Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Wew unaelewa unachoongea??.

---هل يستوي الذين يعلمون و الذين لا تعلمون?

Je, wako sawa wale wenye ELIMU na wale wasiokuwa na ELIMU?

👆🏻Mtukufu mtume (saw) alikuwa anayo ELIMU, na ndiyo maana hata wewe unakuu aya za Qur'an alizofunuliwa na Allah, asingekuwa na Elimu wewe usingenukuu hizo aya.

أمي يعني لا يقرأ و لا يكتب

Ummi, yaani asiyejua kusima na kuandika tu.

Illiteracy is quiet different from being educated, illiteracy has got to do with reading and writting only but education has got to do with knowledge, a knowledge which can be acquired from any sources or inherently from one self, the so called talent.

Umesema muhamad anayo elimu,elimu ipi?

Kaisoma wapi?
 
Nakuelewa vizuri sana ila tunapokuja kutoelewana ni pale unaposema huyo Mungu hayupo,huu ulimwengu ni moja ya katika vitu tunavyoambiwa ameviumba huyo Mungu mzuri,kitu ambacho wewe ndio unakipinga.

Yani baada ya kuonesha kuwepo contradictions kwenye madai ya kwamba Mungu mwenye upendo ndiye kaumba huu ulimwengu,wewe umemuondoa kabisa huyo Mungu na sio kuonesha tu kuwa haiwezekani Mungu huyo ndio kuwa kaumba huu ulimwengu.

Hapo ndiyo ambapo hatuelewani,kwa sababu hata kama utathibitishiwa kuwepo Mungu bado hii hoja contradiction itaendelea kujadiliwa maana suala la kuwa yeye ndio kaumba huu ulimwengu ndio lenye kutatiza hapa.
Nakwambia hivi, huyo Mungu angekuwepo, ulimwengu huu usingeweza kuwepo.

Ushaelewa?

Ni sawa na useme kuna injinia mwenye uwezo wote wa kuzuia ufa, mwenye ujuzi wote wa kuzuia ufa na mwenye nia yote ya kuzuia ufa, halafu uone kajenga nyumba ina ufa.

Hapo utajua injinia huyo hayupo, maana kashindwa kuumba nyumba isiyo na ufa.
 
Hayo yote ndugu yangu, uliyoyaeleza yanathibitisha Mungu yupo, kujua au kutokujua chanzo cha ulimwengu SI picha itakayo kanusha uwepo wa Mungu bili itazidi kuimarisha dhana ya uwepo wake kwa sababu ni YeYe Mungu aliyetuzawadia nyenzo ya kutufikisha hapo, nyenzo yenyewe ni AKILI.

Umezungumzia juu ya maendeleo ya tiba, hapo napo inabidi tuzidi kumshukuru Mungu kwa kutujaalia AKILI iliyotuwezesha kufika hapo pia kuna tafiti zinafanyika kwa ajili ya kutumia viungo vya nguruwe kama macho,moyo,ini nk kama viungo mbadala vya binadamu, shukrani kwa Mungu aliyetuzawadia AKILI.

Umezungumzia juu binadamu kupambana na magonjwa anayo yaleta Mungu kuondoa uhai wetu, ungalijua falsafa ya kwa nini "SISI TUPO HAPA DUNIANI' wala usinge uliza kwanini tufe!!, wewe ulitaka uishi milele hapa duniani??! hapa duniani tupo njiani tu na makazi yetu ya milele ni akhera kwa hiyo lazima tufe na kabla yetu walishakufa watu wengi na sisi tutafuata, ila namna gani mtu anakufa ndiyo suala la kujadili:- kuna vfo kutokana na uzembe na ujinga wa binadamu, kuna vifo vya kawaida "natural death" na kuna vifo kama adhabu na mitihani kutoka kwa Mungu.

Unasema "nifikirie hali sasa sipo, nafikiri ni kipi hasa kipo katika hali ya kutokuwepo hakuna kilichopo"

Hapo ni "total illogical statement", kwa sababu unataka kusema wakati wewe hujazaliwa (hujakuwepo) hakukuwa na chochote??!!, hata wazazi wako, babu, mabibi, wajomba, baba na mama yako na dunia haikuwepo??!!.

Unasema eti "hakutakuwepo na kitu hadi siku utakapokuwepo",

Nakuomba kaa tena kitako na utafakari hiyo statement yako..
Hakuna baba Mokaze bila Mokaze. Unakubali hili? Nalo pia linahitaji tafakari kidogo. Nami ninakuomba ujipe muda zaidi kutafakari.

Bado ninauliza, katika hali yako ya kutokuwepo, kipi haswa kipo? Bado ninakuomba tena, jipe muda zaidi wa kutafakari. Unaweza kuona mantiki yake. Just give yourself some more time.
 
Kama hajui quran ni mashairi ni kitabu cha ujanja ujanja mwandishi amekopi kutoka kwa jews akatengeneza hadithi zao na maisha anaoyaona kupitia mashairi
Kaka suala la kukutaka wewe uthibitishe ya kuwa Qur'an ni mashairi nilikwambia kitambo na hujathibitisha hilo na huna uwezo wa kuthibitisha hilo.

Hasemi yoyote ya kuwa Qur'an ni mashairi isipokuwa mjinga asie jua ushairi wa kiarabu na tuhuma hizi hazikuanza lei sasa kama walishindwa waarabu wenyewe mabingwa na maguru wa kiarabu na mashairi utaweza wewe ? Hili kwako ni muhali.

Pili,kinacho nistaajabisha kwenu ni huu ujasiri wa kuuzungumzia Uislamu hali ya kuwa hujui chochote katika Uislamu mnaupata wapi ?

Nilitarajia ya kuwa wewe sasa ndio ulete ushahidi wa kuchukua mashairi ya kiarabu na kuonyesha ulinganifu wake na Qur'an kisha unataja na tarehe,lakini hili maskini mtu wewe huliwezi.

Nakariri tena na tena kama nyinyi hamkuamua kutenga muda na kusome sisi Allah alituzindua tukajifunza japo tunayofahamu ni machache sana katika uislamu kuliko tusiyoyafahamu.

Msome muache ujanja ujanja.
 
Nakwambia hivi, huyo Mungu angekuwepo, ulimwengu huu usingeweza kuwepo.

Ushaelewa?

Ni sawa na useme kuna injinia mwenye uwezo wote wa kuzuia ufa, mwenye ujuzi wote wa kuzuia ufa na mwenye nia yote ya kuzuia ufa, halafu uone kajenga nyumba ina ufa.

Hapo utajua injinia huyo hayupo, maana kashindwa kuumba nyumba isiyo na ufa.
Kwanini ulazimishe kusema huyo Mungu hayupo na sio kwamba huyo Mungu hajaumba huu ulimwengu? kwamba angeumba yeye usingekuwa ulimwengu huu.
 
Umesema muhamad anayo elimu,elimu ipi?

Kaisoma wapi?
Kafundishwa na malaika mhushimiwa aitwae Jibril,na Allah akamtoa wasi wasi na kumuahidi yale anayofundishwa na kuletewa hatayasahau.

Sababu alionekana akiwa anafanya hima na juhudi ya kuyahifadhi.
 
Kwanini ulazimishe kusema huyo Mungu hayupo na sio kwamba huyo Mungu hajaumba huu ulimwengu? kwamba angeumba yeye usingekuwa ulimwengu huu.
Kwa sababu, Mungu huyo angekuwepo asingeruhusu yanayotokea katika ulimwengu huu yatokee.

Kuruhusu yatokee kungekanusha sifa zake.

Ndiyo maana, kuwepo kw aulimwengu huu kunaonesha hayupo.

Narudia. Mfano. Maana umeuruka kamahujauona.

Ni kama vile unasema kuna injinia mwenye ujuzi wote, uwezo wote na nia yote ya kujenga nyumba isiyo na ufa.

Halafu hakuna nyumba inayojengwa bila yeye kujua na kuihakiki.

Halafu unaona kuna nyumba imejengwa ina ufa.

Nyumbe hiyo yenye ufa itathibitisha injinia huyo ni hadithi tu, hayupo.

Angekuwepo, hiyo nyumba yenye ufa isingeweze kana kuwepo.
 
Nakuunga mkono! Kama Mungu aliumba Adam na Eva wawili tu weupe wakazaana. Uzao wao ukawa mweupe, sasa sisi waafrika weusi tulitoka wapi? Ukiuliza unaambiwa unakufuru!
KUNA WAKATI HUWA NADHANI TUNAABUDU MUNGU WA WAZUNGU
MFANO- BIBLIA INAPOANDIKA 'MUNGU WA ISRAEL" INA MAANA GANI??
 
Hapo namba moja ndo napata wasi wasi sana.. Mungu wetu ni mkuu na aliumba kila kitu yaan tunaamin/tunaaminishwa kuwa shetani pia aliumbwa na Mungu.
Ila pia tunaambiwa yeye ndo anajua kila kitu maana yake kilichopo,kilichopita na kitakachotokea mbele huko... Sasa ilikuaje akaanza kumuumba shetani huku akijua huyo shetani atakua kikwazo katika utawala wake? Kwa kua yeye ni mkuu mbona ilikua simple tu pale shetani alipozingua angemkamata sweka rumande huko au tia moto aondoe hiyo roho ya laana..

Mimi sio mpinga Mungu wala mpagani.. Ila nahoji tu ili kujua zaidi kuhus Mungu wetu tunaemuabudu....
BIBLE INASEMA SHETANI ALIKUWA MIONGONI MWA MALAIKA ILA ALIASI. SO TAYARI ALIKUWAPO! SEMA HAPO NAPO ANGEMUANGAMIZA ILI WATU WEMA WAISHI KWA AMANI
 
KUNA WAKATI HUWA NADHANI TUNAABUDU MUNGU WA WAZUNGU
MFANO- BIBLIA INAPOANDIKA 'MUNGU WA ISRAEL" INA MAANA GANI??
Ukichukua neno "Mzungu" ukatoa hiyo hrufi ya z, unapata neno gani hapo?

Ukishaelewa hilo tu, utaona kwamba hata etymology (somo la kuangalia vyanzo vya maneno) inakuonesha tumepandikiziwa habari za Mungu.
 
BIBLE INASEMA SHETANI ALIKUWA MIONGONI MWA MALAIKA ILA ALIASI. SO TAYARI ALIKUWAPO! SEMA HAPO NAPO ANGEMUANGAMIZA ILI WATU WEMA WAISHI KWA AMANI
Mimi huwa nauliza, kwani Mungu alishindwa kuumba dunia ambayo maovu hayawezekani kutokea?

Sijajibiw ampaka sasa.
 
Kafundishwa na malaika mhushimiwa aitwae Jibril,na Allah akamtoa wasi wasi na kumuahidi yale anayofundishwa na kuletewa hatayasahau.

Sababu alionekana akiwa anafanya hima na juhudi ya kuyahifadhi.

Kabisa sasa huyo malaika jibril ni hadithi za wayahudi muhamad amekopi hadithi hizo

Ila kiuhalisia malaika jibril yeye amemsikia kutoka ktk hadithi za wayahudi

Je unaweza kuthibitisha kama malaika wapo?

Kwanini siku hizi hao malaika hawaonekani kama zamani?
 
Kaka suala la kukutaka wewe uthibitishe ya kuwa Qur'an ni mashairi nilikwambia kitambo na hujathibitisha hilo na huna uwezo wa kuthibitisha hilo.

Hasemi yoyote ya kuwa Qur'an ni mashairi isipokuwa mjinga asie jua ushairi wa kiarabu na tuhuma hizi hazikuanza lei sasa kama walishindwa waarabu wenyewe mabingwa na maguru wa kiarabu na mashairi utaweza wewe ? Hili kwako ni muhali.

Pili,kinacho nistaajabisha kwenu ni huu ujasiri wa kuuzungumzia Uislamu hali ya kuwa hujui chochote katika Uislamu mnaupata wapi ?

Nilitarajia ya kuwa wewe sasa ndio ulete ushahidi wa kuchukua mashairi ya kiarabu na kuonyesha ulinganifu wake na Qur'an kisha unataja na tarehe,lakini hili maskini mtu wewe huliwezi.

Nakariri tena na tena kama nyinyi hamkuamua kutenga muda na kusome sisi Allah alituzindua tukajifunza japo tunayofahamu ni machache sana katika uislamu kuliko tusiyoyafahamu.

Msome muache ujanja ujanja.

Basi niambie ukisikia mashairi unaelewa nini?
 
Kafundishwa Elimu na mwalimu wa waalimu wote yaani Mungu. Na ndiyo maana hata wewe unapenda kunukuu aya za Qur'ani alizoteremshiwa na Mungu.

Nanukuu quran ili niendane na akili zako kama vile unapoweka lubricant kupunguza friction ktk mashine

Ila sio kama nazikubali hizi aya za quran natumia kulainisha akili yako kuanzia cerebral mpaka medulla oblangata

Hakuna mtu aliyewahi kumuona huyo Allah je huyo Allah ili awe mwalim wa muhamad walionana wapi mpaka wakawa wanafundishana?
 
Kabisa sasa huyo malaika jibril ni hadithi za wayahudi muhamad amekopi hadithi hizo

Ila kiuhalisia malaika jibril yeye amemsikia kutoka ktk hadithi za wayahudi

Je unaweza kuthibitisha kama malaika wapo?

Kwanini siku hizi hao malaika hawaonekani kama zamani?

Unaposema ni hadithi zaahayudi hapo hujathibitisha bado,nataka uthibitishe amekopi vipi ?

Na wewe umejuaje kama hizo ni hadithi za mayahudi ?

Kutokuonekana kwao leo si hoja ya kuthibitisha ya kuwa hawapo.

Hapa napata shaka na ndio maana huwa nasema wewe huujui uislamu,laiti ungekuwa unaisoma Qur'an ungemjua Jibril amezungumziwa vipi na ana sifa gani.

Halikadhalika ukirejea katika vitabu vya historia utaona.

Ukisema nikuthibitishie uwepo wa malaika swali rahisi sana rejea katika Qur'an utakuta maelezo yake.

Sasa nataka unipe maandiko ya kiyahudi ambayo mtume Muhammad ameyakopi ?

Kwanza si unajua mtume wetu sisi waislamu alikuwa hajui kusoma na kuandika ? Kama unajua na kukiri hilo ? Jibu swali langu hapa chini na kama huamini hilo vni haki ya wewe kuitwa MUONGO MUOVU.

Naomba unielezee ni vipi aliyakopi haliyakuwa yeye alikuwa hajui kusoma wala kuandika na kama hivyo ndivyo je alijuaje kama kweli yale yaliyokopiwa ndio yale aliyokuwa anayataka ?
 
Back
Top Bottom