Makonda: Mwacheni Mbowe afanye tu harambee za Kanisani, na ili afanikiwe lazima aje kwa Watu wa CCM. Inawezekana ile 150m iliyotoka ilikuwa 200m

Ajikite katika kuandaa hoja zenye mashiko ambazo zitaisaidia nchi na serikali Kusonga mbele.

Chadema na ccm bado hawajajua mahitaji ya wananchi hizi personal Attack ni siasa za kizamani Ambazo zimeshapitwa na WAKATI .


Mfano kuboresha Elimu, Afya kuandaa mifumo rafiki ya uwekezaji Ajira Kwa vijana ,mikopo isiyo na riba Kwa kina Mama n.k



Naiona Ccm na Chadema Kama vyama ambavyo havina hoja mathubuti za kuiwezesha nchi kusonga mbele.
Chadema ambayo haijawahi kuongoza nchi na sasa haina hata mbunge mmoja unaweza kweli kuilaumu kwa mauza uza yanayoendelea nchini,are you serious?
 
Yaani tushughulishwe na hilo senge,lini umemsikia kiongozi yoyote wa Chadema anamtaja huyo nyamitako? Yeye ndiyo kila mkutano wake lazima amtaje Mbowe na Lissu.
lisu ni mwepesi, hana impact yoyote ispokua mbowe....

check coments includes yako ndio utajua anawashughulisha :D
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani

Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani ziwe na maana kwake lazima aje kwa watu wa CCM. Ndio maana unamsikia, wengine wanasena kwa sababu ya muda siwezi kuwataja. Lakini nataka kuuliza swali, mimi sikuwepo ila yeye alitioa shilingi ngapi?"

"Kama aliahidi, nitamtafuta Kiongozi pale Kanisani kuuliza kama mchango ulifika. Kama hakutoa mimi nitamsaidia kutoa kwa niaba yake. Sababu yule ni kaka yangu na unajua lazima uwajue Kaka zako, sio? Yule ni kaka yangu na namjua vizuri sana. Kaka yangu Mbowe kweye hela namjua vizuri sana na yeye mwenyewe anajua namjua"


"Kwenye ile 150m iliyotoka labda ilikuwa 100na... halafu nyingine ikarudishwa au inawezekana ikawa kama 200m hivi. Blaza yule namjua, inawezekana ilikuwa 200m halafu kwenye 200m akaomba, Mheshimiwa angalau na mimi nichangie isijekuonekana mimi, hivyo nitasema tu mimi na familia yangu nitoe 20m"

"Utakuta kampa 200m akaomba 20 iwasilishwe na familia na 30m iweze kubalansi pale kwani atakuwa na wangeni na vitu vingine. Halafu 150m ndio ikawasilishwa Kanisani."

Mimi naamini hakupewa 150m, kwa yule mama ninavyomjua mwenye upendo amuache Mbowe pale anawageni hata hakuna soda. Sidhani! Sio Dkt. Samia tunayemfahamu. Halafu niulize yule kaka anunue vyakula vyote vile na mahema yote yake kwa hela yake ya mfukoni? anapata nini yeye?"

Akija jukwaani anasema uongozi wa ovyo. Kama ni wa ovyo mbona unachukua hela zao? Unapata VIP tratement unasema uongozi wa uovyo? Shukrani ya Punda ni mateke.

Alivyotoka Gerezani moja kwa moja nilimuona Ikulu, aliondokaje mule ndani hatujui, alikuwa na begi hatujui, gari alilotumia ni la nani hatujui, ila mimi ninavyojua kwa yule mama Kaka yangu Mbowe aende akae naye aondoke mikono mitupu? mmmh!
Bashite ana utoto mwingi.Alikua anawaambia akina nani hivyo?Mimi napenda watoto ila utoto ndiyo sipendi.
 
Haya yote ni makosa ya Mbowe kujifanya cheap kiasi ambacho mpaka wajinga wanakuchuliapo point!!, Alikuwa na ulazima gani kuwa sehemu ya kuchukua hiyo pesa!. Ni aibu kwa chama na kwake pia.... Ndio maana sitaki kusikia tena jina Mbowe ni ndimi mbili na hafai tena..!.
 
Bila shaka Makonda ni punguani.

Kwa mwenye akiliautajua wazi aliousema Makonda ni upuuzi na upumbavu wa hali ya juu. Hivi kweli inaingia akilini, Rais atoe mchango wa milioni 200, wewe usifikishe nyingine, halafu utangaze mbele ya umma, mbele ya vyombo vyote vya habari kuwa Rais amechangia 150m wakati amechangia 200m?

Huo ujinga nadhani unawafaa tu hao wajinga wenzake huko CCM.

Bila shaka huyu Makonda, mtu muuaji na mporaji wa mali za watu, damu za aliowaua zimemharibu akili.
 
Back
Top Bottom