Makonda: Mimi sio mwanasiasa, sitafuti sifa za kijinga

Makonda: Mimi sio mwanasiasa, sitafuti sifa za kijinga

Kama sio mwanasiasa hiko cheo amepewa kwa ajili ya utaalamu upi alionao?

Kwanza hata cheti cha Form four tu hana!
Teh teh teh teh na ukitaka kumliza we mwambie nionyeshe cheti utasikia mmmaaa! oooouuuuhh! mmmmmmhhh! naonewaaaa mieeee
 
Ukisikia raha ya shule ni kipindi kama hiki! unathibitisha usomi wako ndani ya dakika mbili tu, sio jitu linaulizwa cheti linabaki linalialia tu utafikiri kichanga kinacholilia ziwa mama yake
 
Lakini ata ngwajima Nate alishindwa kujizui kwanini?? Maana kama sio mhusika ungesubiri vipimo na pekshen ipite ujakutwa na ulichosingiziwa mpeleke MTU mahakamani na siyo kwa waamini wako eti napajua alikozaliwa
 
Back
Top Bottom