ushindwe kutofautisha kati ya wimbo na usomaji wa Qur'an ?

Kaka ukiwa unaongea au kuandika jambo jitahidi kuandika kwa haki.

Wewe inaonekana umekariri majina ya vitabu tu,hata kvisoma vitabu vyenyewe hujasoma.

Ila ni wewe ndie ambae nakumbuka niliwahi kukuuliza unitajie majina ya waandishi wa vitabu ulivyosoma ukashindwa. Sasa kweli wewe ni msomi ? Hata jina la muandishi wa kitabu humjui ?

Achani sanaa katika mambo ya kielimu.
 
Quran ni mashairi ndio maana waislam wenzako msikitini wanasoma kwa mtindo wa kuimba

Kama wewe husomi qurani kwa mtindo wa kuimba yawezekana hujui kuimba huna sauti nzuri
 
Kaka usipende kitonga kama vijana wasemavyo mtaani. Wewe si umesema Qur'an mashairi ? Leta hoja zako kuonyesha Qur'an ni ashairi usipoteze muda.

Uislamu huujui bro bali wewe unajidai unaujua Uislamu.

Sasa ustadhi hujui mashairi ni kitu gani?

Je ninavyokuambia qurani ni mashairi unanielewa?
 
Bro unapenda sana kupoteza muda. Nakurudisha sasa huku kwenye kanuni za mijadala. Katika elimu ya mijadala na nyinginezo zinasema hivi "Mwenye kuthibitisha huwa anatangulizwa dhidi ya yule mwenye kukanusha,kwani mara nyingi mwenye kuthibitisha huwa ana zaida ya elimu"

Sasa wewe unaesema Qur'an ni mashairi unatakiwa utoe sababu za kwa nini Qur'an ni Mashairi.

Kadhalika nilikuuliza swali kama ulikuwa hujui Mashairi ni nini,kwanini uliongelea jambo ambalo huna elimi nalo ?

Hujui mashairi ni kitu gani

Je Mimi ninaposema qurani ni mashairi unanipinga kwa lipi?
 
Ukimchunguza sana Mungu, utampoteza na hutaamini kama yupo. Ni vyema kujua chanzo chako, ndio maana watoto "wasio na baba" huomba waoneshwe baba zao japo kwa picha, n.k. Mungu yupo ila katupa kitendawili kigumu kung'amua, "His Existence or non-Existence"
Jude 1:14 Ina majibu fulani....
 
Hujui mashairi ni kitu gani

Je Mimi ninaposema qurani ni mashairi unanipinga kwa lipi?

Tatizo lenu elimu hamna halafu mnataka kujitutumua,haya ndio matokeo yake,kupoteza muda na kurudia rudia maneno.

Wewe unae sema Qur'an ni mashairi una hoja gani juu ya hilo ?

Wewe inaonekana hata kiarabu hukijui. Nimekuwekea vitabu kadhaa humu ukavisome tena nilifanya kwa kukuonea huruma,lakini naona huioni huruma yangu kwako.

Tunapoelekea wewe utakuwa mtu wa kukiupuuza,sababu sina ninachofaidika nacho toka kwako. Ajabu kwenu nyinyi naona mnafanana sana.

Usipoteze muda,eleza kwanini Qur'an ni mashairi ?
 
Kwanza hujui mashairi ni kitu gani?

Unawezaje kupinga kama quran sio mashairi?

Huna elimu ya mashairi na hujui ni kitu gani halafu unakataa quran sio mashairi?

Unapata wapi ujasiri wa kupinga?
 
Bro utakuwa na matatizo ya akili sio bure aisee. Hilo swali narudia tena ulitakiwa ujiulize kabla ya kuituhumu Qur'an ni mashairi.

Sasa kwa sababu unajitoa ufahamu na kutaka tupoteze muda mimi sina muda wa kupoteza kijadiliana na wewe,sababu kuendelea kujadiliana na wewe ni hasara na sifaidiki na chochote.

Pili,ulitakiwa unishukuru sana kwa kukupa faida ya vitabu vipya juu ya Ushairi wa kiarabu,kama wewe ni mpenda kusoma kweli na unataka kujifunza na kuujua ukweli anza na hivyo vitabu katika kuutafuta Ukweli juu ya Qur'an si mashairi.

Hapa nimetia nanga,kujadiliana na wewe kwani ukileta malalamiko yako na kupoteza muda sitakujibu tena baada ya maneno haya.

Elimu haina mwenyewe bali elimu ina watu wake.

Asante sana.

NIMEMALIZA.....
 
Kuwepo kwa matatizo ya akili ndio kunazidi kuonyesha mungu hayupo

Mungu mwenye hekima na busara kwanini anaumba watu wengine hawana matatizo ya akili na wengine wana matatizo ya akili hiyo busara yake ikowapi mbona hana fair ?

Jambo la kwanza hujui mashairi ni kitu gani?

Jambo la pili hujui kanuni za ushairi?

Jambo la tatu hujui kuandika mashairi?

Jambo la nne hujui kuimba mashairi?

Hayo mambo manne yote hujui halafu unapinga quran sio mashairi?

Unapata wapi kupinga jambo ambalo hulijui?

Qurani mashairi muhamad amekopi hadith za biblia wakatengeneza kitabu kupitia mtindo wa mashairi akishirikiana na Hassan bin thabiti maana Hassan bin thabiti ni mshairi mzuri

Ndio utakuja kuona uzuri wa quran ni kiarabu kwakuwa ni mashairi ukipeleka kwa lugha nyingine inaparanganyika inakuwa haileweki kama kitabu kinaenda mbele au kinarudi nyuma

Waislam wengi wanasoma quran kwa mtindo wa kuimba kwa kuwa ni mashairi kama wewe husomi quran kwa kuimba itakuwa hujui kuimba na huna sauti nzuri na hujui aina za sauti
 
Shughuli yangu IMEISHA !
 
Alueandika hu uzi atakuwa ameshafariki ao ameshatubu ..Allah msamehe kiumbe hiki kiovu kitakuwa kimetumwa na shetani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom