Umesema uislam siujui basi mm naujua
Mal Islam? Nini uislam?
Huwa diinu lladhi baatha llahu bihii sayidunaa muhamad LIJAMII NNASI "uislam ni dini ambayo allah mempa muhamad kwa watu "
Mal quraan? nini quran?
Jibu DHALIKAL KITAAB LARAY IBA FI HUDALIL MUTAQIIN
Sasa sijui mwenzangu huo uislam wako unaojifanya wewe unaujua peke yako na wengine wasiujue umeupata wapi? au huo uislam unaujua ww umetoka sayari ya mars au Jupiter
Sijafunuliwa yajayo ila nilijua tu lazima hapa utafika.
Hizo ni nukuu ambazo kwazo mtu yeyote anaweza kuzileta,Uislamu hauishii katika nukuu wala kuwa na maalumati mengi kichwani ndio ukasemwa unaujua uislamu,la hasha !
Uislamu katika ile misingi mitatu kwanza elimu ujifunze kisha ufanyie kazi yale unayojifunza kwayo.
Kwahiyo usizuzuke na nukuu bro,bado uislamu huujui,kwa sababu huutendei kazi uislamu halikadhalika huusomi.
Nikikuzindua kwa mambo kadha wa kadha huko nyuma,mathalani suala la kuandika aya na hadithi kwa kwa maneno yasiyo ya asili na nikakuweka wazi ya kuwa kufanya hivyo unaleta maana isiyo kuwa yenyewe na inakupelekea kupata madhambi,jambo hili unalifanya na unaendelea kulifanya.
Na kuna mambo kadhaa mengi naweza kuyahudhurisha hapa kuonyesha ujinga wako juu ya Uislamu na watu wake.
Mwenye kuujua Uislamu hawezi kumdhihaki Allah,mtume wake na kitabu chake.
Kadhalika katika kiarabu hakuna "Mal quraan ?" wala "Mal Islam ?"
Sasa tunapowaambia msome mzee huwa hatuwadhulumu wala kuwaonea donge bali tunawaonea huruma na mjue tuna wapenda.
Soma hapa chini kisha uniambie hayo uliyo yaandika ndio haya ?
ما هو الإسلام ؟,ما هو القرآن؟
Sasa huu ujanja ujanja na ujinga ujinga muache. Wewe na wenzako mnatakiwa kufundishwa wala si kujadiliana na sisi.
Nipo.........