Alete vyeti,kwani si tumemwambia ye ni mwanasiasaMkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
Uko wapi akuletee mzee....unalialia kama mtoto kuona vyeti vya Makonda ila husemi uko wapi ili akuletee hapo ulipo uone ndo uamini...Alete vyeti,kwani si tumemwambia ye ni mwanasiasa
Hivi wewe unaakili?Mwana siasa ni nani huyo atafutae sifa za kijinga?
Kama sio mwanasiasa kwa nini cheo chake kimeteuliwa kutokana na makada wa chama na kama cheo chake si cha kisiasa basi lazima iwe professional na profesional bila vyeti wapi na wapi
Toa vyeti acha kabobo
Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
Achana nae huyo pengine kuna mahali aliajiriwa bila vyeti!Na wewe ni mtetezi wa bashite?