Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Mjadala wa Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) unaisha pale ninapoomba contradiction ya kuwepo kwa Mungu huyu ya "problem of evil" inapokosa majibu.

Kama hi contradiction haijaweza kujibiwa, Mungu huyu atakuwa ni hadithi tu.

Ni sawa na mtu akwambie kwamba katika Euclidean geometry kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara.

Halafu umuulize mtu huyo, sasa pembetatu ina nyuzi 180, na duara lina nyuzi 360, hilo pembetatu duara lina nyuzi ngapi? 180? 360? au ngapi?

Pembetatu ikiwa pembetatu mbona tayari haiwezikuwa duara?

Duara likishakuwa duara mbona tayari haliwezi kuwa pembetatu?

Halafu mtu anashindwa kukujibu.

Anakwambia pembetatu duara lipo tu.

Halipimiki, halionekani, halichoreki, lipo tu.

Halafu anataka ukubali lipo.
Naam. Muweza wa yote mwenye contradictions ambazo ukijipa muda wa kumtafakari unakuta ni hadithi za kusadikika. Mungu muweza wa yote ambaye ni "function" ya watu, vitu na hali. Yani, watu, vitu na hali ndivyo vinavyom-define Mungu. Halafu tuseme ndiye muweza wa vyote.

Yani ni kama hakuna watu, hali na vitu, kumwelezea Mungu inakuwa kazi ngumu kama kuelezea f ( ) ina maana gani haswa. Anayefahamu relations/ functions lazima akuulize hapa variables ni zipi. Vinginevyo, ni vigumu sana kuelewa f( ) inamaanisha nini. Same applies to God.
 
Ukiongea habari za functions utawaacha watu hapa, na hapo ndipo lilipo tatizo.

Tukija kwenye physics, ukitaka kumuelezea Mungu kama perfection, kama anavyosemwa, kwenye physics, uki define perfection kwa entropy, the most perfect state - zero entropy- ni nothingness, non being.

Uki deviate kutoka kwenye hiyo nothingness tu, hiyo perfection, unaanza kuwa na mawaa, unaanza kuwa na entropy.

Maana yake, Mungu mwenye utakatifu wa juu kabisa, zero entropy, ni nothingness.

Kama the most perfect state of being is non being, nothingness, na Mungu ni the most perfect state, basi Mungu ni nothingness.

Kama Mungu huyo ni nothingness, Mungu huyo hayupo.

I just proved Mungu mtakatifu kabisa hayupo kwa kutumia physics ya entropy.

Sijui wangapi wataweza kufuatilia.
 
Ukiongea habari za functions utawaacha watu hapa, na hapo ndipolilipo tatizo.

Tukija kwenye physics,ukitaka kumuelezea Mungu kama perfection, kama anavyosema, kwenye physics, uki define perfection kwa entropy, the most perfect state - zero entropy- ni nothingness, non being.

Ukideviate kutoka kwenye hiyo nothingness tu, hiyo perfection, unaanza kuwa na mawaa, unaanza kuwa na entropy.

Maana yake, Mungu mwenye utakatifu wa juu kabisa, zero entropy, ni nothingness.

Kama the most perfect state of being is non being, nothingness, na Mungu ni the most perfect state, basi Mungu ni nothingness.

Kama Mungu huyo ni nothingness, Mungu huyo hayupo.

I just proved Mungu mtakatifu kabisa hayupo kwa kutumia physics ya entropy.

Sijui wangapi wataweza kufuatilia.
Kwa ufupi, we pray for nothingness to do something for us. Na hii ndio maana ya masemo, asiyefanya kazi na asile, imani bila matendo ni mfu.
 
Majibu yako wapi?Onesha hapa.
Daah bro sina muda wa kupoteza kurudia majibu niliyokupa huko nyuma,na nina uhakika ya kuwa majibu nilikupa.Unajua nini ? laiti mngekuwa na elimu na utambuzi mzuri wa mambo ya kielimu na adabu zake tusinge fika hapa.

Bro wewe na wenzako hamjui kufikiria mambo,hamjibu maswali,wasusuavu wa moyo na ni wajinga juu ya kile mnachokiegemea.Bro hivi hujiulizi umeanza lini kujadiliana kuhusu hili ? Na umepewa majibu mara ngapi na kuulizwa maswali msioweza kuyajibu ?

Bro elimu haifichiki na mjinga hajifichi.

Bro upingaji wenu kiukweli hampingi hoja kwa elimu bali kwa matamanio ya nafsi zenu na kuwapotezea watu muda.

Bro jambo lenu hili limeanza kutoka kwenye hatua ya kimtazamo na kuingia katika hatua ya kiimani bali ni dini sasa. Tatizo jambo lenu hili halina misingi ndio maana mmekuwa vipofu wa macho,vipofu wa akili bali vipofu wa moyo.

Bro sikusimamishii hoja tena baada ya hapa,sababu kazi yangu iliisha kitambo.

Bro nitakuwa nakupa nasaha na kukufundisha pia, sababu hili nimeliona katika ujengaji wako wa hoja,bali mpaka katika zile elimu unazojifaragua kwazo yaani wewe ni dhaifu sana.

Bro nasaha zangu kwako ni kuwa ujifunze kusoma,uelewe kisha uzingatie pia,tena ukitaka kuijua elimu fulani isome kutoka katika vitabu vyake vya asili na ujifunze kwa watu wajuzi wa elimu hiyo.

Bro nayasema haya sababu nimetumia muda mwingi kukuelewesha sana na kukupa hoja zenye nguvu na ukashindwa kuzijibu kwa mizani ya kielimu,ushahidi utauona katika hoja zangu kama ukizifatilia tena,ID yangu unaijua na shahidi wa kwanza ni nafsi yako ya kwamba ni kweli hakuna hoja yangu hata moja uliyowahi kuijibu kielimu.

Bro najua utasema mengi baada ya haya ninayo ya andika hapa,kwamba nina hubiri,ila nakukumbusha ya kuwa elimu ni nuru na ujinga ni giza na haya yanayokusibu leo katika ususuavu wako ni machumo ya mikono yako.

Bro narudia tena,rejea post zangu zote tulizojadiliana na wewe kama hutakuta majibu ya maswali yako ile kwa haki kabisa na uadilifu.

Bro wewe unatakiwa kufundishwa wala si kujadiliana na mimo na wale wote mfano wangu au wenye fikra kama zangu.

Maneno bora ni yale machache na yenye faida kwa watu.

Naendelea kuandika kuhusu utukufu wa Mola wangu mlezi muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
 
Huna muda wa kupoteza halafu bado unaandika uharo mreefu?
 
Na hivyo ndivyo nilivyo mimi....!
Una ji contradict.

Unaandika kwamba huna muda wa kupoteza halafu unaandika ujinga mwiiingi,ambao unaonesha una muda mwingi sana wa kupoteza.

Una ji contradict.

Sishangai.

Kwa sababu hata Mungu wako unayemuamini ana contradiction.

Unaabudu contradiction.
 
Anasema mwanachuoni mbora (Simtaji kwa kulinda heshima yake na nafasi yake) Allah amrehemu " Jifunzeni elimu mwezi,na adabu miezi miwili "

Ubora wa adabu dhidi ya Elimu.....
 
Mjadala wa Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) unaisha pale ninapoomba contradiction ya kuwepo kwa Mungu huyu ya "problem of evil" inapokosa majibu.

Kama hi contradiction haijaweza kujibiwa, Mungu huyu atakuwa ni hadithi tu.

Ni sawa na mtu akwambie kwamba katika Euclidean geometry kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara.

Halafu umuulize mtu huyo, sasa pembetatu ina nyuzi 180, na duara lina nyuzi 360, hilo pembetatu duara lina nyuzi ngapi? 180? 360? au ngapi?

Pembetatu ikiwa pembetatu mbona tayari haiwezikuwa duara?

Duara likishakuwa duara mbona tayari haliwezi kuwa pembetatu?

Halafu mtu anashindwa kukujibu.

Anakwambia pembetatu duara lipo tu.

Halipimiki, halionekani, halichoreki, lipo tu.

Halafu anataka ukubali lipo.
Pembe tatu X Duara=Haiwezekani.

Mungu mwenye upendo X Kuumba huu ulimwengu=Hakuna Mungu.
 
Pembe tatu ambayo hapo hapo ni duara haiwezekani kuwapo, kwa sababu ni contradiction kidhana.

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kuwepo na hapo hapoulimwengu huu wenye mabaya mengi kuweza kuwepo nayo ni contradiction.

Ulimwengu huu upo, hivyo, Mungu huyo hayupo.
 
Tatizo sio ulimwengu kuwepo bali Mungu huyo mwenye upendo kuwa ndiyo kauumba ulimwengu huu,hilo ndio unanalopinga.
 
Naam. Muweza wa yote mwenye contradictions ambazo ukijipa muda wa kumtafakari unakuta ni hadithi za kusadikika. Mungu muweza wa yote ambaye ni "function" ya watu, vitu na hali. Yani, watu, vitu na hali ndivyo vinavyom-define Mungu. Halafu tuseme ndiye muweza wa vyote.

Yani ni kama hakuna watu, hali na vitu, kumwelezea Mungu inakuwa kazi ngumu kama kuelezea f ( ) ina maana gani haswa. Anayefahamu relations/ functions lazima akuulize hapa variables ni zipi. Vinginevyo, ni vigumu sana kuelewa f( ) inamaanisha nini. Same applies to God.
Kwanza kumbuka suala la uwepo wa Mungu ni imani,kwa maana hiyo hivyo vitu na watu ni signs zenye kuwafanya watu kuamini uwepo wa huyo Mungu.
 
Zilongwa mbali, zitendwa mbali, sakala kandumbwa.

Kalaghabaho si uthibitisho kwamba Mungu yupo.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha kwamba Mungu yupo.
Hahaaaaa
 
Mjadala wa Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) unaisha pale ninapoomba contradiction ya kuwepo kwa Mungu huyu ya "problem of evil" inapokosa majibu.

Kama hi contradiction haijaweza kujibiwa, Mungu huyu atakuwa ni hadithi tu.

Ni sawa na mtu akwambie kwamba katika Euclidean geometry kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara.

Halafu umuulize mtu huyo, sasa pembetatu ina nyuzi 180, na duara lina nyuzi 360, hilo pembetatu duara lina nyuzi ngapi? 180? 360? au ngapi?

Pembetatu ikiwa pembetatu mbona tayari haiwezikuwa duara?

Duara likishakuwa duara mbona tayari haliwezi kuwa pembetatu?

Halafu mtu anashindwa kukujibu.

Anakwambia pembetatu duara lipo tu.

Halipimiki, halionekani, halichoreki, lipo tu.

Halafu anataka ukubali lipo.

Wewe vipi una ilimit akili yako na kujipinga mwenyewe kwa kujikita katika vigezo ulivyobuni ili ujenge hoja kuwa Mungu hayupo!!, eti, Mungu mwenye ujuzi,uwezo na upendo hayupo!!, kama huyo hayupo, obviously, (kulingana na hoja yako isiyokuwa na mantiki) atakuwepo Mungu asiyekuwa na hizo sifa, (ujuzi,uwezo na upendo)😁😁, indirectly you have, out of your figment, created your own deity who is satan like. Hivyo Unaye Mungu wako asiye na ujuzi wote,uwezo wote na upendo wote.

Mungu mwenye enzi, anazo sifa kuu mbili, mwingi rehema na mwingi wa ukarimu-- na sifa zingine zote zaidi ya 99 zinachipuka kutoka katika hizo sifa kuu mbili (rehema na ukarimu).

Mungu Mjuzi wa kila kitu, ---naam Yeye ni mjuzi wa kila kitu kwa sababu Yeye ndiye kaumba kila kitu.

Mungu mwenye uwezo wote--hapa inabidi kufafanua kidogo, Mungu anao uwezo unaolinda heshima na utukufu wake tu na si vinginevyo, mfano Mungu hana uwezo wa kumsaidia mtu KUTUKANA ,wala hana uwezo kumsaidia mtu kusema UONGO na wala hana uwezo wa kukufanya maovu ya aina yoyote, maovu ni kazi ya shetani.

Mungu mwenye upendo wote--naam, Mungu anao upendo ndiyo maana akatupatia AKILI ili tuitumie kwa ajili ya manufaa yetu, pia katuwekea mahitaji kadhaa wa kadhaa ili tusipate shida hapa duniani, lakini anaweza kukasirika na kutuadhibu pale tunapokiuka taratibu na sheria zake na hapo bado ni upendo kama jinsi mzazi anapomkanya mtoto wake.

Mtu anayekana uwepo wa Mungu, mara nyingi huwa ni mshirikina, ama anaabudu fikra zake zitokanazo na matumizi mabaya ya UBONGO aliopewa na huyo Mungu anaye mkana au anaabudu kitu fulani kama hirizi, mali, nafasi yake katika jamii au cheo chake nk.

Kama siye Mungu aliyekupa huo Ubongo, taja, ni nani aliyekupa??.

Halafu, bado unalo deni lile la A+,kwa taadhima, bado tunahitaji ufafanuzi kutoka kwako.

👆🏻Upon clarification your dignity will be restored.
 
Tatizo sio ulimwengu kuwepo bali Mungu huyo mwenye upendo kuwa ndiyo kauumba ulimwengu huu,hilo ndio unanalopinga.
Mungu huyo kuwepo at al is a fiction, angekuwepo ulimwengu huu usingekuwepo ulivyo.
 
Hujathibitisha huyo Mungu yupo hapo awali.

Huwezi kuthibitisha sasa.

Hutaweza kuthibitisha baadaye.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
 
Mungu huyo kuwepo at al is a fiction, angekuwepo ulimwengu huu usingekuwepo ulivyo.
Huu ulimwengu sio sehemu ya Mungu bali huu ulimwengu ni katika vitu tunavyoambiwa kaumba huyo Mungu,sasa unapinga hilo kwamba haiwezekani huu ulimwengu kuwa umeumbwa na Mungu huyu huyu mwenye upendo.
 
Asante kwa maelezo mazuri. Mtume anawakilisha uwezo wa binadamu. Kama ilivyo kwa mitume wengine kama Yesu. Kushindwa kupata jibu sahihi la mwanzo wa ulimwengu, hakumaanishi kuwa Mungu yupo. Watu wapo na wana wajibu wa kutafuta chanzo hicho. Tafiti zilikuwepo na zinaendelea kufanyika.

Maendeleo makubwa ya utabibu ni ishara kuwa binadamu ana uwezo mkubwa sana. Anajaribu kushindana na Mungu asiyesitisha magonjwa pamoja na uwezo wake mkubwa wa kufanya hivyo. Unaweza kuona magonjwa kwake ni silaha ya kuwachukua watu wake.

Hata hivyo, binadamu amejitahidi. Sasa anafanya transplant ya organs kwa mfano, huduma ambazo miaka kadhaa nyuma nilikuwa ni ndoto. Yani, hata binadamu sasa ana vipuli. Teknolojia ya 3d printing nayo inachagiza kwa ukaribu sana maendeleo na miujiza hii ya vipuli vya viungo vya binadamu.

Itafika wakati kutakuwa na vipuli vya organs kama moyo, figo, ini n.k. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani life span itakuwa imeongezeka.

Kujibu swali lako la mwisho. Kimsingi, ulimwengu na vitu vyake- watu, wanyama, viumbe hai na visivyo hai-vipo kwa kuwa wewe upo. Unaweza kukumbuka uzoefu wako wa watu, wanyama na Mungu kabla ya kuwepo kwako?

Fikiria hadi sasa kuwa haupo, unafikiri ni kipi hasa kipo? Kwa ufupi, katika hali yako ya kutokuwepo, hakuna kilichopo, hakuna kitu ulimwengu, wala Mungu na hakuna kilichowahi kuwepo na hakitakaa kuwepo, hadi Siku utakayokuwepo. Samahani kama ninakuchanganya.

Hayo yote ndugu yangu, uliyoyaeleza yanathibitisha Mungu yupo, kujua au kutokujua chanzo cha ulimwengu SI picha itakayo kanusha uwepo wa Mungu bili itazidi kuimarisha dhana ya uwepo wake kwa sababu ni YeYe Mungu aliyetuzawadia nyenzo ya kutufikisha hapo, nyenzo yenyewe ni AKILI.

Umezungumzia juu ya maendeleo ya tiba, hapo napo inabidi tuzidi kumshukuru Mungu kwa kutujaalia AKILI iliyotuwezesha kufika hapo pia kuna tafiti zinafanyika kwa ajili ya kutumia viungo vya nguruwe kama macho,moyo,ini nk kama viungo mbadala vya binadamu, shukrani kwa Mungu aliyetuzawadia AKILI.

Umezungumzia juu binadamu kupambana na magonjwa anayo yaleta Mungu kuondoa uhai wetu, ungalijua falsafa ya kwa nini "SISI TUPO HAPA DUNIANI' wala usinge uliza kwanini tufe!!, wewe ulitaka uishi milele hapa duniani??! hapa duniani tupo njiani tu na makazi yetu ya milele ni akhera kwa hiyo lazima tufe na kabla yetu walishakufa watu wengi na sisi tutafuata, ila namna gani mtu anakufa ndiyo suala la kujadili:- kuna vfo kutokana na uzembe na ujinga wa binadamu, kuna vifo vya kawaida "natural death" na kuna vifo kama adhabu na mitihani kutoka kwa Mungu.

Unasema "nifikirie hali sasa sipo, nafikiri ni kipi hasa kipo katika hali ya kutokuwepo hakuna kilichopo"

👆🏻Hapo ni "total illogical statement", kwa sababu unataka kusema wakati wewe hujazaliwa (hujakuwepo) hakukuwa na chochote??!!😁😁, hata wazazi wako, babu, mabibi, wajomba, baba na mama yako na dunia haikuwepo??!!😁😁.

Unasema eti "hakutakuwepo na kitu hadi siku utakapokuwepo",

👆🏻Nakuomba kaa tena kitako na utafakari hiyo statement yako.😁😁😁😁.
 
Huu ulimwengu sio sehemu ya Mungu bali huu ulimwengu ni katika vitu tunavyoambiwa kaumba huyo Mungu,sasa unapinga hilo kwamba haiwezekani huu ulimwengu kuwa umeumbwa na Mungu huyu huyu mwenye upendo.

Huyo si anazo akili !!, basi na aumbe ulimwengu wake anavyotaka uwe, kazi kulalamika tu na "kumkosoa" Mungu, (Mungu apishe mbali).

Yeye anakiri Mungu yupo ila huyo Mungu wake hana uwezo, upendo na nguvu na yule Mungu wetu mwenye upendo, huruma,nguvu, uwezo nk, anadai hayupo (Mungu apishe mbali).
 
Back
Top Bottom