Hata wa KoromijeMakonda oyeeeeee
Unapendwa sana na wananchi hata wa humu JF.
Wa daresalamMakonda ni mkuu wa mkoa upi?
Wakati yeye ndiyo mjinga wa mwisho.Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
Duuh...kweli ukimada ni tabuMakonda oyeeeeee
Unapendwa sana na wananchi hata wa humu JF.
Nahisi kama kamtukana vile!Ameteuliwa na mwanasiasa aliyeomba kura,asisahau hilo
Wakati yeye ndiyo mjinga wa mwisho.Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
Wakati yeye ndiyo mjinga wa mwisho.Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
Kama mtukufu anavyopenda kusifiwa na TBCYuko sawa kabisa mkuu wa mkoa , maana watanzania tunapenda kukenua kenua meno hadi kwenye mambo ya maana, wakati wa maamuzi ndio sasa.