Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,902
Tatizo umeweka msimamo wa kuwabhuyo Mungu lazima ahusike na huu ulimwengu au uwepo wake unategemea huu ulimwengu,ndiyo maana hunielewi.Unaelewakwamba hujuikusoma kwaufahamu?
Unaelewakwamba nimeadnika kwa ufasaha kabisa kwamba Mungu huyo angekuwepo, ulimwengu huu usingeweza kuwepo.
The two are mutually exclusive.
Huwezikuwa na viwili vyote pamoja.
Ama utakuwa na hiki bila kile, ama kile bila hiki.
Amautakuwa na ulimwengu huu tunaouona bila Mungu kuwepo.
Amautakuwa na Mungu bila ya ulimwengu huu tinaouona.
Na hivyo, kwa sababu ulimwengu huu tunaouona upo, Mungu hayupo.
Umeelewa hiyodhana ya "mutual exclusivity" ?
Viwili hivi kuwapo pamoja ni contradiction, haiwezi kuwa, ni wazo tu, halwezekani katika uhalisi.
Nakwambia kwanini isiwe kwamba huu ulimwengu haujaumbwa na Mungu kama inavyodaiwa maana ni contradiction,ila wewe unaniamb Mungu angekuwepo huu ulimwengu usingekuwepo.
Sasa hapo nani hamuelewi mwenzie?