Makonda: Mimi sio mwanasiasa, sitafuti sifa za kijinga

Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??

Sawa kabisa..we huoni akina mbowe na lissu kila siku wanatafuta sifa za kijinga au lema katafuta sifa za kijinga akasweka lupango akabaki kulia lia tu? Sasa hivi anaomba suluhu na CCM
 
a
Sawa kabisa..we huoni akina mbowe na lissu kila siku wanatafuta sifa za kijinga au lema katafuta sifa za kijinga akasweka lupango akabaki kulia lia tu? Sasa hivi anaomba suluhu na CCM


akili zako zimefanana na sura yako..hivi kati ya Mbowe na huyo JPM wako nani mpenda sifa? kwa sababu ya kupenda sifa ndio maana watangazaji wa TBC wamemwandalia habari za uongo kuwa kapongezwa na Trump ili afurahi.
 
Kama sio mwanasiasa kwa nini cheo chake kimeteuliwa kutokana na makada wa chama na kama cheo chake si cha kisiasa basi lazima iwe professional na profesional bila vyeti wapi na wapi

Toa vyeti acha kabobo
 
Bora angesema tu yeye ni mwanasiasa, kama ni mtaalamu wa fani yoyote tunaomba aweke vielelezo visivyo na shaka vya elimu yake kuanzia primary - alipokomea
 
Hahaha tangu lini Bashite hatafuti sifa?
d488a94addcfd6bcaa88dc7baa714f42.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom