kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,940
- 7,849
jibu la swali lako ni NDIYO. wanasiasa wanaona watu kama mtaji wa kura kwa hivyo hawawezi kusema ukweli kuhusu ukweli mchungu kwa wapiga kura. ndio maana watu hawahami bonde la msimbazi. mbunge mmoja aliwahi kusikika akisema wazi hataki wapiga kura wake wahamishwe bonde la msimbazi. natumaini wee anti makonda umeelewa.Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??