little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 558
Wewe u mmoja wa wanafikiHapa kazi tu, go ahead RC.
Wanaotaka siasa wakafanyie home kwao.
Mfano, msukuma . na Gwajima
Wewe u mmoja wa wanafikiHapa kazi tu, go ahead RC.
Wanaotaka siasa wakafanyie home kwao.
Mfano, msukuma . na Gwajima
Hahahaha hii nikiiangalia huwa nacheka sana.Hahaha tangu lini Bashite hatafuti sifa?
![]()
Na wewe onyesha vyakoKwani si aonyeshe vyeti yaishe!!
Bashite naona ushachanganyikiwaMkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
Hapa linaulizwa chetiHahahaha hii nikiiangalia huwa nacheka sana.
Na wewe ni mtetezi wa bashite?Na wewe onyesha vyako
Taarifa zitafika panapostahiliTabu ya kutokujuwa lugha wakati wewe ni kiongozi , hilo ni tusi kwa wanasiasa pamoja na baba yake aliye mpa kazi , tusubiri majibu kwa wahusika....... !!
Wewe u mmoja wa wanafiki
Unafiki sio tusi mkuu...Wewe tukana tu,
Nikuulize , swali moja tu,
je tukikupeleka ukatoe ushahidi kuwa RC hana vyeti utaweza?
Ama na wewe umebebwa na upepo wa Gwajima na genge lake la sembe?
Amekuwa sio mwanasiasa kwa kuitwa daudi bashiteMkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
Acha uongo wewe Bashije, umeona magazeti ya leo yalivyokupuuza? Umebaki na Uhuru na Habari Leo tu. Wahariri sasa wameanza kukuweka kando. Wewe endelea kujishangilia mwenyewe humu!Makonda oyeeeeee
Unapendwa sana na wananchi hata wa humu JF.
Mwanasiasa mkuu ni raisi wetu, wabunge wanafuata, madiwani ... & makada mbalimbali wa vyama hawa wote hiyo kauli inawahusu moja kwa moja.Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
Unalambwa nyuma wewe si bure hapo mbowe na lisu wanahusikajeSawa kabisa..we huoni akina mbowe na lissu kila siku wanatafuta sifa za kijinga au lema katafuta sifa za kijinga akasweka lupango akabaki kulia lia tu? Sasa hivi anaomba suluhu na CCM