mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,067
- 3,785
hajalia huko
Hebu nawe tia softcopy ya vyeti vyako hapa jukwaani?.ukishindwa tambua pia hakuna sheria inayokuongoza eti kuanika vyeti vyako hadharani...nyumbu nyinyi ufahamu utawajia hadi siku ya hukumuKwani si aonyeshe vyeti yaishe!!
Unalambwa nyuma wewe si bure hapo mbowe na lisu wanahusikaje
Mkuu, chukua maji usukutue hilo povu kwanza.Hebu nawe tia softcopy ya vyeti vyako hapa jukwaani?.ukishindwa tambua pia hakuna sheria inayokuongoza eti kuanika vyeti vyako hadharani...nyumbu nyinyi ufahamu utawajia hadi siku ya hukumu
Unafiki sio tusi mkuu...
Tuhuma ya gwajima dhidi ya madawa ya kulevya... gwajima alijitokeza na kwenda central na baadae kufanyiwa upekuzi na kupimwa na akawa hana hatia dhidi ya tuhuma alizozushiwa na rc wako.
Hivyo kama gwajima alivyofanya ndivyo rc anatakiwa kufanya... aweke vyeti then mamlaka husika wavipitie kama ni vyake au la.... si mm wala si gwajima awezaye kujibu tuhuma hizo zaid ya rc wako...
Nimeamini kuna watu design yako hata siku ya hukumu hatutashangaa unamtetea shetani.... hopeless kabisa..
Mkuu huyu jamaa vyeti hana..Kwani si aonyeshe vyeti yaishe!!
Mkuu sijasema shetan mweusi...Kwanza, jiulize Gwajima mbona hafungui kesi mahakamani Kama anao ushahidi juu ya RC?
Pia, RC ameteuliwa na Rais, hivyo aliyemteua anajua kila aliye mteua kuliko wewe na mimi.
Mwisho, hakuna shetani hizo story za wazungu Na waarabu kupitia dini zao uchwara zisikudanganye kuwa shetani ni mweusi kama waafrika ni za kutungwa na kuwatisha waafrika ili watutawale.
Kwa hiyo hakuna shetani!
Anatetea utamaduni, mnataka twende Kisudani Kusini kwamba mtu wa CCM akipata matatizo asipewe msaada na mtu wa CHADEMA kisa ni CCM? au mfuasi/mwanachama wa CUF akifariki asubiri kuzikwa na wanaCUF? tunakoelekea ni mchaga kutosalimiana na mzaramo vivyo hivyo msukuma kuwa adui wa mnyakyusa kisa siasa!!!!! Kama Lema anaomba suluhu hiyo ndiyo hekma na busara. Hata vitabu vitakatifu vinataja watu kusuluhisha.Sawa kabisa..we huoni akina mbowe na lissu kila siku wanatafuta sifa za kijinga au lema katafuta sifa za kijinga akasweka lupango akabaki kulia lia tu? Sasa hivi anaomba suluhu na CCM
Anatetea utamaduni, mnataka twende Kisudani Kusini kwamba mtu wa CCM akipata matatizo asipewe msaada na mtu wa CHADEMA kisa ni CCM? au mfuasi/mwanachama wa CUF akifariki asubiri kuzikwa na wanaCUF? tunakoelekea ni mchaga kutosalimiana na mzaramo vivyo hivyo msukuma kuwa adui wa mnyakyusa kisa siasa!!!!! Kama Lema anaomba suluhu hiyo ndiyo hekma na busara. Hata vitabu vitakatifu vinataja watu kusuluhisha.
Hakuna povu hapa..ila naona mind set zenu zimekuwa injected na drugs cartel nanyi na unyumbu wenu mwaelekea huko huko.mulikuwa wapi pindi ameteuliwa ukuu wa wilaya hadi baadae mkoa?.kwann huo ushauri msingeutoa nyakati hizo?.huo ni udhaifu wa fikra na ufinyu wa mawazo..Msiishi kwa kufikiriwa ishi kwa fikra zenu.....nadhani bashite asingelieenda against na hizo cartel mungeli msifu kwa nyimbo na mapambio at any cost ila kwakua katia mchanga kitumbua chenu cha wizi ndio mwaja na mawazo yenu ya kinyumbu.au hilo jambo la vyeti limeshushwa na Gabriel?Mkuu, chukua maji usukutue hilo povu kwanza.
PambafMkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
Tulia mkuu, mbona hivyo?Hakuna povu hapa..ila naona mind set zenu zimekuwa injected na drugs cartel nanyi na unyumbu wenu mwaelekea huko huko.mulikuwa wapi pindi ameteuliwa ukuu wa wilaya hadi baadae mkoa?.kwann huo ushauri msingeutoa nyakati hizo?.huo ni udhaifu wa fikra na ufinyu wa mawazo..Msiishi kwa kufikiriwa ishi kwa fikra zenu.....nadhani bashite asingelieenda against na hizo cartel mungeli msifu kwa nyimbo na mapambio at any cost ila kwakua katia mchanga kitumbua chenu cha wizi ndio mwaja na mawazo yenu ya kinyumbu.au hilo jambo la vyeti limeshushwa na Gabriel?
Anamtukana dingi yake?Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
Hapo atalia tena muda siyo mrefu.Bashite acha maneno weka vyeti